Usiseme uislaaam wa sasa hivi uislaaam uleule isipokuwa sisi vizazi miaka hii ibilisi ametuvyaa Allah atuepushe maana wanawake tunasema mmewangu ameenda.kazini kumbe kazi yenyewe kumpa cheo ibilisi yaarabi
Kabisa! Watu wameziba kabisa maskio kama vile hawaioni Qur-an na kama vile hawajui kama kuna Mtume Muhammad swallallahu alaihi wasallama. Hii ni sasa hii!!??
Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss.
Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu?
Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah
Yani ukistaajabu ya musa utaona ya friaun jamani ulimi hauna mfupa nimecheka kwa vitukovyenu mapenzi ni uwendawazimu ila tujitahidini kumuogopa Allah tusiutukanishe uwiislam wetu
Achana nazo. Hizo ni kazi za shetani aliyevaa vazi Uislam. Kwanza muziki halafu wanawake wananengua mbele ya wanaume. Huu ni ukafiri. Hakuna tofauti na umiss
wana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe.
Hakuna mashaallah kwenye kumuasi Allah. Haya si mafundisho ya Mtume na si maagizo ya Allah. Kwanza ni muziki halafu wanawake wananengua mbele ya wanaume
Uislamu sasahv sijui kwann hauna nguvu kama zamani ,kwakweli dini yetu inaelekea pabaya M/mungu tunusuru na haya subhanallah
Ukweli
Usiseme uislaaam wa sasa hivi uislaaam uleule isipokuwa sisi vizazi miaka hii ibilisi ametuvyaa Allah atuepushe maana wanawake tunasema mmewangu ameenda.kazini kumbe kazi yenyewe kumpa cheo ibilisi yaarabi
Kabisa! Watu wameziba kabisa maskio kama vile hawaioni Qur-an na kama vile hawajui kama kuna Mtume Muhammad swallallahu alaihi wasallama. Hii ni sasa hii!!??
Hao Arrijalu qawwaamuun subhanallah rudini kwa Allah ndugu zangu
Dhambi nanyie wanawake wakiislam
Kabisa
Maanshaalh wanaswahibu mnajuaa aswaa❤
😅😅Jomon nimecheka hatarii💥
manshaalah mungu akuzidishiye kaka zangu
Marshall Allah ,,,,May Allah continue to guide you guys on the straight path
No Allah's guidence there. It is Satan's guidence. This is non-islamic. Music and women playing infront of men
Mashaallah Allah awape umri mrefu muendelee hivohivo ndugu zangu
Hakuna Mashaallah hapo. Labda kwa shetani. Muziki halafu wanawake kucheza mbele ya wanaume, tena kwa minenguo. Ni mafundisho ya Mtume gani hayo?
Hakuna mashaallah kwenye kumuasi Allah na Mtume.
Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss.
Jamani mbavu zanguu mie
nimemunga mkono wiislam anaelekea pabaya mungu ayarudishe nyuma mwashangaza waislam wenzenu
Mbona hamzungumzii bongofleva bwana wee agh
Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu?
Mashaa Allah tabaraka Allah Allah
Hongera
mbn hawasemi kweny mziki wa bongo fleva wanaona hapo2 wanafki hao, wanaswahibu mpo vzr sana mashallah tupe dawa
Kwel
Mashaallah wanaswahib mumetishaaa
Hiyo ndio kazi ya shetani. Wametisha kweli! Maana shetani yuko kazini
Mashaallah mola awaPe khery kwenu
Fl I am from
Mhhhhhhh kaswida mhhhhhhh walllah atuepushe na ibilisi
ILOVE this music
Haya hayapo ktk uislam ni matamanio yetu tu tamaa za kunipenda dunia zimetushika Allah atunusuru na mengineyo.
Amiin
l
l
Nimeipenda sana tu
Fl is not booked yet for the
Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah
Amin
shukran
Yani ukistaajabu ya musa utaona ya friaun jamani ulimi hauna mfupa nimecheka kwa vitukovyenu mapenzi ni uwendawazimu ila tujitahidini kumuogopa Allah tusiutukanishe uwiislam wetu
Uyo alojishika kiuno kashakuwa saivi alikuwa akisoma muntakina hukuwa ivoo weww
Mashaa Allah nimeipenda sana
Mashaa Allah nimeipend xana
Hongera sana
رووووووووعة 👌
MashAallah
Subhanallah wana ume wa wakataviuno kisha ww wasema mashallah na ww piya una fungu lako kesho kiyama
Hakuna mashaallah kwenye kumuasi Allah na Mtume. Unapaswa kukemea tabia hizi chafu
Nimoto wa kuakiaaaa🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
Burdani kwakweli😂😂😂😂
Cheka pekeangu 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hongereni kwa kazi nzurii👍👍👍😘😘😘😘
hahahahah
Penda sana wana swahib mnaweza
Tafuten kz mufanye hamna kaz
Hapa mwisho dawa ni umpate umpendae ndiyo dawa yke hakuna daktari Wala mganga hapo
Mshallah
Mitihani zanzibar
Masharaaaa
Hongereren sana . Mashaa allah
mnaptikana wapi
Mnauharibu uislam, wanaume mnacheza hivyo pia mnachangamana na wanawake kweli ndo uislam gani huo
Na juwen kuna maixha baada ya kufa
Ewa mola wetu tuongoze sisi wajawko hakik kunapotea sisi wajako
Allah awaongoze Kwakwel Co Kwa mixer hyo
So nice
mashaaallh
Mmechekesha tu lkn hiii ngoma
Mpo vzt
Hahaha hongereni
Mungu awape nusta
Subhanallh hakuna hishma ya kanzu hapo
Kabca haujakoxea
Allah awaongoze maana wanachokifanya ni Haram kabisa
Kz nzur
Endelea kukata viuno utapata dawa
Uyo alojifunika heeeee aomba balaa Tu 🤣🤣🤣🤣
Wanaume wazima wanakata viuno
Mzeeee ni tarab hio
nipe dawa mashaallah
Hujmb
Hawa wanaimba taarab cyo qaswida
Watu wanawivu wa maendeleo2 wanaswahibu mpo vzr hao wanaoponda wanajifanya wanajua sana dini
Vigodoro vya akili kwa akili mtihani mmmhhhhhhh mmmmhhhhhhhhh wanaume ndani ya mauno mhhhhh mtihani yàraaabi tuepusheee
😂😂😂😂😂😂😂viuno mmmmh jaman
Kwani waumwa nanini baa
tafuteni kazi wana ume wazima mna kata viuno je hao ndgu zenu wafanye nn duu hatar sna
Mashallah
Mashaallw
Kwahiyo siku hzi tarabu imekuwa ruksa ktk dini
Nipe daw dakitar
Hii Qasda au nyimbo jamani maulid tunayaharibu
Maradh ya ngiri
Please let us a little more information about your company Lucas and senzo is saying they closed the
Nimepnda kazi zenu ndgu zangu nazipataje CD nawapi zinapatikana
Achana nazo. Hizo ni kazi za shetani aliyevaa vazi Uislam. Kwanza muziki halafu wanawake wananengua mbele ya wanaume. Huu ni ukafiri. Hakuna tofauti na umiss
Maashaalah
Mashaa allah
Sheykh I'll
Kasida za michezan jimwage
Awa cjui mabarazul ?
Ok
Juna🏀🎁🎁🎃
Haina utofauti na tarabu na bongofleva
K
Kasida video dawnlod failivideo
Kasda video dawnlod video chat
Sasa mwaumwa nanin kiun au
Kaswidaa nyengine bwana upumbavu tu
Dawa ya mahaba nikumpata mahabubi hhhhh
Pambe naomba hii jmn
0626966000
Mnapatikana wapi, unguja au pemba,, naomba mnijibu
unguj
@@comexmediatz usitadhi mpemba
Maxhaalakh munapatikan wap
Mupo Pemba au unguja jamani naombaaa mimi
Asant kikongoz wangu abuu wewe fund by honest
Sw
OK mm and
Punguza sifaa
wacha tu wana swahib mapambano kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pambe
Acheni bidaa jie wajinga
wana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe.
Pambeeeee
Mmekusudia nn mnaona mposawa
Mashallah
Hakuna mashaallah kwenye kumuasi Allah. Haya si mafundisho ya Mtume na si maagizo ya Allah. Kwanza ni muziki halafu wanawake wananengua mbele ya wanaume
wacha tu wana swahib mapambano kweli
mambo ni 🔥
mashalaa