Hongera sana Binti wa Yesu Kristo,namwomba Mungu akupe ujumbe wako utakaokutambulisha katika uimbaji ,Mungu akuinulie watu watakaokuvusha maana najua kuna mahali unataka kufika, Mungu amewekeza kitu ndani yako usikubali kupunguziwa mwendo,ila unahitaji kuomba kusoma neno la Mungu kwa bidii na kutafuta watu sahihi wa kulea kipaji ulichonacho
Ni nzur japo imeiweka fupi 🎉🎉🎉
Powerfully sanaaaaa dada angu
Luchie,,, umebarikia sanaaa wew❤❤
Love from Malawi 🇲🇼
Umebarikiwa mno, nakukubali sanaaaaaa❤
Hongera sana Binti wa Yesu Kristo,namwomba Mungu akupe ujumbe wako utakaokutambulisha katika uimbaji ,Mungu akuinulie watu watakaokuvusha maana najua kuna mahali unataka kufika, Mungu amewekeza kitu ndani yako usikubali kupunguziwa mwendo,ila unahitaji kuomba kusoma neno la Mungu kwa bidii na kutafuta watu sahihi wa kulea kipaji ulichonacho
Ubarikilwe
Jamannn Yan nakupenda sanaa
Waoooo
Pendwa sn❤
❤❤❤ Blessing
Haleluya utukufu juu
Super Super 🌹🌹🌹❤❤❤
balikiwa
Lovely🎉❤
❤❤❤❤
Amen
💕💕