Humility has raised you high and will raise you higher...the Lord bless you Dr Ipyana for taking care of the spiritual clinic ..you are such a blessing to millions...Love from Mombasa kenya
GOD bless u alot brother... i wish to be like you ....am appreciating u alot go on MUNGU azid kukupa hekima na kutii kwa kile anachokuagiza ukifanye....
Dr niko na albam yako naisikiliza asubuh hadi jioni. He can create a new job to night ni moja ya kauli uliisema kwenye wimbo wa IN YOU I LIVE. IBADA ni zaidi ya muziki.Ibada ni zaidi ya ajira.Naipenda mno ibada
Humility has raised you high and will raise you higher...the Lord bless you Dr Ipyana for taking care of the spiritual clinic ..you are such a blessing to millions...Love from Mombasa kenya
Mungu amemtoa mbali na alimuokoa na kifo, acha amuimbie, ni maandalizi mazuri sana kwa sababu mbinguni itakuwa ni kusifu na kuabudu
GOD bless u alot brother... i wish to be like you ....am appreciating u alot go on MUNGU azid kukupa hekima na kutii kwa kile anachokuagiza ukifanye....
Mungu akubariki dakt.Ipeana.Atakupanulia mipaka!!!
The Guy is good.... MUNGU anamtumia sana...! Amazing voice ! All GLORY TO JESUS
Dr niko na albam yako naisikiliza asubuh hadi jioni.
He can create a new job to night ni moja ya kauli uliisema kwenye wimbo wa IN YOU I LIVE.
IBADA ni zaidi ya muziki.Ibada ni zaidi ya ajira.Naipenda mno ibada
Love you brother you're my favourite praise and worship minister
Bless you man of God...!!
Hakuna aliyemtumainia Mungu akabaki patupu
Brother Ipyana ww n bunduki, amini Mungu atakuinua mpaka kilelen
Barikiwa sana kaka kwa kuamua kumfuata bwana
Kaka Mimi nakupenda Sana namimi nimeanza kujifunza kupitia wewe
May God lift you
naipenda huduma yako kaka Mungu akuinue zaid
Ubarikiwe dr
Huyu Bwana hafanyi mziki tu huyu ni mwabudu.
I love your songs
Hongera kaka
Hongera Sana Daktari Ipyana
Kusudi la Bwana liendelee kutimia mtumishi
Mungu mkuu mtumikie yeye
Uzidi kubarikiwa daktari
Blessed much
Glory to God
god is good
you so good sing
Kwan Kila mtu lazma awe diamond?
Dah music wa Gospel ombeni diamond asiimbe akiimba tu mmeumiaa
Huna akili ungejua maana ya Gospel usingema hawajiimbii tu kama hao wanaojiimbia We need Annoiting
Gospo na hivyo unavyovitaja ni vitu viwili tofauti, ni products zenye walaji wawili tofauti. so kila mtu ana eneo lake..
Aje tu Aokoke, aimbe kwa Roho na kweli, atamuona Mungu maishani mwake,... Asipookoka aioni Pepo... Ni jehanamu ya Milele
Hujui usemalo
naipenda huduma yako kaka Mungu akuinue zaid
Glory to lord