Mama Kai mpaka tuu likupate jambo ndio utatuliaa kama mama kelvi kule don't tv😂😂😂, alikua akimdhalilisha loveness kisa umaskini, na kutaka Tina kisa matajiri na ushoga wa wazazi,, kwa Sai katulia na loveness kwa yale yalomkuta😂😂😂
Kay kaka yangu usiruhusu sania kukusogelea hatakidogo mukomeshe mm yako atakucaguliyaje mucumba pambaniya penzi lako lawe na Wandema miniko nyuma yako kaka yangu natutashinda tu
Sania, ule ni umalaya sio mapenzi ya kweli. unamutaka kai lakini sio kumupenda. Kwa kweli kai unamu penda wandema,mpaka makaratasi ya upendo kwenye nyumba ?
Sania Wacha ujinga pezi ilasimishwi naujue mama Kai ana kupotezea wakati wanao kubaliana na mm like zenu wakwanza kutoka Kenya
Mama Kai mpaka tuu likupate jambo ndio utatuliaa kama mama kelvi kule don't tv😂😂😂, alikua akimdhalilisha loveness kisa umaskini, na kutaka Tina kisa matajiri na ushoga wa wazazi,, kwa Sai katulia na loveness kwa yale yalomkuta😂😂😂
😂😂 kabisaaa
Ehee
Ndouzuri limukute😂
Kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤
Xaxa mama Kai kama sania ndio chaguo lako muoe ww cnichaguo lako sio la Kai
😂😂😂🙌🙌🙌
Sania unalasimisa mapenzi
Kazi zuri sana
Pole sana mwandem
Huyu mama Ake Kai ni mjinga kweli ila yetu macho yatakuja kumkuta mambo
Mambo menyew n kama ushaangalia penzi la mtoto wa boss ya Kelvin watajua hawajui
Mambo menyew n kama ushaangalia penzi la mtoto wa boss ya Kelvin watajua hawajui
Mama kai kawa kungwi 😂😂😂 anataka asikie milio ya mwanae
Kay kaka yangu usiruhusu sania kukusogelea hatakidogo mukomeshe mm yako atakucaguliyaje mucumba pambaniya penzi lako lawe na Wandema miniko nyuma yako kaka yangu natutashinda tu
Tobaaa kwashepu ipi hiyo
Jamani Leo mm wa kwanza naombeni mauwa yangu please nawapenda sana❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mama Kai usijaulie kijana wako make mwenyewe Ako na macho haaaa
Wa 19 nimewai team fulus mkowapi from madina
Mama Kai yuko kama mama Kelvin likikukuta jambo ndio utaanza kujuta
Mama Kai badilika dah 😢
Una loho mbaya hupendi wa maskini😢😢😢
Uyu mama kweli mweu Sasa Sania Shepu kaipatiawapi😂😂
Mama kai wacha ujinga 😂 n sania wacha ujinga pia🙄🙄,, mapenzi hayalazimishwi NKT
Jamani sania kaanzaaaaa zake
Mama Kai unasura mbaya kicwa sasa unazani ni mlima Kilimandjaro
😂😂😂😂 mama kai wee kiboko dah kwaiyo sisi maskin ndio machizi maarifa dah wandema pole kipenzi ila mapenzi yanauma mm wala siyataki tena
Kwani mkilala amfungi mirango 😀
Wendema usilie ipo ciku Kai atakuwa wa kwako
Wee mama Kai Acha ukuwadi Acha kumkuwadia mwanao wa kiume
Mbona fipi jamani😊
Mama Kai ata ufanye nn Wandema ni wetu
Ingekua mim ndo Kai namuzaba makofi huyo sania
Maman anaroho mbaya wadema dada tulia kay ni wako vumilia sana ni mchepuko tu
Noma🎉🎉🎉
Muendelee jmn
Kusem ukweli umaskin hauzuii mtu kupendwa ila wandema hajaendana na kai bora ht sania🎉 yaan ni bora sania angekuwa yy nd maskini
Kipendacho roho hula nyama mbichi kupendana kimuonekano sio ishu muhimu upendo wa dhat bainayao
Weh Leo nimerauka nipeni like pls
Wa kwanja mimi hapa from DRC
Mama kai kitakutokea puan kumkazania kai kuwa na sania
Sania, ule ni umalaya sio mapenzi ya kweli. unamutaka kai lakini sio kumupenda. Kwa kweli kai unamu penda wandema,mpaka makaratasi ya upendo kwenye nyumba ?
7:20 jamani pole wandema 7:43
Mtaka yote kwapupa hukosa yote mwishoe kujilaumu
Naomba mtoe hiyo wimbo imenigoza sana pia mm mapenzi inanisumbua hivo mama mkwe anipendi lkn mwanaye kufa kuzikana
Nyimbo tna😂😂😂
😂😂😂😂
Hummm😊
Jmn kwan wandema c kasem hajasoma why kai kamuandikia kiingereza
❤❤
17s am here
Mapenzi hayarazmixhwi
🎉
🎉🎉🎉🎉
Wa7
Hii nayo nkali