UNITALENTSHOW|MAIN SHOW|SEASON 04|NUSU FAINALI |EPISODE 3
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 เม.ย. 2023
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04 - บันเทิง
Kabla hii show haijapostiwa naamini mwanangu UNTOUCHABLE HAWEZI NIANGUSHA KAMWE👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼🙌🔥
✊
He's always my G yy ndio hinifanya nigingue unitalent
Woooooo ulisema na imekuw
Kiukweli show zote za untouchable ni heat song kwenye rap sasa cjui atakosaje 10 million
Huyu untouchable ana kitu atafika mbali👏👏👏
Tuliorudia kucheki 2024
Tujuane Untouchable🔥🔥🔥🔥
Untouchable noma sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
untouchable he is not to be touched always he provide hit Songs 🔥
Untouchable ni 🔥 🔥 🔥 🔥
Untouchable Anastahili kushinda
Wiliam anajua bro utatoboa piga kazi ❤❤
for real kuna wengi wanataka kushinda mpka hapo walipofika ni washindi but baada ya kuangalia hii episode...try kuona ukweli untouchable is the best ....congrat bro
Wanalusha chanel gani kwani
Untouchables anabalaaaa aisee
Surely Ibrahim Ura's sound jmnjmn guys i sing but huyu kaka anasauti😋😋😋
Untouchable ni khaligraph wa bongo
Qatar workers tulike hapa tunaofatilia unitalent
fan of willium Bundara 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daah ila @untouchable broo me nakupa bars buku kaka 💥💥💥
Kipaji hakijifichi lazima kujua nani bora zaidi👍💪
Huyu Mathias mbn ni Joh makini kabisa🔥🔥🔥🔥
Jmn Unitalentiiiii......Ibrahim urasa fo mi🤗🥰🙌
untouchable ni mnymaa ila gaboo mnyama zaidi.....he has a unique rapping style
Untouchable 🔥🔥🔥🔥 ni nomaaaaaah
Untouchable is invisible..u can't touch someone you don't see
Wahoooo🎉🎉🎉🎉 bonge la hip hap hiyo ni kweli manabii wamekuwa wengi 🎉🎉🎉
Unitarent show mwaka huu kuna vipaji sio pw ngoja tuone itakuaje 🤳🎧🎧🎤🎤🎹🎹
Ko
oya aiseee Ibrahim ana saut ya kipekeee weka like kam unamkubali
Ni hatarii
@@preciousprecious7040 ndio mzee
Untouchable asipokuwa mshindi cjui mtatuambia nn
Untouchable 🔥🔥
untouchable real talent 🎉
Untouchableee
the untachable ndo kafanya nimeijua unitalent.....the man gat talent.......
Untouchable ni noma sana🦁🦁🦁🦁
Woiii untouchable ee bhn mekubali ur untouchable🫡❤️
The best untouchable your killing me also ibra Urasa uwiiii I admire you
SKS BEIBE UNTOUCHABLE
Ain't seeing anyone touching #untouchable💥💥🔥
Untouchable never touched 🥰🔥🔥
Untachable
UNTOUCHABLE💥💥🙌
Kipaji mtaji kila mtu ajue sahihi kufanya Kwan kila ndoto asubuhi wewe utakuwa ww congratulate
Untouchable🔥🔥🔥
Untouchable
Untouchable is on fire but all in all this season on behalf of my village ma ancestors I say wote wapo dope San #kaka mpishii officer #sharku #mr Ricky Ricky Mr watu waenjoy alfu waenjoy tena
Untouchable nakuaminiaaaaa
Untouchable 🔥🔥🔥
Jamani nimerudia kumuangalia untouchable
You kill it
untouchable is something else he never disappoints🔥🔥🙌
Untouchable 🙌
That boy #untouchable is the champion
Sks🦁
🔥🔥drop the shiiiiiit
the real_untouchable! 📍❤
uyu msenge ibra ni nyokooooooooooooooo🥰🥰
Jamaa wakwanza bhna didiididij 💥😂😂😂😂
Kura yang kw untouchable na ibra urasa❤🎉🎉
Uyo chriss brown wa tandale anaitishia usalama wa music wa bongo nomaa 😂😂
That boy #ibrahim Musa.. is on 🔥
Untouchable ana kitu atafika mbali sanaaa
Untoucheble Kal Sanaa hiyo
Aliye imba wake me up mh 🔥🔥🔥🔥ana kipaji sana jmn ...🙌🏾
Ibra anajuwa aixee nice song
SKS baby untouchable.
Ibrahim 😘
Untpuchable 🔥
Sjui unaelewa maana ya goosebumps "ooouuwww " in leah's voice
Untouchableee 01
Mathias Gabo on 🔥🔥🔥
Untouchable is real untouchable
Untachable so amazing
Oya wamepita wengi lkn uyo untouchable 😂🙌🙌🙌😎
Huyu gabo pigo zake Kama za G.Nako mwenyew kwanza had anafurah
William🔥🔥🔥❤
Untouchable
Untouchable 🔥🔥📌📌📌
Lakin mjaribu kuweka utofauti
Kati ya hio hop na RnB
Gody big up bro mungu yupo utafik MBL❤❤❤❤❤❤
Kaka untouchable no 🔥🔥🔥
UNTOUCHABLE baba Iyo Sio Final kaka please 😂 Unapiga Kuuwa Kaka..! Unapiga Kuumiza Q_mamae 😂😂😂🙌🤣🙌🤣🤣🙌🙌🙌
Buntala William na untachable ni wakali nawakuli mm
Mwamba anajua ❤❤❤
Clouds tv mida gani toweni maelezo vzr
I am hip hop fan lakini huyu sijui Urasa like my kenyans friends wangesema hii imeendaa😀
Bundala umeweza sanaaaa
mwana kaingia na wimbo wa ROMA mbele ya WAKAZI, waliosoma CUBA watakua wananielewa! 😁
Shida wanapendelea ila ukweli jamaa untonchable
Untouchable mnyama huyu jama watu wanimanye❤
Mathias Gabo Ameua sana🔥🔥🔥
Untouchable the best yoooo🔥🔥🔥🔥
Untouchable ndo umefany nijue hay mashindan 😂😂😂 god bles yo
Untouchable is the best
❤𝐥𝐨𝐯𝐞 𝐭𝐡𝐞 𝐬𝐡𝐨𝐰 🇧🇮🇨🇩
Huyo Ibrahim anabana sauti mpaka inakosa hata mvuto , anatafuna maneno
Tuekeeni huo ujumbe wakazi anasema ... Ambao kasema gabo
Untouchable NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Untouchable is doing dope shit
Huyu untouchable anakitu sana Muangalien kwa jicho la Kipekee atafika mbali.
Mathias Gabo ...uko fire sana kijana
Kibooooooko unstoppable 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Unshikikable 😂🙌
😹😹 mamaeee
Untouchable u the best bro 🔥🚒🔥
UNTOUCHABLE NI MOTOO
Untouchableeeeeeeeeeeeeeeeee
show love untouchable umeuuuuwaaaaaaa