Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Nilisubiri sana maneno yako...Harmonize amedhihirisha ana chuki,wivu na dharau...na ndo maana nyimbo zake siku hizi hazina ladha,huwezi ukausikiliza wimbo wake ukaisha...kama ana akili,anastahili aisilikize hii mara mbili mbili na aifanyie kazi Diamond Platnumz atabaki kuwa the GOAT🐐🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umeongea facts sana brother, harmonize atafute management itakayo mmenage yeye kama ilivyokuwa WCB huku konde gang anafanya anachotaka bila say ya management
Usiseme kama wewe nimungu kilakitu kinamuda wake muache harmonize atambe niwewe mwanzo ulisema konde amsingle si wimbo bola ameongea za maisha take nakajala mwisho ulichukuwa tuzo mungu nimungu ukiamini unapata muache harmonize usiongeleee vibaya from malawi napenda music uzuli.
Nakupongeza sana mando kwaushauri wako kwa wa sanii wa tz kiukweli kuna Mahali hâta Sisi watu wa inje ya tz mna tuvunja moyo. Tumeipenda music ya tz nakuisapoti ili iende mbele lakini nyinyi kwa nyinyi mna chuki wenyewe hampendi mafanikio ya wasini wa inchi yenu.
Brot inauma sana hâta kwake asiombe yamkute kwa anao watengeneza nimekumbuka wakati anjela anaanza kuzogelea wasafi mashabiki walitengeneza vitu kama hivi Ila anjella hakusita kumpa heshima harmonize Ila nimegundua hapa dunia kuna watu n'a viatu😢😢😢😢😢
Kweli KBs kak @Armando hata Tyla Ame win ule wimbo na koma sava ni Kama mamoja hamna ujumbe wowote harmonize ni chizi San hata uyo burnaboy wimbo uliyo win the same
okay... watu wanaendeshwa na mihemko sana.... Harmonize anaweza akawa sahihi kwa upande wake ila kuna kitu kinaitwa Uthubutu Diamond amethubutu kupeleka nyimbo Grammy hata km hajachaguliwa ila kathubutu... huyo harmonize amethubutu wapi??...Big up kwa mondi kukosea ndio kujifunza next time itakuja home..
Wao wenyewe wamezoea kudharauliana,kutoka huyo harmo atoke huko,Bt tunajua chibu is the best,afe Becky afe kipa,usiumize kichwa kuwa judge,unaongea sana unasikia vibaya,huo ni mwendolezo,usijichoshe 😂😂
Nimependa sana ulivyomwambia ukweli huyo harmonize ni mshamba sana mimi nyimbo zaka sinaga hata mda wakuzisikiliza mpenda makalio yawanawake atakufa vibaya kwakupenda matakonyawanawake anajuatu kutembea na mishangazi
The only thing I like about this he's always accurate ❤
BIG up brother from DRC goma 🇨🇩✅ nakukubali sana KK emando🙏
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Nilisubiri sana maneno yako...Harmonize amedhihirisha ana chuki,wivu na dharau...na ndo maana nyimbo zake siku hizi hazina ladha,huwezi ukausikiliza wimbo wake ukaisha...kama ana akili,anastahili aisilikize hii mara mbili mbili na aifanyie kazi Diamond Platnumz atabaki kuwa the GOAT🐐🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umeongea ukwel mtupu big up bro🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢t
Ukweli Kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌👑👏
Uyo kisturi yuko na wivu na maisha ya diamond, ila Allah bless you Diamond and your family
Safi umeongea vizuri sana daimond is best
Ume ongeya vizuri bro🇨🇩
Diamond platnumz ni Noma sana
Kweli bro wewe Ni noma sana😂zushu ni noma kuliko harmonise
Very true 👏
Umeongea facts sana brother, harmonize atafute management itakayo mmenage yeye kama ilivyokuwa WCB huku konde gang anafanya anachotaka bila say ya management
wallah. kabisa.
Kaka nakukubali sana brother from mozambique mando
NOW YOUR THE BEST BRO UNACHAMBUA VEMAAA DIAMOND NI MTU MWENYE BUSARA ILA VIJANA WETU N HOVYOO
Tatizo Roho Mbaya Harmonize
Asante! Na hata nyimbo yakuenda Kenya tuu
Bien compris Mr El-mando Harmonize irreconnaissent vraiment il est impoli cadavre vivent 🇨🇩💥
😂😂😂
Kweli kaka yangu nakupenda sana
Uyu jamaa uwa namwelea sana🔥🔥🔥✊
Unamwerewa kwasababu ya unafiki wake
Ndy ivo bro🎉🎉
Sema brother umeongea kwa hisia sana big upo brother
Mmakonde BINAFSI simpendi na hakuna kitu anaribu kama kumzungumzia vibaya mondi mtu ambe kakufuta tongotongo
Kama uyo Ibrah sio musani hana Show Hata moja umemuona D voice Burundi 🇧🇮 😂😂😂ni full watu
D voice show haikuwa yake Burundi, drama T!
I@@johnmichaellukindo21ilikua ya nani? Mbona Ibraah hawezi itwa shows hata ndani ya tz
Kwani Burundi kunanziki Gani 😂😂😂
Kumbe waburundi sisi ni wasenge too mbona ivo ilaa siwez kuongea but sawa too
Bro kweli kbs el mando🙏🇨🇩
Kwani cdiamond ni mungu akifanya kosa wabaki kimya?
Umeongea kitu kaka kam ni mtu wa kujifunza atajifunza 🙏🙏🙏
Broh uyo harmonize Hana chakawaida ,na ajawahi ata kuwania tunzo moja
Haujuwe unacho ongeya wewe
Shukrani sana kwa kuwaeleza ukweli vijana ambao hawajielewi.
Nakukubali Kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪wcb for life
Shida ya bongo hawa support wasanii wao zaidi ya kukejeli Tu na ushabiki wa team
Nimekuelewa kaka umeongea facter Mungu akubariki
Point well spoken.
Ongeya. Ukweli Niko r d congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kaka napenda Fact kaka MUNGU akupe UZIMA kaka
That’s why I like 👍🏾 you jamani you give them the real talk
Thank you bro respect
Always unaongea fact kk❤🎉
Facts
Well spoken bro tatizo level of education it's quite sad😒
Kumbuk
Ni kweli tu harmonize ana heshima pumbafu zake
Respect unasema ukweli wengi wakuige🎉
Usiseme kama wewe nimungu kilakitu kinamuda wake muache harmonize atambe niwewe mwanzo ulisema konde amsingle si wimbo bola ameongea za maisha take nakajala mwisho ulichukuwa tuzo mungu nimungu ukiamini unapata muache harmonize usiongeleee vibaya from malawi napenda music uzuli.
Respect broo nimejifunza kitu
Kweli kabisa
Nakupongeza sana mando kwaushauri wako kwa wa sanii wa tz kiukweli kuna Mahali hâta Sisi watu wa inje ya tz mna tuvunja moyo. Tumeipenda music ya tz nakuisapoti ili iende mbele lakini nyinyi kwa nyinyi mna chuki wenyewe hampendi mafanikio ya wasini wa inchi yenu.
Umekuja na kitu cha tofauti ufike mbele na ufanikiwe zaidi kaka🎉
Umeongea point brother, lazima wawe na heshima kwa Platnumz
Hamna ponti ni inafiki tu
Nakukubali sana bro
Brot inauma sana hâta kwake asiombe yamkute kwa anao watengeneza nimekumbuka wakati anjela anaanza kuzogelea wasafi mashabiki walitengeneza vitu kama hivi Ila anjella hakusita kumpa heshima harmonize Ila nimegundua hapa dunia kuna watu n'a viatu😢😢😢😢😢
Usimlaumu sana bila ya kumletea Diamond zarau hawezi kua kwenye headline 😂
Big up my G💪👌
wallah. rohombaya.
wallah cuki.kabisa
Kweli KBs kak @Armando hata Tyla Ame win ule wimbo na koma sava ni Kama mamoja hamna ujumbe wowote harmonize ni chizi San hata uyo burnaboy wimbo uliyo win the same
Yenyewe broo kuna time waongea points tupu
Umeongea ukweli, wanatia aibu wa makonde wenzangu. Diamond is the best. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Chawa Wa diamond
Kaka mabangi yanamdumbuwa harmonize 😂😂
Hii interview imenikosha kbs❤
Kaka umetishaa
Fact my brother
Harmonize is the best
Hawezi hamo
Harmonize hiyo wivu, chuki na roho mbaya inakuja na ngisi alizani atakua baada yakujitoa WCB lakini pahali apande juu ame drop sana.
Facts...mmakonde anatrend na madem kuliko mziki
Chaw la diamond hiloooooooo, tulizomee kwanz wot kw pamoja hloooooooo
Hata kama chawa ila ndo ukweli
Umeongea sanaaa bro mungu akujalie
UMEONGEA FACT SAAANA BRO WAFUNGUE BONGO KWA KUWACHANA LIVE TU✅✅✅
big up bro unaongeaga fact hufatagi upepe
Aujuwi ya ndani bro kuna vitu hadi sasa nasibu ana ziwiya wenzake
uko nje ya mada tunazungumzia music na dharau ayo ya ndani atutaki kujua bwege wewe
Yani wewe unaongea ukweli mtupu. Nakufagilia sana wewe jamaa ❤❤❤ .point tupu
I support the fact🎉
Mendez
Diamond alikosea sana kumsaidia huyo chizi wa Mtwara
Armando umetisha sana kaka dawa imemuingia
😂😂😂😂😂😂kaka kunywa sod nakuja kulipa yaaani umenikosha umeongea yote yaliyoko moyoni mwangu Asante saaaana
Fact
Jamaaaa anaongea ujingaaa tuuuuu yyyy Ana nnn hatakam hajapata broooo nyamaza tuuuu cozzz hujatoa ngoma ipìteee hiyo ngoma
Akiongea ukweli unasema anaongea ujinga unataka amponde mond ndo useme anaongea ukwel
Kondeee Acha ujinga broooo kimbuka zamani
We n matako
@BarakaHarrison-l4t matako n mamayako uko
Kwani ku wini gramy Unaimba kuimba nini ? Au kumuimbia kajala au mama Samia Hassan
Umeongea ukweli sana kaka
okay... watu wanaendeshwa na mihemko sana.... Harmonize anaweza akawa sahihi kwa upande wake ila kuna kitu kinaitwa Uthubutu Diamond amethubutu kupeleka nyimbo Grammy hata km hajachaguliwa ila kathubutu... huyo harmonize amethubutu wapi??...Big up kwa mondi kukosea ndio kujifunza next time itakuja home..
Wamakonde wengi wanachuki binafsi
Nakubali
Wa makonde wa bongo,sio wa mozambique sisi tunaupendo
Harmonize Bado mtoto mdogo, na wivu wake utampoteza kwenye game
Mashabiki wanamuona ana zalau lakin wanajaa kwenye show zake
Asante sana brother umeongea ukweli sana
Komasava 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bro unamchango mkubwa kwenye hii game ❤
Acha ivo , heshima ni sawa, apo kusaidiana apo sio sawa , hakuna mutu anaweza saidia mwengine, ila watu wana saidiana.😊
Ongera Sana diamond noma
Wasanii wa Tanzânia wanajiona Mimi bora kuliko mwezeke kilipo
Chawa number one😅
Uyu ni chawa kbs
Mwambie uyo Mr lupanya amesha furia anataka kuongelewa tena kupitia kumkejel diamond platnumz uyo mr lupanya umbwa uyo mkosi amuache monde awakilishe Tanzanie.
100%Fact .
Kweli kabisa kakangu hawajitambui huyo ibra mshamba tu
Harmonize mbele ya diamond ni underground thu awezi kushindana naye mwimbo moja wa diamond platnumz ni 10 zake ata kwenye vues wala trend
🐘🔥
Wao wenyewe wamezoea kudharauliana,kutoka huyo harmo atoke huko,Bt tunajua chibu is the best,afe Becky afe kipa,usiumize kichwa kuwa judge,unaongea sana unasikia vibaya,huo ni mwendolezo,usijichoshe 😂😂
Unaitaji tunzo my bro 1000000000%
Nimependa sana ulivyomwambia ukweli huyo harmonize ni mshamba sana mimi nyimbo zaka sinaga hata mda wakuzisikiliza mpenda makalio yawanawake atakufa vibaya kwakupenda matakonyawanawake anajuatu kutembea na mishangazi
Harmonize hawezi fika mbali atabaki ni msani wa bongo kelele nyingi za wake😅
Leo ume ni furahisha bro
Congs kumwambia ukweli kijana atulie mbado mdogo sana
👏👏👏👏👏👏
Hapo Kwa Ibraah Kazia Hapohapo Uko Sawa Kabisa