Allwahumma swalli wasallim alayhi.. hakuna jambo jipya Siikkah kama hizi walishatunga sana walimu waasisi Maalim Shaaban Bin Haroun, Maalim Habiib bin Kidodi Miaka zaidi ya 25 iliyopita.Allwah awalipe kheri waasisi wa Mambo haya na wote wanaofata silsila yake..
Raaha raahaani hadi rohoonii.tunazidi kulewa mahabba ya mtumiii
اللهم صل وسلم وبارك على هاد سيدن محمد وعلى آله وأصحابه النجوم الرشاد
Allwahumma swalli wasallim alayhi.. hakuna jambo jipya Siikkah kama hizi walishatunga sana walimu waasisi Maalim Shaaban Bin Haroun, Maalim Habiib bin Kidodi Miaka zaidi ya 25 iliyopita.Allwah awalipe kheri waasisi wa Mambo haya na wote wanaofata silsila yake..
Sheikh Wacha Mamboyako. Shukran.
Cobba Leo cjinjoy shekh wangu vyombo vngi sna napnda sana maadhi yako
Viiiiitttttah wee koba wewe😭😭😭
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
Maa shaa Allah
Koba katupa darsa Jana..
Kwamba ni Siiika na Sio SIQA
Shariff koba umempania bhana dah!
Yuko wapi Robin Kesi
Kama huyajui madihi za kumsifu mtume kaa kimya acha kuponda
😭😭😭😭
A a a a we Sheriff koba
Haiitwii SIIQA inaitwa SIIKA Hataree cna watu wa maqaamaat ladha hzo
viitaaa
Kidogo kidogo mnatoka katika dini,
Juzi nai na firimbi, leo kinanda na gita, kesho kutwa Mta tembea uchiiii