Ugomvi wa Mwijaku na Masoud Kipanya Umefika Mwisho Nilikosea Kuandika siri zako
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1
Nyoooo
Ndio ukome sasa kushobokea maisha ya watu na bado kuna siku utaburuzwa mahakamani😢
Wewe una matatizo mtume anasema vitu viwili mwanadam avichunge akasema ulimi na sehem za sili wewe uchungi ulimi wako sio kwa masoud ila life style yako inafanya uchukiwe na wengi naamini allah anakufundish
Ingia kwenye POINT! DINI DINI AYA AYA ZA nini mbafuuu
Alimuonea Diamond.......ww acha hayo mambo
Ila tu ujue sisi watanzania tumeshajua masudi sio mtu mzuri
Wakili kutoka mahaka kuu ya tanzania dg umeyatimba
Hapo ndo ushajifunga Tayari😂😂😂😂
Amekili kosa hapo ndio amejifunga
Umeongea tumekuckilizaaaa c ushamaliza? Basi hili litakua fundisho kwenu nyny machawa, rudi kw Nasibu ss ukapige goti akupatie bilioni 4 na bilioni 1 utauza iko kigorofa chako 😂
😂
Weeewe radhi iyo Yann we unapenda sfa Sana kwa umra gni kutwa kutwa unacheza mzki namkeo mapaja yake tunaona usitumie kivuli Cha dini mseeeengenyaji wwe ona sasa mwezako ushamwalibia madili
Anaanza kujitetea na Dini😂😂😂
Siasa bora KIGOMA ❤❤❤❤❤❤
Huyu jamaa ana shida sana
Aloooo kiukweli. Umepatikan ila azabu inakuhusu kias na msamah pia jami. Tujuwe maisha yakisasi siomaisha bora hakuna kubwa lisilo sameheka maisha yanaitaji akili. Naimani. Sote wakosefu
Hapo ndio amejifunga 😂😂.. watu wanacheza na akili zako
Baada ya kusikia kuna mahakama hhhh hhh
Ww mropokaji sana huna lolote
Acha kujificha katika dini kuhalalisha uovu wako.
Saiv unazidi kujitia hatiani mwenyewe huo ni ushahidi kuwa ulidhamiria, kuomba msamaha hakuondoi hatia
Lkn waislamu ni wanfk mkifanyaga makosa mnajificha kwa mtume dini
B 5 ndomsingi
Leo umetaja jina lako
Acha ubwege wewe Mwijaku, jibu barua uliyoandikiwa na mwanasheria wa Masoud Kipanya.
Umejitekenya mwenyewe, alikutaja Jina? Vijana wa 2000 mnapenda kutekenywa ba kutekenyeka
Ahikuwa utani 😂😂
Hawa ndio wasomi wetu
Da aixeeh sisi tunachoaminih ni maneno Yako ya kwanz tu
Hahhah ww omba radhi hadi uchoke lakini watu wanatumia akili katika kutafuta pesa 😂 naamini husamehewi watu wanataka hela tu ssa km ww unatafuta kiki bx utalipa tu bilioni 5 naisha yaende😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka
We ulidhamiria
Dini din nyoka kwenye point msomi mzima ujierew
Lipa kwanza bilioni 5 acha kujikanyaga kanyaga
Utashaaanga aliiongea yote hayoo baada ya kunyimwaa helaaa
Acha kuifanya dini kua kivuli ww mnafki mkbwa
Hata magaidiii wanajifichia apo😂😂😂😂😂
Tena Chawa ProMAX
There is no use of repentance when it's too late just stop your bubbling. Uliona fahari kujitangaza kajumba Kako ka 1 billion Sasa kesi inaandaliwa ya billion 5.
Shekhe wa mchongo
Huu ni msamaha gani au ni kujishaua tu
Mmmh??? Utani.acha hizo ww utani gani huo
Wazingue wadogo wwnzako umejichanganya kwa wakulungwa
😂😂😂😂😂😂❤❤
Anapiga kelele peke ake, akati kesi ipo mbele kumbe huyu jamaa huwa 0
Hii takataka na mgonjwa kamili wa akili
Matani 😂😂😂
JELA INAKUFWATA MWIJAKU
Kaka.wewe.nonoma
Weeewe radhi iyo Yann we unapenda sfa Sana kwa umra gni kutwa kutwa unacheza mzki namkeo mapaja yake tunaona usitumie kivuli Cha dini mseeeengenyaji wwe ona sasa
mwezako ushamwalibia madili
Weeewe radhi iyo Yann we unapenda sfa Sana kwa umra gni kutwa kutwa unacheza mzki namkeo mapaja yake tunaona usitumie kivuli Cha dini mseeeengenyaji wwe ona sasa
mwezako ushamwalibia madili