LISSU AKIKABIDHIWA OFISI BILA MBOWE KUWEPO - APEWA MAFAILI MAZITO ALIYOYASHIKILIA MBOWE MIAKA 21...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 16

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d วันที่ผ่านมา +3

    Tunazungusha damu ya Yesu na kuizingira ofisi hiyo kwa damu ya Yesu tunaweka ulinzi wa kiungu ndani na nje ya ofisi hiyo katika jina la Yesu Kristo amen

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d วันที่ผ่านมา +1

    Tunaifunika hiyo ofisi kwa damu ya Yesu

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d วันที่ผ่านมา +1

    Tunakitakasa kiti hiki kwa damu ya Yesu tunazungushia damu ya Yesu

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 วันที่ผ่านมา

      I hope wamenunua kiti kipya😊😊

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d วันที่ผ่านมา +1

    File tunazifunilka kwa damu ya Yesu

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา

    Mie sipendi mbogamboga hata kuona kwa mbali

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา

    Hivi we lifisiemu ebu fafanua matusi bayo lisu kamtukana rais au utaje tusi .oja tu manake wote tumemsikiliza kwa hiyo tuliza wenge acha uchonganishi

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 วันที่ผ่านมา

    TANZANIA INA KIU YA HAKI. TULIENI NA MJE NA "ROADMAP" ITAKAYOLETA NA KUFANIKISHA MATAMANIO YA WATANZANIA

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 วันที่ผ่านมา

    We lisu mi sikupendi xana

  • @mussasongoro1101
    @mussasongoro1101 วันที่ผ่านมา

    Utaratibu si unakua Mwenyekiti akabidhiwe office na Mwenyekiti aliyeondoka ? Au utaratibu upo vipi wana comment ?

  • @idrissansereko6403
    @idrissansereko6403 วันที่ผ่านมา

    Lisu wcha siasa yakutukana Mama Samia ni Rais wa nchi sio heshima kumtukana na walio mtangulia eti wote ni waizi sio heshima ! Hiyo sio demokrasia unaweza kushtakiwa serikali Tz ni wapole huwezi kumtukana Rais wakuache tena wakubwa kwako kwa umri jitulize siasa sio matusi

    • @RobinMtukacha-pk7rc
      @RobinMtukacha-pk7rc วันที่ผ่านมา

      We nae Kwan rasi ni Mungu au..acha kuzungumza ujinga rais ni binadamu km ww.. na anafanya makosa km binadamu na makosa mengine ya makusudi..Kwan yeye nan...??wamepita Marais wangap na wko wp...??

    • @MihayoMageta-k4n
      @MihayoMageta-k4n วันที่ผ่านมา

      Kwani kumuita Mama Abdul ndio tusi.

  • @zuberilekengere5763
    @zuberilekengere5763 วันที่ผ่านมา

    Amen