DR SULLE AJIBU NGUVU YA PETE ZAKE ZA AJABU"NJIA YA KUTUMIA JINI UPATE UTAJIRI "LUCIFER NA FREEMASON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 252

  • @fidel7im
    @fidel7im 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mashekhe mnatakiwa kuwa makini sana , mnajipa dhima kubwa na mtajibu mbele ya Allah. Kuna watu watapotoka na kuanza kutegemea majini au kuweka matumaini kwenye majini dhidi ya Allah . Kuna watu wataanza kujihusisha na ushirikina ajili yenu , alafu mtasema hawaja elewa vizuri

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo hakuna dini ya Mungu hapo muokoke tu Yesu anawapenda sana.

  • @Muhammadnabii1Muhammadnabii2
    @Muhammadnabii1Muhammadnabii2 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh ilo sio sawa allah akurejeze katika haki sheikh wetu

  • @papsmicrocreditcompanylimi1443
    @papsmicrocreditcompanylimi1443 7 หลายเดือนก่อน +18

    Dr. Iyo ni shiriki wewe na harmonize hamna tofauti yeye kamkufuru Mungu nawewe unamshirikisha Mungu katika ushirikina wako

    • @mbenamdudu7856
      @mbenamdudu7856 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hata nabii suleimani alikua anavaa Pete alikua nayo

    • @SadiAbufaris
      @SadiAbufaris 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa shida iko wapi kufa na ufinyu wako wa akili ama kapige kabari utajirike na wewe

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio unaemiliki pepo? Na moto? Haramu kumhukumiya mja kama wewe ajuae ni البه tuuu!

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wee sio unae miliki pepo? Acha uzuzu wa muhemuko

    • @therealabdulwahab
      @therealabdulwahab 7 หลายเดือนก่อน

      Tafuta elimu

  • @JamilFadhil-fz3ri
    @JamilFadhil-fz3ri 6 หลายเดือนก่อน +4

    Sub-haanallah huyu jama ni mushriku mkubwa😢

  • @RashidiAlly-sw6dr
    @RashidiAlly-sw6dr 7 หลายเดือนก่อน +5

    Subuhanallah Allah akuongoze kumbe ndo uko shekh inalillah wainaillah rajiun

    • @michaelsocraph3363
      @michaelsocraph3363 6 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi usome

    • @abuutwalha8796
      @abuutwalha8796 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@michaelsocraph3363 we umesoma Nini hujui ata aqida yko ya dini ya kiislam

  • @RatsonEdgar
    @RatsonEdgar 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani mpaka maasikofu wanavaa Pete kumbe yote ni machawi tu. Tumutumikie mungu alie hai hao washashikwa na rusifa

  • @zulfaibrahim1929
    @zulfaibrahim1929 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mnatuchafuulia dini yetu Allah kareem anawasubili paws ni Yaa Allah a nampa amtakae Allah ka kwambia wapi mvae mapete ya bahati tuonesheni

  • @AbdulFundi-mg1rw
    @AbdulFundi-mg1rw 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaallah

  • @NoorynMuddy
    @NoorynMuddy 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaji unasauti nzuri Masha Allah

    • @saidrakwe8727
      @saidrakwe8727 7 หลายเดือนก่อน +1

      asante sana

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mtume rehma na amani ziwe juyake alisema watakuja walinganizi(waitaji)madai)watalingania na kuwaita watu katika mashimo ya moto wa jahannam.........
    WAISLAM TUWE MAKINI NA WANAOLINGANIA
    ALLAH ATUONGOZE KATIKA HAKKI

    • @ashaomary5558
      @ashaomary5558 6 หลายเดือนก่อน

      Mi napita tu

  • @HakizimanaJeandieu-dy7cx
    @HakizimanaJeandieu-dy7cx 6 หลายเดือนก่อน

    Asante shekh kwakutuilimisha

  • @hajihaji123-lp5lx
    @hajihaji123-lp5lx 7 หลายเดือนก่อน +11

    ushirikina tuu,anajitapa kwa ujinga na ushirikina tuu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa ulivyokua unamkufurisha Harmonise kumbe nawewe mshirikina mkubwa tubia kwa mola wako wachakuongopea watu muogope Mungu wako kwa hayo unayoyyasema sasa mungu anakazi gani ikiwa pete ndo inakupa power ngoja masheikh wenzako wayaone haya uone watakavyokuradi kwa hichi ulnachokisema

    • @lordjabali9719
      @lordjabali9719 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo ndio maarifa

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtu amefanya nione another image of islam. Right now, because I've been listening to him in my right minds, I can't even go close to islam. It has been eye opening

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 6 หลายเดือนก่อน

      You are right my brother. This is the true colour of Islam now 😮

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 7 หลายเดือนก่อน +6

    Innalillah wainna illahi rajuon

  • @KhalfanAlly-uv5xy
    @KhalfanAlly-uv5xy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie wapuzii musicoment Kama hamjasoma wapuziii someni kwanzaaa

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mshirikina safi tena mshenzi

  • @ChadrackMiary
    @ChadrackMiary 7 หลายเดือนก่อน

    Iko sawa dr sule maisha ni tofauti na vile unavofikiriya

  • @ahmedaljabri1206
    @ahmedaljabri1206 6 หลายเดือนก่อน

    Subuhana Allah yalabi toba looyangu ushindwe naulegee 😢😢😢😢😢😢😢inalilai wainalllahi lajuni

  • @hadijamohamed623
    @hadijamohamed623 6 หลายเดือนก่อน

    Duh... dr. Sulle, unaniangusha... yaaani hiyo pete wewe ni bahati njema jamani ... hv mtume alivaa Pete wapi?.. nipeni elimu jamani 😢

  • @RamaMbwambo-ru8ym
    @RamaMbwambo-ru8ym 7 หลายเดือนก่อน +5

    Tamaa mbaya sana...tamaa zinafanya ubongo ufeli KABISA....sijaona maagizo kwenye kuran yanayosema vaeni mapete mpate nguvu...shirki tupu....

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu 7 หลายเดือนก่อน +2

      Angalau angesema tu nimevaa hizi pete lakin hazina maana yoyote nimevaa tu km ujana,mh mtihan kwakwel aya gani hio tunaomba mutupe fatua ya hiki.

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni Mfuga majini

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 หลายเดือนก่อน

      Mshirikina tu

  • @abuutwalha8796
    @abuutwalha8796 5 หลายเดือนก่อน

    وجعلناهم أئمة يدعون إلى النار ويوم القيامة لا ينصرون

  • @salhakhalfan6513
    @salhakhalfan6513 5 หลายเดือนก่อน

    Qiyama kishafika ALLAH atupe mwisho mwema

  • @HuseniShija
    @HuseniShija หลายเดือนก่อน

    Namba yasule

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 7 หลายเดือนก่อน +5

    waswahili wameharibu dini pete za upumbavu

  • @HusseinHamidu-nq1vc
    @HusseinHamidu-nq1vc 2 หลายเดือนก่อน

    Binadam Huwa niwepesy kukosoa kwa vitu ambaviyo huna elimu naziyo ni nani kawaloga

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kaowa majini wa wili waislam imani hamna njooni kwa YESU

  • @thobiasnzyela
    @thobiasnzyela 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi watu mbona mnamaneno sana,jamaa anasema ukweli,bado mnamsema vibaya,mwenye hoja tofauti na yeye alete hoja ya kiroho.

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe si mshirikina mwenzake
      Hufahamu Tawheed fanya kutulia

  • @DianaNyange
    @DianaNyange 2 หลายเดือนก่อน

    Kunamuda natafakarisana,kuhusu dini,lkn kwasababu napenda kufwatiliya dinizote,nimepata ukweli tatizo hatusomi vitabu vyadini,pya tunapenda stori zakusomewa nakutafsiriwa,biblia inasema vumbo laimani,lkn wenzetu waislamu,mpo wazikwenye dini yenu,nimewapenda bure,ostadhi nimekuelewa,sn tunaomba no yako tunashida kibao,utusaidiye jmn,mwenyezi Mungu amekupakibali chautambuzi naufahamu wadini sn,duuuh hatari kunamuda mpk nakuogopa

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo ni shiriki, elimu ya nyota ni ushirikina.
    ACHA SHIRIKI

    • @aweisali1723
      @aweisali1723 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 sio shirki

  • @RamlaMohamedy-sr1pe
    @RamlaMohamedy-sr1pe 5 หลายเดือนก่อน

    Wallah sole a cha. Ushirikina

  • @mohamedibakari213
    @mohamedibakari213 6 หลายเดือนก่อน

    Kanitamanisha Sanaa uyu shekh na mm ngoja nitafute hela nije nijiweke sawa

  • @KirengaAlia
    @KirengaAlia 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaikum vipi shekh pete hizo zinapatika wapi??

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awaongoze sana hawa watu

  • @khadijakhamis5206
    @khadijakhamis5206 7 หลายเดือนก่อน +6

    Acheni kutukana wasomi Suleiman ni msomi saana

    • @ISAALMASIHI9823
      @ISAALMASIHI9823 7 หลายเดือนก่อน

      Msomi mwenye elimu ya kufuga majini

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio shida yenu, huyo hana usomi wowote

    • @MohamediSleyum
      @MohamediSleyum 3 วันที่ผ่านมา

      Naam upo sahihi

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 7 หลายเดือนก่อน +1

    Innalilah wainna ilayhi rajiun hiyo ni shirk usipotoshe watu kwa mambo yako binafsi pete ni urembo tu

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sule, mimi nakukubali. Wasio understand it , shauri yao. Makafiri watapinga sana.

  • @Afrocentre56
    @Afrocentre56 6 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum Dr.sule nauliza wapi Pete hizo zinapatikana

  • @Flying43
    @Flying43 6 หลายเดือนก่อน +1

    Janipete❤

  • @Mtituboy
    @Mtituboy 7 หลายเดือนก่อน +2

    Unakosea sana ,,maelezo Yako ni ushirikina mtupu

  • @Shaha-d1i
    @Shaha-d1i 6 หลายเดือนก่อน

    Hajajibuswali hapo la binaadamu ndie mkuu wa dunia kuliko jini, nikweli majini wapo walio wasafi na wachafu ila hakuna jini msafi anae kupa utajiri aache ujinga jini mchafu atakupa unachotaka na pia ukitaka kuwa tajir we mkane mungu tu yani hatakama nimuuni usiwe na hofu ya mungu yani ishi usimjue mungu utakua tajir tu ukifanya ya shetani

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 7 หลายเดือนก่อน +3

    Assalamu alaykum. Doctor Sule hayuko sawa katika Elimu ya Kisheria Dini ya Kiislamu hakuna hayo mambo NI USHIRIKINA . Mwambieni alete Ushahidi WA Quran au Hadithi Sahihi ya Mtume Muhammad Swallahu alayhi kuhusu Pete ya BAHATI. Pia katika Uislamu hakuna kitu Spiritual life. Hayo mamb yako mbli na Uislamu. Uislamu haukufundisha hayo mambo.

    • @traviskong-r7b
      @traviskong-r7b 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 wee Kweli jinga nabii suleimani nae utasemaje

    • @michaelsocraph3363
      @michaelsocraph3363 6 หลายเดือนก่อน +1

      16:43) Na tulipo waleta Mitume kabla yako, hawakuwa ila ni watu . 38. Na tuliwateremshia wahyi. Basi waulizeni wenye ilimu 39 ikiwa nyinyi hamjui.
      "Kama hujui waukize wenyekujua"

    • @hudaaomar7779
      @hudaaomar7779 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@traviskong-r7bnabii suleiman alimuomba Allah Amfanye awe mfalme wa kingdom na wenye kumsikiza.. na yeye ndio alikuwa anawacomand. Sasa hapa kwa sule yeye anawasikiza huoni kuna mda wakuomba majina gani kutumia. That means kuna conditions amewekewa kufuata hao majini

    • @albashirnur
      @albashirnur 3 หลายเดือนก่อน

      Hayuko katika Elimu ya Kisheria? Sheria ya Nani? Sheria ya waarabu ama Qur'an na Hadith. Kama ni hadith na Qur'an basi hizo madini zinazo tumika kwa pete Allah amezisifia...kwa hadith basi yako ushaidi ya mtume na maswahaba wamezungumza na jinni, jinni wame wahi kuwasaidia, jinni ka adhibiwa, jinni swahaba amuua swahaba kwa kumuadhibu. Sasa tupe elimu yako ya Sheria inayo pinga jinni na umuhimu wa madini haya ambazo watu wanatumia kwa pete

  • @djamilagwasa7129
    @djamilagwasa7129 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inalillahi wa Inailayhi rajiuni , tamaa zadunia zitakuponza. Acha kushusha thamani ya uislam😮

    • @albashirnur
      @albashirnur 3 หลายเดือนก่อน

      Uislamu sio nguo ama chakula ati ishushwe na dhahabu...elimu ni bahari uislamu ni muongozo.

  • @IddiAbdi
    @IddiAbdi 3 หลายเดือนก่อน

    Uwelewa mdogo sule sio mxhilikin maana hajauwa m2 hajamuekea m2 nukusi asifanikiwe haya ushilikina wake uko api kapateni mafunzo ama taaruma msema kweli hapendwi sule anasema kweli ana2pa elim wengine ni sili zao za maisha ila yeye kajitolea na yupo sahihi ila mwengine wanamwelewa vibaya hasa wasio kua na elim na wanao fuata upepo ndio maana ha2muelewi

  • @amneally4135
    @amneally4135 4 หลายเดือนก่อน

    Na sie AMY Ubani wetu gan na sku yetu lini

  • @user-ts1tp6se3z
    @user-ts1tp6se3z 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shiriki tu hiyo kama shiriki nyingine

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 7 หลายเดือนก่อน +2

    Morinho alikuwa coach ila hajawahi kucheza mpira ila Nakukubali sana DR sule

  • @mbarikiaally2814
    @mbarikiaally2814 7 หลายเดือนก่อน +2

    Muulize dr sure atowe ushahid katika qur an unaosema Waislamu tufate suala zima la nyota

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anyways ni sawa Dr sule ila pilamid nyingi ziko Sudan

  • @IthihakaIsango
    @IthihakaIsango 6 หลายเดือนก่อน

    Sina ghelm sana juu ya Haya anayoyasema ila kwa maoni ya wengi nasikitika sana kwa hili. sikuwahi kumfikiria huyu sheikh kama hivi. EEE ALLAH tuongoze katkka njia iliyonyooka

  • @jumamkopi8040
    @jumamkopi8040 6 หลายเดือนก่อน

    kusoma si lazima kiarabu muhimu ufahamu wengi nyinyi hamna ufahamu.

  • @MukeshimanaMarriam
    @MukeshimanaMarriam 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awasamehe nyinyi mutatutiya kwenye upotevu zire Pete ni za eliminati musitucafuriye dini samahani sana!

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 7 หลายเดือนก่อน +2

    huu ni ushirikina kumbe huyu mtu ni hovyo hivi

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Dr sule ni jinga sana liongeaji tu dini halijui hata kidogo tamaa ya pesa inampoteza

  • @AishouSamantha
    @AishouSamantha 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmmmmh yarab tup mwish mwem ya allh

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 3 วันที่ผ่านมา

    Yupo sahihi

  • @mohammedyahya972
    @mohammedyahya972 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kutafuta sifa hatari shehe leo hapana tupe dalili kwa hili utaniswamehe kina ndacha wanakubiri sijui utasemaje

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ni mganga wa kienyeji..okokeni waislam

    • @shamimnelly.8042
      @shamimnelly.8042 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ama kweli wewe ni chizi

    • @shamimnelly.8042
      @shamimnelly.8042 7 หลายเดือนก่อน

      Katika wale wajinga mmoja ni wewe

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 หลายเดือนก่อน

      Watu hawafahamu uislamu
      Yaani unakuta mtu ana mahaba na huyu mshirikina
      Huyu jamaa ni mganga

  • @UmmuSallama-ej4eh
    @UmmuSallama-ej4eh 6 หลายเดือนก่อน

    kweli tusome dini huu mtihani

  • @georgeslupopo6215
    @georgeslupopo6215 6 หลายเดือนก่อน

    Jini aziku tii Yesu-Kristo kwa wema hapana , jini zili tii Yesu-Kristo kiutofauti na kutii kwetu Sisi wanadamu,
    Maandiko ya Mungu inasema zile jini zili mutambua Yesu-Kristo kama yeye ni moto na ziliogopa kufa sababu ziliuona moto zikamusii Yesu-Kristo zilitii uwepo wa Yesu-Kristo sababu zilimujua na zikamtoka yule kicha kwaruhusa ya Yesu-Kristo.
    Sasa kama mukuu wamaji ambaye ni Shetwani amelaaniwa malaika wake ambeye ni majini njo watakubalika mbele ya Mungu ?😂 Neno La Mungu linasema shetani na wafwasi wake wote watatupwa motoni, sasa uniambiye Ayo majini yatakua wapi? Yatakua mbiguni? Munajifanya kutokuelewa Neno La Mungu ilimubishiyane tu na Mungu, Mungu ajawayi bishiana na mtu, ipo Siku usowake utawatizama nyiye ambaye munatumia akili yenu ya ubatili kwakupotosha watu wake

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 7 หลายเดือนก่อน

    Sawasawa kabisa🎉

  • @nahashongichine4877
    @nahashongichine4877 4 หลายเดือนก่อน

    Hata wakristo wengine wamevaa hizo Pete za maajabu

  • @AbouMaryam-gg7dz
    @AbouMaryam-gg7dz 7 หลายเดือนก่อน +3

    Afadhal harmonize kulko Huu muhadhir wa elimu ya Nyota

    • @hazardmjeshi5200
      @hazardmjeshi5200 7 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhhh hatari

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 6 หลายเดือนก่อน

      Sahihi, Harmonize anafanya kufuru ila anafanya kama mtu muovu asiyejitambua (muhuni)
      Dr sule anafanya kama msomi hivyo anakufuru pia anapoteza watu kwa kuwaaminisha anachofanya ni dini

  • @azadashock6958
    @azadashock6958 6 หลายเดือนก่อน

    doctor unapoelkea sasa ni hatar hiyo ni shirki wa wazi Allah akusamehe

  • @KhaulahKigundula
    @KhaulahKigundula 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dokta sule nimekudharau saana 😬😬

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 7 หลายเดือนก่อน

    Soma taurati mungu aanasema mwanaume asifae yampasayo mwanamke kwahiyo mkubali mkatae uisilam ni bila ushirikina ni 0

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 7 หลายเดือนก่อน

      Huwezi ukumu uislamu kwasababu ya madhaifu ya mtu binafsi, sasa tuukumu ukristo tuseme ni mashoga kisa pop Francis kuruusu ushoga kanisani? Sule ni mshirikina,

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      @@Sandra39823 Hukumu waroma maana sisi wasabato hatukubaliani na roma na pili kwenye bibilia hakuna cheo cha upapa na ndo maana roma kwenye bibilia anatambulika kama mama wa makahaba likn anachozungumuza sure hakuna muisilamu wa kupinga

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna nguvu tofauti undiminished
    Kwanini uvae Pete ya bahati?
    Wakati Allah kareem mtoa riziki ndogondogo na kubwakubwa yupo.
    Wewe ni mshirikina mkubwa
    Tetra uvaaji wako wa mapete kwa Aya za Allah
    Taja Aya ya Allah inayoruhusu
    Mapete

  • @layodullah3792
    @layodullah3792 7 หลายเดือนก่อน +6

    Wee doctor sule umekua mchawi msenge ww

  • @MosesMario-n3h
    @MosesMario-n3h หลายเดือนก่อน

    jamaa anauwezo mkubwa Sana wa kujieleza

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 7 หลายเดือนก่อน +1

    hata mwalimu wa chekechea hawezi kusomesha form 1 na wa form 1 nae hawezi kusomesha university

  • @dainessmweta3059
    @dainessmweta3059 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo nipete zamajini usiwaongopee watu

  • @Muhammadnabii1Muhammadnabii2
    @Muhammadnabii1Muhammadnabii2 5 หลายเดือนก่อน

    Natamani akengekuwa mutu wa kawaida aka sema ivo lakini sio sheikh wetu kama wewe maana ilo aliingii akili yani huna ata ushaidi wa vitabu sheikh sio sawa sheikh 😢😢

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kuamin nyota aifai

  • @BabaNuraty-u2s
    @BabaNuraty-u2s 7 หลายเดือนก่อน

    Mm namuelewa sana anachokisema Dr sulle ila atusaidie namba zake

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 6 หลายเดือนก่อน

      Acha tamaa tafta pesa utakufa bure majini sio Wa kuchezea

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 6 หลายเดือนก่อน

    Vija wenzangu tu somen din yetu kuepuka upuuzi kama huu sina elim kubwa ila nilio nayo nashukuru mtu awezi ni sumbua kbisa
    Majin sikatika din ukiamin majin una kua mshirikina

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 6 หลายเดือนก่อน

    Halafu jinga sana mimi nmeanza kuvaa pete kabla wewe hujazijua na siwez kutoka bila pete najihc mkono upo tofaut..ila sisi tunavaa pete kama mtume alivyovaa sio kama wewe na washirikina

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nilishawahi kusema mtu akivaa hizi pete ujuwe ni mchawi na mashekh woote wanavaa na wachungaji wa uongo

  • @ShinaidaChimombo
    @ShinaidaChimombo 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa uyu c sheikh uyu mganga wamjini

  • @Abuuaymanalmaghriby
    @Abuuaymanalmaghriby 6 หลายเดือนก่อน

    Huo ni uchawi nani shirki watu wawe makin si kila mtu anafaa kuskilizwa

  • @gideonmaganga1522
    @gideonmaganga1522 7 หลายเดือนก่อน +2

    Eti Kila binadamu ana jini ,,,weeeee labda yeye lkn sio mimi

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 7 หลายเดือนก่อน

      Yes kila binadamu ana jini, anatembea nao, wanatuona lakini hatuoni, lakini apo kwa Pete ni ushirikina,

    • @eddietaxidriverzanzibar4395
      @eddietaxidriverzanzibar4395 6 หลายเดือนก่อน +1

      HakunA m2 aliekuW hana Jini Ila inategemea 2 ni Jini wa Kheir au Shari

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 6 หลายเดือนก่อน

    KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI
    وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
    Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi

  • @ashurasenzia7203
    @ashurasenzia7203 6 หลายเดือนก่อน

    Askofu pia wavaa pete wakati wao wametawala Dunia na dini yao hakimu wetu mwenyezi mugumu kwake tutareja

  • @jumagivela
    @jumagivela 7 หลายเดือนก่อน +1

    Afadali harmonize we nze nchawi

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbona kigugumize apo kwenye Pete Mzee , nyinyi munamambo mengi sana nyuma ya Panzia

  • @BabaNuraty-u2s
    @BabaNuraty-u2s 7 หลายเดือนก่อน +2

    Atusaidie namba zake Dr sulle

  • @KhalidAli-nk5qh
    @KhalidAli-nk5qh 6 หลายเดือนก่อน

    Unajihami kwanza

  • @prijoseph4665
    @prijoseph4665 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nimemuelewa, kasomeni vizuri vitabu vyenu vya dini vizuri wazee acheni kuropoka

  • @HusseinHamidu-nq1vc
    @HusseinHamidu-nq1vc 2 หลายเดือนก่อน

    Kunatofaut ya Jin na ibilissy

  • @salumngakonda2182
    @salumngakonda2182 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwanadam una nguvu kutoka kwa Mungu ila wewe mwenyewe unayejishusha. Mpaka unatafuta vitu vikupe nguvu. Mbona wazungu hawana pete na mambo ni safi tuu. Huo ni ushirikina ndugu.

  • @timaomar-rq8rf
    @timaomar-rq8rf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Number ya doctor sule naiyomba

  • @MasemoMze
    @MasemoMze 6 หลายเดือนก่อน

    Namjuwa mke mkubwa

  • @seiphyahya5353
    @seiphyahya5353 6 หลายเดือนก่อน

    NI USHIRIKINA HUOO !!!

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

    Wachawi waislam ndugu zenu majini.

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid 6 หลายเดือนก่อน

    Sikujua kama huyu daktari wa wadudu amechanganyikiwa kiasi hiki

  • @abdallahismael701
    @abdallahismael701 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli Dr sule msomi wote uwo wivu tu someni bwana.

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 6 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji wanapata hela ooo wanaibia watu hawa sasa waganga wa kienyeji wanahela waislam wenzenu

  • @MukeshimanaMarriam
    @MukeshimanaMarriam 7 หลายเดือนก่อน

    Nawakumbusha kwamba moto yadjahanam ni kwa adjiri ya watu sasa tudjitayarishe!

  • @abdallahismael701
    @abdallahismael701 6 หลายเดือนก่อน

    Soma ujue ulimwengu inshaallah

  • @jumamkopi8040
    @jumamkopi8040 6 หลายเดือนก่อน

    acheni matusi