MAZISHI YA NYOTA SHABANI NYARUGUSU CAMP K1 VILLAGE PART 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @stellakins3770
    @stellakins3770 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa mnavyo imba ,,, poleni from Tanzania

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu zangu kwa msiba iyi mliopata Mungu ailaze roho ya muhumini marehemu mahali pema peponi ipumuzike kwa amani amina

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wajomba zangu

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 ปีที่แล้ว +1

    Dini zinakuwa nyingi kweli kama Mtariti inchi kwa nini Tufe sasa Jameni Nyota Mwenyezi Mungu akupokeye Mahali pema Amen

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 ปีที่แล้ว

    Baba tunamuke mtumishi wako uyu mikononi mwako umupokee kamavile ulivyo mpokea mwana wako wakati alipo Kata roho yake akasema Baba mikononi mwako naiweka roho yangu pia tunakuomba mikononi mwako umupokee mtumishi wako uyu apumuzike Kwa amani amina

  • @mlendaebengo2547
    @mlendaebengo2547 3 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 3 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana ila nashindwa kuelewa hapa naona wamevaa kanzu kisha nasika haleluya

    • @beyondvisiontv999
      @beyondvisiontv999  3 ปีที่แล้ว

      Yeah ni kanisa la ELSHADAY

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      labda ndio maneno.ya sh Adi 😂😂😂 hawa ni dhehebu la walokole km hivi wale wanaoimba nyimbo za i njili wamevaa kanzu na wanawake manvaa baibui na hijabu .

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      hao wamevaa vazi la Yesu na hizo kofia km ganda la chungwa nawezekana ndio Yrsu alikuwa anavaa maana waizrail ndio vazi lao hizo kanzu na kofia km hizo .

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭Nyota Mungu akupoke.

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 ปีที่แล้ว

    Hizi dini ni mtihani

  • @machozinaecha6033
    @machozinaecha6033 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole pole san 😭😭😢

  • @elenamlasi6815
    @elenamlasi6815 3 ปีที่แล้ว +1

    Poleni san na msiba 😭😭😭

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 3 ปีที่แล้ว +1

    Polenisana

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 3 ปีที่แล้ว

    Photo yake hakuna

  • @annabashale5674
    @annabashale5674 3 ปีที่แล้ว

    Wa musilman ?

  • @gabrielbyaese631
    @gabrielbyaese631 3 ปีที่แล้ว +1

    sorry