Kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na juma tano saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kwa namba #0653127761, muendelezo wa kipindi hiki utaruka siku ya jumamosi ya tarehe 12/08/2023, saa nne kamili asubuhi
oya dupa sna mzazi nazida pata vitu kwa kk angu bundala au gamba mla chake ,, naona wana familia washaanza kumuita mzee wa kachori na kachumbali km ivyokua kwa kk baloz mzee wa kabinyau au mzee wa kwiyo.

Apo kwenye jafongo 😂😂 Baharia Mzee 1993 🇿🇦✈️🇹🇿
Yuzo mwamba kamharibu Dupe, anauliza maswali ya kibaharia kabisa .. 😂😂😂
Nime wayi nipeni liké yangu
Mabaharia wanakwama wapi story zao na maisha yao ya sasa tofauti sana walikwama wapi
Acha utoto
Bravo mzazi don't lose hope
Waiting, MGRRRRRR😅
Oya noma sana, sema nn ofsa dupa usicheleweshe part 5 mwanetu
Kwamba watu wakikabana ndege inaelemea upande 🤣🤣🤣🤣 nimecheka kichoko
Baharia ana swqgg sana tunaenjoy
Daaa hata kama ni uongo lakini nimèfurahi sana issue ya kukabiana katkat ile kubalance ndege😂😂😂
Dah😂😂mzee wetu alikuwa noma sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 inafurahisha sana
Raia zinakabana kwenye ndege kweli😅😅
Dah , kama movie hivi !!
Mzee wa mhhhhhhhh😂
Mzee mcheshi sana
oya dupa sna mzazi nazida pata vitu kwa kk angu bundala au gamba mla chake ,, naona wana familia washaanza kumuita mzee wa kachori na kachumbali km ivyokua kwa kk baloz mzee wa kabinyau au mzee wa kwiyo.
hahahha hatari kaka
Respect
Mzee wa mmmmhhhhhhhh
Huyo Mzee mganga nilikua namfahamu,na bibi yake alikua anauza Maandazi
Kuluma malume ngiyabonga awe awe
Kaka hizi story zako. Nahisi kuzamia zamia na Mimi.
😂😂😂
Fanya mazoezi ya kufunga wiki bila kula km utaweza nakushauri zamia
Mzee wa kachori na kachumbari😀🤣🤣
hahahahahahahaha
Hahaha