ความคิดเห็น •

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 ปีที่แล้ว +1

    Mkola wee n maxter🔥🔥💪🏾 dadek😳

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 ปีที่แล้ว +1

    Team mkola nipo

  • @ticianmarando9027
    @ticianmarando9027 ปีที่แล้ว +1

    pambano lao halikuwa nzuri sana,kukimbia na kushikana kwingi,the winner has to really change his fighting tactics ,maana akikutana na wababe anakaa mapema sana, pengo afanye mazoezi sana ale vizuri,apunguze vilevi he will prosper

  • @rajenderrobert8605
    @rajenderrobert8605 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli huyo Said Mkola yuko vizuri sana, akitengenezwa atafika mbali kimataifa

  • @anicethpeter3100
    @anicethpeter3100 ปีที่แล้ว +2

    Huyu pengo sura yake duh

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo ปีที่แล้ว

    Pengo mtu mbishi duh Much ❤ Azam tv

  • @Thomas-qi3gq
    @Thomas-qi3gq ปีที่แล้ว +2

    Pengo apunguze bangi

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazi mmoja mshabiki Ile mbaya bondia wake kapigwa

  • @goodluck-fh2qh
    @goodluck-fh2qh ปีที่แล้ว

    Aliliaa sana pambano uyo

  • @thegreat6626
    @thegreat6626 ปีที่แล้ว +2

    Kilicho nifurahisha ni uwezo wa Pengo kutumia kichwa chake kupangua ngumi 😄😄😄

  • @cassanovarcousin7973
    @cassanovarcousin7973 ปีที่แล้ว +3

    Pengo Kampa dogo Kiki nae dogo aonekane mjinii hapa ila kwa pengo ninae mjuwa mimi huyo mtot asinge fika round zote hizo pia mwane2 pengo anazinguw ku change gym nd ina mkost mala leo huku kesh huku unaznguw

  • @gustavompemba1781
    @gustavompemba1781 ปีที่แล้ว +1

    Ato mlilia tena

  • @user-hd2be8sw5z
    @user-hd2be8sw5z ปีที่แล้ว +2

    pengo n mzur na ni talent,ila huyu dogo ana mbinu ndio zilizo muumiza pengo.pengo alikamia game

    • @nimrodsigulu6249
      @nimrodsigulu6249 ปีที่แล้ว

      Hebu kuweni serious Basi nyie wenzetu mnaangalia ngumi.zipi? Pengo ana talent???😀😀

  • @GeofreyNdewario-pp9hx
    @GeofreyNdewario-pp9hx ปีที่แล้ว

    Piga jitu

  • @calenmichael6853
    @calenmichael6853 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 hapo kwanza ncheke

  • @user-bs1od1zl4m
    @user-bs1od1zl4m 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo bondia anafanana kiberiti ambacho kitatumika kuteketeza wavuta bange sikuya jehanamu

  • @andemarley2705
    @andemarley2705 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅😅

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 ปีที่แล้ว +1

    hakuna bondia hapo mtu kaisha kbs huyo na mibangi n pombe

  • @AminaAbdalah-wx8tv
    @AminaAbdalah-wx8tv ปีที่แล้ว

    Duh uyu kwel pengo Mana sio kwa sula iyo