ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wimbo umenibariki sana namwona dada Rebecca since kiamili sec school
Aminaa asantee kwa wimbo mzuri unatukumbusha kutafakari na kujiandaa kiroho. Amina Mungu anikumbushee kutenda mema
Mungu niongoze kutenda yaliyo mema
Huo wimbo maneno yanatukumbush tumrudie mungu kwakweli
Aiseeeee nyimbo yenye tafakari kubwa sana na inatumbusha wajibu wetu hapa duniani Mungu atusaidie....hongera sana NTIRIHUNGWA na waimbaji wote kila kitu kipo mahali pake
Ahsantee kwa nyimbo nzuri na yenye tafakari , siku ya kufa kwangu sijui Ni lini nikumbushe Bwana niongoze kutenda yaliyo mema😭🙏🙏
Wimbo mzuri kutoka kwaya ya Mtakatifu Mikaeli 🙏
Asanteni sana wimbo umenibariki na siku zote Mungu atukumbushe kutenda yaliyo mema mwisho tuketi nae mbinguni
Amina
Wimbo mzuri Sana unatafakalisha hongereni sana
Jamani wimbo mzur sana nimefarijika sana asanteni kwa kuinjilisha
Wimbo mzuri sana unafanya mtu ufikirie na kumrudia Mungu. Hongereni❤❤❤
Mmmh atali sana
Hapa duniani kweli mimi ni mgeni kwetu ni mbinguni kwenye heri ya milele
unajiunga lini na kwaya ndugu yetu!
Amen
unakuja lini kujiunga?
Hakika tukeshe siku zote mama siku hiyo ni siri take muumba
Write words on the screen please
Words are their friend see well at the bottom of the video but it is 2 small
Thank 4 watching