NGAJUPA - FAHYMA(OFFICIAL AUDIO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 692

  • @happyjohn5369
    @happyjohn5369 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooo falyma kipenzi Cha watu

  • @paulinewangari4554
    @paulinewangari4554 3 ปีที่แล้ว +1

    Ray ataona aibu kuwa Fahymah kapendwa na kila mtu...Katoto laini kashamtoka...wapi likes za Fahymah wetu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @mildredatieno5225
    @mildredatieno5225 3 ปีที่แล้ว +17

    Love you fahyma from Kenya, rayvanny gonna feel it the same way jux did tulia mummy u will get the best just like vannesa

  • @Sherowsparkles
    @Sherowsparkles 3 ปีที่แล้ว +1

    Faymah twakupenda ❤💟💟💯mwanamke bombs💘💝💗💗

  • @mwanahamisnsillah7800
    @mwanahamisnsillah7800 3 ปีที่แล้ว

    Nataman hadi kulia ngoma kali sana😢😢fahyma mama usilie

  • @Sherowsparkles
    @Sherowsparkles 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani yule Paula amekuita majina😩amejaribu kutafuta maneno kutoka kwako 😋lkn fahymah wetu akasema chochote😘mwanamke halisi niww fay😘😘😘💗💗nakupenda kwa akili unazo kumshinda yule mtoto mdogo paula

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 ปีที่แล้ว

    Time fahyma tujuane😙😙😙😘😘

  • @man-chas3606
    @man-chas3606 3 ปีที่แล้ว

    Goma liko vizuri kaza sana mdogo wangu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 ปีที่แล้ว +57

    Woooooow 🙌🙌🙌🙌mashaAllah MashaAllah... Fahyma unapendwa sana na watanzania,tulia tu ufanye mambo yako,mwanamke/mwanaume sio ndugu yako,mkiachana sema Alhamdullilah🙏🙏🙏🙏uendelee na safari yako ya maisha

  • @asinathmuhidini4046
    @asinathmuhidini4046 3 ปีที่แล้ว +2

    Fayma we mzur. Sana uyo paula akupati. Ata chembe. Kaza buti. Utashinda. Mdogo wangu.

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @mwanaishamtawite7906
    @mwanaishamtawite7906 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri Sana hiii 🔥🔥🔥🔥

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 3 ปีที่แล้ว +4

    Tuko wengi tumeumizwa. Asante kaka fahya ametuwakilisha.💔😥

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      KABISA DADA MAMUU

  • @jasminkalombe9719
    @jasminkalombe9719 3 ปีที่แล้ว +5

    Najikuta nalia jamani 😭😭😭😭😭😭😭 yamesha nikuta kama ya fayma jamani ni ngumu ku meza kweli 😭😭 ila iyi nyimbo umeuwa 🔥🔥🔥🔥

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Asante Dada jasmin

  • @nanbby1214
    @nanbby1214 3 ปีที่แล้ว

    From TikTok ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏

  • @zainabswalehe4271
    @zainabswalehe4271 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma ❤️❤️❤️

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 3 ปีที่แล้ว +4

    Faima ww ni mzuri huna skendo mtoto mdogo lakini unajiheshimu tulia tunakuombea umpate wanaume was uhakika vumilia jipe moyo mwombe Mungu wanaume wazur wapo utainjio maisha na utasahau

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +4

    Aweeeeeee umetisha 🤟🤟🤟💥💥fahyma tunakupenda ujui tyu....

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Saaana

  • @hawwahawwa9590
    @hawwahawwa9590 3 ปีที่แล้ว

    Nc mbaka basii😍😍👌

  • @issahmjanjaog
    @issahmjanjaog 3 ปีที่แล้ว +1

    Njoo TH-cam andika Issa mjanja utajionea wacheza chula

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wa moro mwenzangu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      yah Moro nyumban

  • @chrispusmutambuki104
    @chrispusmutambuki104 3 ปีที่แล้ว

    pole fahyma you never know@kenya

  • @frolalupogompumbavuwewesiw179
    @frolalupogompumbavuwewesiw179 3 ปีที่แล้ว +28

    Huwa sipendi nyimbo za sengere lkn huu wa fayma ni 🔥🔥

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow! Nice one ona jinsi watu wanavyokupenda

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @shameelashameela9857
    @shameelashameela9857 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma mwenyew kayabalanga kaachwa we unaweza dem wako agongwe nje

  • @miriumndossa9738
    @miriumndossa9738 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tifaneymtife4488
    @tifaneymtife4488 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma ni mfano wa kuigwa and she have good heart and come kwa kwali but mtu huwa haoni thamani na maana ya kitu au mtu wakati ako nacho ama naye lakini mradi tu, kitakacho mwondokea ataishi kusema heli ningelejua.much 💘💘💘 from 🇰🇪🇰🇪 fahyma and keep it up.

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 3 ปีที่แล้ว +13

    Namba huu wimbo uwe namba moja on trend,kaka umeimba hongera na ombi lako likubalike na fyma

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +2

      sawa dada angu shukuran

    • @tygerfire9086
      @tygerfire9086 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyew hadi nimelia

  • @agustinondaga5093
    @agustinondaga5093 3 ปีที่แล้ว +38

    Dogo ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Asante kaka shukuran

  • @joycesengo3976
    @joycesengo3976 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma wangu tuko pamoja tunakupenda sana 😢😍😍

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri ila mwanaume sio baba yko mzazi penda uku wachuna vipesa vyake wajenga kwenu maana kunasiku atakuacha pesu mchana kweupe wahanza moja

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว

    Kwani DUNIA nzima alianza kuachwa yeye tu wabongo kwa shobo tupa kule

  • @nozuratz8024
    @nozuratz8024 3 ปีที่แล้ว

    Mbaka nimelia jaman

  • @allychondo5414
    @allychondo5414 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda fahyma

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaa

  • @marykitulya7257
    @marykitulya7257 3 ปีที่แล้ว

    Fayma wapendwa na wengi nice song take heart dada

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      That is true

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 3 ปีที่แล้ว

    Achana na huyo mjingaa asiye ona umuhimu wa fahyma, wakati mwingine hadi wimbo anamwimbia hukuu,.😊🔥👌👌 LOVE you fahyma

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @yahyabah1203
    @yahyabah1203 3 ปีที่แล้ว +3

    I swear I love her.....she smart plz stay calm the angels are wit u......I'll really feel for her....

  • @prodyuzastanley5369
    @prodyuzastanley5369 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dgffydyeu4014
    @dgffydyeu4014 3 ปีที่แล้ว

    Nice one 👌 song

  • @shannyrashid771
    @shannyrashid771 3 ปีที่แล้ว

    Eiiii😭😭.....much love fahyma🤗🥰🥰🥰

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 ปีที่แล้ว +43

    Fayhima is very lucky girl. Ahe is loved by many people. 👌

  • @joankikie7945
    @joankikie7945 3 ปีที่แล้ว +2

    Much love mummy fyma....Kenya twakupenda sana mum

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @johnjaphet376
    @johnjaphet376 3 ปีที่แล้ว

    Noma Sana

  • @roseconstantine7171
    @roseconstantine7171 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali sana

  • @fabolojaslan6701
    @fabolojaslan6701 3 ปีที่แล้ว

    Baby 😒😒♥️♥️♥️🙏🙏🙏💃💃💃Mung atakupiganiy

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Asante baby

  • @ahmedalazkawiasantesana6453
    @ahmedalazkawiasantesana6453 3 ปีที่แล้ว

    Mzruri san

  • @zainabuhaji6719
    @zainabuhaji6719 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma iko poa cnaaa♥️♥️

  • @josphineatieno4348
    @josphineatieno4348 3 ปีที่แล้ว

    Amazing I love you gal

  • @adilinewanyonyi4880
    @adilinewanyonyi4880 3 ปีที่แล้ว +6

    Fire kazi nzuri sana keep going bro👍💪💪💪🎶🎶💯

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran

  • @puritymusimbi7878
    @puritymusimbi7878 3 ปีที่แล้ว

    FAYMA IS BEST EVER NGOMA KALI🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @marthashuma897
    @marthashuma897 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali

  • @joymakena9152
    @joymakena9152 3 ปีที่แล้ว +31

    Ngoma kali Sana....love you Fahyma from Kenya❤❤❤

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      shukuran kaka

    • @francisongaga299
      @francisongaga299 3 ปีที่แล้ว +3

      Ngoma iko sawa fahyma vumilia ww mrembo sana.

    • @julietawinja5658
      @julietawinja5658 3 ปีที่แล้ว +1

      Fahmay tulia baby girl big up love you from Kenya

    • @grecebakari6458
      @grecebakari6458 3 ปีที่แล้ว

      Vumilia my friends kila jambo lina mwanzo na mwisho ❣️fahyma

  • @suleimanseif5959
    @suleimanseif5959 3 ปีที่แล้ว +1

    Fahyma teeeeena weeeeeee 😘

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Hatarii

  • @faithmuleizi2683
    @faithmuleizi2683 3 ปีที่แล้ว +1

    Fayma my favorite love you fayma

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Thank you

  • @jhumblebby3547
    @jhumblebby3547 3 ปีที่แล้ว

    ❤️ to u fayma from254

  • @medinahkhayanga7029
    @medinahkhayanga7029 3 ปีที่แล้ว +4

    Wow na 👍🇰🇪

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      asante sana

  • @annkavinya2597
    @annkavinya2597 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana fahyma😘🥰🥰💞💕

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      kabisa

  • @catherinejudy7797
    @catherinejudy7797 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma mama nakupenda sana kutoka 🇰🇪 tulia utapata Your soulmate

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

  • @sifakinyata
    @sifakinyata 3 ปีที่แล้ว +1

    Fahyma usijali mapenzi ya kale tuliya utamupata mwenzio tena muzuri sana wa sura na tabiya😘🥰

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      kabisa

  • @jullietnamukoko7038
    @jullietnamukoko7038 3 ปีที่แล้ว

    Vumilia fayma japo kuwa umeumizwa Sana ,Kila kinacho tokea katika maisha kina sababu zake,Kila kinacho tokea kinatufundisha else to be strong, humble,kujiamini na mengineyo ambayo sija yataja ,namuomba Mungu akutie nguvu maana yeye ndo mtetezi wetu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran

  • @jenifhysajiro5782
    @jenifhysajiro5782 3 ปีที่แล้ว

    Doqo nqajupa nqoma kali sana VIJANA wa manq'ula mpeni sapota kijana mwenzenu

  • @neeprince12
    @neeprince12 3 ปีที่แล้ว

    Kaliiii sana

  • @مريممحمد-ظ5ش4ض
    @مريممحمد-ظ5ش4ض 3 ปีที่แล้ว

    mob love Fahyma

  • @karimicharity204
    @karimicharity204 3 ปีที่แล้ว +1

    Yule Mungu wa Vanessa bado yuko❣️

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @تةامممن
    @تةامممن 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda feyma 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥳🥳🥳🥳🤩🤩🤩🤩🤩😍😍😍😍

  • @floramitoto3131
    @floramitoto3131 3 ปีที่แล้ว +2

    Fahyma mama beautiful lady ❤️ nampenda jmn

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante dada

  • @sophiemwanina5979
    @sophiemwanina5979 3 ปีที่แล้ว +3

    This girl knows to love 💕💕💕.mama God will pay back your pains

  • @fatimambaruku1833
    @fatimambaruku1833 3 ปีที่แล้ว

    Kitu muhima n confidence na ww unayo Fayma so ucjali cute girl yote maisha tu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @officialbizzo5937
    @officialbizzo5937 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaza Kaka tupo pamoja Sana

  • @habibah118
    @habibah118 3 ปีที่แล้ว +4

    Wow 🥰🥰

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @mal5566
    @mal5566 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow mashaallah dadangu uko na bahaty ya mtende kumea warabuni🥰

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @oliverdarema2736
    @oliverdarema2736 3 ปีที่แล้ว

    Vizuriiii sana kipaji unacho

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @djharid3214
    @djharid3214 ปีที่แล้ว

    Oyoooiiiii❤

  • @mammam4701
    @mammam4701 3 ปีที่แล้ว

    Tulia mama mda Utafika❤️🙏 nakupenda kutoka ❤️❤️❤️❤️❤️muscat

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 3 ปีที่แล้ว

    Woyoooooo

  • @Eucabeth_07
    @Eucabeth_07 3 ปีที่แล้ว +8

    I love the lady so much in that even when Paula tries to call her names she has never responded
    Keep it up girl

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

  • @beatricejoseph5248
    @beatricejoseph5248 3 ปีที่แล้ว

    Sikufichi najikuta nalia dah

  • @joycechege5071
    @joycechege5071 3 ปีที่แล้ว +1

    Loved you from saidi

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Thank you

  • @ajaxtisher6587
    @ajaxtisher6587 3 ปีที่แล้ว +3

    Nomaaa sanaaa 💥💥

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      nakubali msanii wangu

  • @jocinteraumabuong3464
    @jocinteraumabuong3464 3 ปีที่แล้ว

    No matter wat life u pass life must continues but money can miss lead someone so do worry

  • @officialbizzo5937
    @officialbizzo5937 3 ปีที่แล้ว +5

    Ngoma Kali Sana 💥💥💥

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Nakubali sana

  • @nusraatel9866
    @nusraatel9866 3 ปีที่แล้ว

    Watching from Saudi Arabia I love the song plus fahyma she is the best

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 3 ปีที่แล้ว

    Jaman nzur Sana vumilia mama mjali tu mwanao mwanaume so ndugu yako mlikutana ukubwan asikupe shida

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @zawadimasula6253
    @zawadimasula6253 3 ปีที่แล้ว

    Nimefulahi Sana umenifaliji nikiwa mshabiki wa fahyma mimi

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Sawa sawa

  • @ummieatiti8386
    @ummieatiti8386 3 ปีที่แล้ว

    I love fayma.Rayvanny atarudi tu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Sana

  • @salhaayubu6027
    @salhaayubu6027 3 ปีที่แล้ว

    Jaman mashaallah kipenz fayma mm mwenyew nakupenda sana dada Paula anachezewa tu

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @badimohamed3040
    @badimohamed3040 3 ปีที่แล้ว +1

    Fahyma she is so beautiful queen mashalha she doesn't deserve to cry

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      yah is it true

  • @jeciedommiah5071
    @jeciedommiah5071 3 ปีที่แล้ว

    Great

  • @kondegang155
    @kondegang155 3 ปีที่แล้ว +1

    King poo TV umenileta huku nakushukuru

  • @mamarohosafi2046
    @mamarohosafi2046 3 ปีที่แล้ว

    Wooooooow👏👏👌❤💥 like it🙋‍♀️🙋‍♀️uuuuuuh

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 3 ปีที่แล้ว +1

    Fayma mzuri sanaaaaaa

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @paulinepinti2343
    @paulinepinti2343 3 ปีที่แล้ว +9

    I feel for Fayma...let Vannessa motivate you dia...you gonna get you a man ten times your ex.take heart diA

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      That is true

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว

    Fahima pokea nyimbo yako maana ni moto sana💯😍

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว +1

      Saaana

  • @alhajimbalikila1996
    @alhajimbalikila1996 3 ปีที่แล้ว +1

    uyu jamaa yukopowa sana anajua kuimba sn

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran sana

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 3 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo kali kama fayhima mwenyewe

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @rahelshaffy9779
    @rahelshaffy9779 3 ปีที่แล้ว

    Fahyma wewe mzuri sana paula hakupati hata kidogo akizalishwa tu anakongoloka na mwili wake mkubwa haendani kabisa na mume wako rayvann

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @dfinafriga9863
    @dfinafriga9863 3 ปีที่แล้ว +2

    Kali sana❤️

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      shukuran sana

  • @eliviaprotase1687
    @eliviaprotase1687 3 ปีที่แล้ว

    Marshal fayvan

  • @mariamuhamadi4966
    @mariamuhamadi4966 3 ปีที่แล้ว

    Kali sana ngoma hii

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @vallemgogo1153
    @vallemgogo1153 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongela kaka ngoma kali

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran sana

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka uko vizuri sana kumuhimbia fayma

    • @ngajupa
      @ngajupa  3 ปีที่แล้ว

      Shukuran