The Real Househelps of Kawangware follows the lives of 4 househelps Awiti, Kalekye, Njambi and Trufena as they go through their daily routines in Kawangware.
hapo sawa awiti nyako wa dala ambia doc hatupendi ujinga eeesh, sema makena chonga viasi nayo, makena hawa masponsor wamekufikisha kwa viazi wolololo ategemeae cha sponsor huchonga viasi hahahaha Valentine's manenoz
show iko juu mazee I like onyi and brayo so cute in suit awiti ati kutoka Saudi Arabia ghai 😁😁😁😁Nani anawatch from Cairo? mikono juu🔉🔉
Aki Awiti Ati umetoka wapi😂😂😂😂😂sisi @team Saudi tuko lembe💃💃💃......
Team free wifi..... Like tukisonga
Lornah pumpum 😂😂😂😂apo sasa
Ati awiti ametoka Saudi Arabia hahaha
Lornah pumpum awiti matharau nayo
Lornah pumpum pesa za diaspora lol
Lornah pumpum kama kawa
huyo sister ya mama Sharon Ni kama hawa wanawake waarabu, behaviors though 😏😏😏😏
Merry jos Wepsa ...hahaaaa...ati ni kama nani you make my day hawa tuliwasoea
good girlfriend
Merry jos Wepsa exactly kwani alikuwa saudia , ngai simpendi
onyi looks different😍awiti though😂😂😂😂😂😂😂
aki huyu siz ya mama salon anakaa devil worshiper lipstick ya black 😆😆😆😆😆😆😆
Grace Ndung'u
Hi
i wish inawanga refu kiac...gud job guyz
waaaaau sema onyi leo kungara na suit😍😍😍😍😍😍
shantel shantel 😍😍😍ako smart
Kate Prince rasta ako smart Sana ....onyi na base
Rhoda moraa am telling u he's hot sana
+Anne Juma happy valentines day
mimi sina team l love all of u l mean everybody no how 2 play her part l love u all
Awiti spare my ribs eti kutoka Saudi Arabia #team+966 mimi hapa chapa wera
team njugush,truphena na matilda hawa wageni joh hawaleti bidi
Tumetoka Analog tunaenda digital💃💃💃+martin munene
the original cast we miss then show haileti shangwe
Samuel Gitau maze haileti shangwe
The show is going down day by day. We need Truphena, Kakye and Matilda back. Njugush pia aje. Hawa amateurs ni bure kabisa
Manze hawa wageni jooh...
I love njambi. the business lady
waaah haha..makena pole..Awiti eti umetoka wapi lol😄😄..Njambi pwahahaaaa umewezwa..bigup guys
I watch from Lebanon aki awiti umenimaliza sweet
The "cool doctor" when drunk is so talkative
wase happy Valentine all hapo sawa from Oman muscat mwaaaaaa. joys
I've been putting this series off for so long about time I caught up. 😂
I miss home!
😅😂😂saudi arabia gani unatoka kama umesota😅kai we na goma!
manal love hahaha ate atia 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 oooh makena leo umepatikana, 😂😂😂😂 huyo doctor hizo lips da kiss anakiss aje
I really like the show
huyo sister ya mama Sharon anabore,,, NKT!!!!
Esther Waithira haiya classmate we ni team free WiFi pia
mary ngai yeap.
OK.
Show iko sawa bt awit aki wewe mungu anakuona to aty do ya Saudi eeeyawa😅😅😅😅😅
Me N Ule Dem hahaha lazima caretaker aonje pesa ya daspora
enes mwangi hehe awit ukuwanga very funny sana anyway n sawa c bad kukula pia yy
hahaaaaaaa makena pole......utazaa panadol........onyi....sir.boss
ahaha mbu ni mmoja mmoja Waiting knows how to bargain.
great...
Onyi na Brayo si wamenga'ara.Hahahaha Awiti.woi Makena pole
Ti hi hi!!! Enjoyed the episode. Onyi na suti halafu vile anaangalia hizo vipini!!!!? Ha ha ha. Na Brayo yuko juu!
Awiti mambo mbaya love your character
makena kuchonga viazi na uko bby umenimaliza yawa mkiwa naija awiti kutoka Saudi siku hizi mko juu sana
wawawa Onyi kumbe unakuwanga mhandsome hivyo
swagg ya shiti imenjazz...macolabo nazo hahaha!
awiti ati security ka ya statehouse😂😂😂😂😂😂😋
daktari nitakudunga sindano ya potasium silent
AWITI my favourite one!!!!
roy muturi team awiti
Haha Sally Mukami ikr
hahaaa...Makena n Njambi wooi
wauu nice
Ahh Onyi bana umedunga fresh Na Bryo nawe kazi ya manager iko Mzee shikilia
hahahaha makena na daktali mnalipa bill na nini ...show n poa
Huyo doc anaboooooo
Brayo...haa korokoroni au kuchonga viazi....makena hapa kazi dada
Onyiiiii😂😂😂😂😂
Wow ... onyi ako smartiii ako na suit ....lol awiti kutoka saudia nayo
ooohh no more Ep siezi subiri the following, show inanibaaamba mbaya
nice brayo
leo hizi nyumba zenyu ziko smart Leo....viti check✔decor✔ warembo✔
show iko dop!! awiti from saudi Arabia yawa! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
makena always gudluking
Heheee, makena umejiangusha
awiti ati ametoka saudia😂😂😂😂😂
Brayo na Onyi wako 👌 👌
hahahahhaha makena na njambi happy valentine loh hahahahhahaha
hahahaaaa! awiti watu wa free wi-fi wako bomba!
onyi wallah uko funny na suit😭😭😭😭😭
hahaha awiti kawalet umejisort ka hao nayo,,, makena kasoga viazi hmmmm kajama mnoma
onyi Mr suit boy....hahaha
onyi leo umenimaliza whue
Huyu msichana(siz ya mama Sharon) a najua njambi vizuri na anamaringo. Bt hii kuona mbosh kaa Choo sipendi kuwa na Utu Alaa.
Brayo alitupa Lollipop juu ya u-mananeja
Hahaaa... pole makena kwa kechonga viazi wachana na hawa watu uokoke sasa
ati ametoka saud arabia.....awiti
Pauline Mwihoti 😂😂😂
marashi ni ya ki walalo inanuka hadi next valentine....... Kali sana hiyo mbona
turufena namsi zipix matilda...woooooo.....Awiti mahips zitaanguka
heheeeee chonga waru
woiye makena
b kuchonga viazi haaaaaaaaaaa makena?brayo na onyi Leo mko juu suti nayo frm Oman muscat
Makena 😂😂😂woiii chonga viazi
they finally shout out watu wa saudi lol
😂😂😂😂😂😂😂😂awitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii makena chonga waruuu😂😂😂😂😂
Haha makena round hii ni wewe
Awiti....mradi asigonge mlango kukudai.
hapo sawa awiti nyako wa dala ambia doc hatupendi ujinga eeesh, sema makena chonga viasi nayo, makena hawa masponsor wamekufikisha kwa viazi wolololo ategemeae cha sponsor huchonga viasi hahahaha Valentine's manenoz
onyiii leo kanimaliza
Hahaha ghai awiti eti umetoka saudi 😂😂😂😂😂😂
onyi leo umengala😚😚😚😚😚👌👌👌👌👌👌👌👌👌
Eeh Njambi amepata mkali wao
Ati doh zithibitishwe na IEBC 😂😂😂
part 1😙😙😙😙😙
Ghaaaiiii eti saudia Arabia😂😂😂😂😂😂pesa za diaspora Lazima uonje Hahahaha Awiti you kill me yawa nyathiwa
ati marashi ya walalo😅😅😅.
security kama ya state house
njambi 😂😂😂
hahahaha onyi leo amevaa shuti
uyo dem ako na matharau acha mathas Buda
ohhhhh awiti wewe pesa ya diaspora
awiti yawa umetoka saudi arabia so funny
Awiti Ati umetuma Saud arabia
brayo hacheki na watu, manenger roolpop hapana tabua, kwisha daktari wallet hupati
😂😂😂😂makena
Ahh shittti uko poa
Central Bank wanitume kwa rotich rotich kwa lEBC l chatch you my man aki awiti niokotwe siaya
huyo sister mama Sharon ana act poa sanar.
qq jewel kapsaaa kuna vile anambamba
ghai uyu dame anacheza na Njambi😩😩anamjua kweli ? ?? àlafu Onyi😂😂😂😂
Awiti 😅😅😅😅😍😚😚😚
makena😂😂😂😂😂atakam kulilia choo kama bill haijalipwa
Makena na mashida 😂😂😂
part 1 parrrt 1 jamani iko wapi??
Kkkkkkkk....hyo waiter jamani
hizi ma hao zime fanyiwa make over wasee hamja notice
aki huyu dem si amemkalia kajamjam japo eti ingia jikoni haraka
Makena umepatikana hahahaaaaaaaaaaaa!!!!