Mdahalo Kuhusu Kupiga Dufu Sheikh Kassim Mafuta Dhidi ya Kazuba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 ปีที่แล้ว +7

    Shekh Kazuba uko vizuri Allah Akubaariki. Hao mawahabi wa natuvuruga saana kumbe dufu sio bidaa

    • @uislamu9932
      @uislamu9932 4 ปีที่แล้ว

      kwani nani kasema dufu bidaa ndg sema nani mpigaji ndo kinachoongelewa hapa

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 ปีที่แล้ว +4

    Umejibu vizuri saana shekh. Kazuba Wanafikiri hamkusoma sasa wamekwama

    • @uislamu9932
      @uislamu9932 4 ปีที่แล้ว +1

      nani kakwama kwani?alotumia kauli za ulamaa zinazoongelea qiyaas au alotumia dalili ambayo sio katika hoja anayozungumzia

  • @Natureo-hr9xc
    @Natureo-hr9xc 5 ปีที่แล้ว +3

    Mjadala mzuri.mijadala kama hii inatakiwa sana Ishallah.

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu wadufu mnamatatizo sn ktk Elim sahihi pia ktk imaani nimatatizo Tuy. Alihamdulillah shekhe Qaasim Allah akulipe Kheri maana Hawa Watu wabidda wanamatatizo yaelim ktk maisha Yao. Warangi wakondoa Masange haubi Tanga zaharau, shemsia, tamta mpo au mmekufa

    • @abuubakarihussein2664
      @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว

      Uchache waelim ndio Shida huyu MTU wadufu anaesema ugali sijuwi kupika. Anamatatizo yakili hawana dalili Wala hoja yamaana. Tumieni dalili acheni kelele watu wadufu

    • @abuubakarihussein2664
      @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว +1

      Uchache waelim ndio Shida huyu MTU wadufu anaesema ugali sijuwi kupika. Anamatatizo yakili hawana dalili Wala hoja yamaana. Tumieni dalili acheni kelele watu wadufu

    • @abuubakarihussein2664
      @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว +1

      Watu wadufu mko wengi lkn hoja zenu fupi mnakazi yakuzunguka Tuy

  • @sharifgojo878
    @sharifgojo878 6 ปีที่แล้ว +7

    Baarakallah fiyka SHEKH letu kassim mafuta

  • @abuuzaynab3447
    @abuuzaynab3447 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kheri sheikh na akupe uhai mrefu

  • @omaribmdoe1000
    @omaribmdoe1000 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera al akhe kasim mafuta

  • @ibnahmad607
    @ibnahmad607 5 ปีที่แล้ว +6

    Kupitia midahalo kama hii ndo mtu unapata kuitambua haq vizuri, mana wanakutanishwa wafanyaji na wapingaji.
    Allah awabariki nyote na atujalie kuwa ni wenye kuijua haq na kuifata.

  • @amanihepautwa6812
    @amanihepautwa6812 5 ปีที่แล้ว +8

    Shekhe Qaasim mafuta maashaallah amesoma akaelewa mambo

    • @ميمميم-ص1ظ
      @ميمميم-ص1ظ 5 ปีที่แล้ว

      Ma shaa allaah shukran thaaana sheikh qassim mafuta jazakallahu kheyr darsa limeeleweka alhamdullaah

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 4 ปีที่แล้ว +3

    The Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said:
    “Among my ummah there will certainly be people who permit zinaa, silk, alcohol and musical instruments…” (Narrated by al-Bukhaari ta’leeqan, no. 5590; narrated as mawsool by al-Tabaraani and al-Bayhaqi. See al-Silsilah al-Saheehah by al-Albaani, 91).
    Madufu ni vifaa vya music na yangekuwa sio haramu yasingetajwa pamoja na pombe na zinaa.

  • @abuualban12
    @abuualban12 6 ปีที่แล้ว +4

    Barakallahu fiyk yaa sheykhana.

    • @issasamwelmyinga7909
      @issasamwelmyinga7909 5 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillaahi !Sheikh Kasimu Maftaaha nimekuelewa Vizuri mnoo .Wewe ni Sheikh wa uhakika ,Dufu kwa wanaume hazifai kabisa .Sheikh Kasimu umetuzindua kwa hili ,na unaeleweka Vizuri ,ukweli uko wazi .

    • @nasraurassa5946
      @nasraurassa5946 5 ปีที่แล้ว

      @@issasamwelmyinga7909 shekh ni mzuri sana

    • @janimohamed2938
      @janimohamed2938 5 ปีที่แล้ว

      Barakallahu fiyk

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 2 ปีที่แล้ว

      .
      mawahabi ni wabaya

  • @allyjaffar7730
    @allyjaffar7730 5 ปีที่แล้ว +3

    ndugu zangu wa kisalafi nawapenda kwa ajili ya allah....

    • @amourbadal3331
      @amourbadal3331 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu zako waislam sio salafi, "'almuslim akhul muslim"

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 5 ปีที่แล้ว +3

    أبو الفضل الله يحفظك ويجزيك خيراً

  • @janimohamed2938
    @janimohamed2938 5 ปีที่แล้ว +2

    Barakallahu fiyk

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 5 ปีที่แล้ว +4

    Watu mnaopenda kushabikia uzushi ktk dini muogopeni mungu.

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 7 ปีที่แล้ว +7

    Ndo njia ya sawa kabisa kabisa haujakosea kabisa kabisa

  • @sirajinakamotz7232
    @sirajinakamotz7232 5 ปีที่แล้ว +1

    Naaam hongera sheikh

    • @rashidally4621
      @rashidally4621 5 ปีที่แล้ว +1

      Allah akulipe kila la kheir sheikh Kassim unaeleweka kwa anaetaka kufahamu ukweli ktk dini wengi tulikuchukulia vyengine kwa kauli za wapinzani wa haki

  • @japharamiry2582
    @japharamiry2582 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe sheikh qaasim mafuta hao hawana hoja ni kelele tu

  • @abdulrahmanngaluma3768
    @abdulrahmanngaluma3768 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @shukuruabdallah8346
    @shukuruabdallah8346 4 ปีที่แล้ว +2

    Barakallahu fykaa ya sheikh qassim mafuta!!!

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu หลายเดือนก่อน

    Shehe Hana ruhusa kuharamisha au swahaba Bali ni Allah na Mtume wake

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza kufanya mjadala waisilam kwa waislam kwa mfumo huo ni bidaa, Mtume hakuwahi kufanya hivyo,,,,,, ,,,,

  • @nassoromar762
    @nassoromar762 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kwenye huu mdahalo, inaonekana wote wana dalili, lakini hatuj!pata kauli sahihi ya uharamu wa dufu

  • @CfhfjzggHdfdvbvc
    @CfhfjzggHdfdvbvc หลายเดือนก่อน

    Sh kasmu upo VIZURI sana ki dini?

  • @aljabiraljabir6597
    @aljabiraljabir6597 2 ปีที่แล้ว

    Mm nazani kamaingekua nivyema mkaweka vikaovyakujadili namnayakuivunja bakwata kwasababu yenyew ndiochanzo chawaisilamu kudhurumiwa

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 ปีที่แล้ว +3

    Mm nimevyo elewa Kumbe dufu. Sio haram wala sio bidaa. Shukran

    • @abumuswab1815
      @abumuswab1815  5 ปีที่แล้ว +1

      una matatızo ya kusıkıa

    • @profwangwande5978
      @profwangwande5978 2 ปีที่แล้ว

      Kuna hadithi ya umari nin kilwaata inahukumu ya mpiga dufu

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 3 ปีที่แล้ว +2

    She.Mafuta kwa hili wamekueza huna sdalili ya hadithi ni maneno ya watu tu

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilichojifunza hapa ktk mijadala hii kuna watu hutumia Elimu na wengine hutumia Akili bila Vitabu.Na Dufu si sunna Kwani kuna utofauti kuthibiti na kujuzishwa,watu wa bidaa muwe mnatafuta maneno ya Wanachuoni.

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 4 ปีที่แล้ว

      Waulize swahaba gani alipiga dufu? Lingekuwa sunna na ibada basi maswahaba wangehangaika nalo.

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu หลายเดือนก่อน

    Haya si maswali bali vurugu

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejaribu kuskiliza with open minded and here is my conclusion.
    1. Meza kuu inaonekana inaupendeleo wa upande flani japo wamejitahd kubalance mahaba.
    2. Pili ni vizur kwa watu ambao tunaelimu ndogo kuichukua elimu yetu kwa mashekhe zetu ambao wamewasoma na kuwaelewa vizur maulamaa au wanavyuoni wakubwa ambao wamewaelewa vizur ma tabitabiina na matabiina na maswahaba kifupi (watu wema) ambao walikua na mtume(saw) ambae alifundishwa kitabu na Allah, in summary ni Quran, sunnah na kisha kwa uelewa wa watu wema waliotutangulia.
    Na ndo principle alioonyesha kuitumia Qasim lakin shekh Kazuba ameonyesha kutaka kuitumia akili yake zaidi kuliko maneno ya wanavyuoni na hiyo inaweza ikawa hatar.
    3. Kwa mtu km mm ambae sina elimu ya kutosha nachagua msimamo wa kutopiga dufu kwa kua mashekhe wote wamekubaliana kwamba usipopiga dhambi hupati lakini wamekhitilafiana kwenye kupiga dufu....

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 ปีที่แล้ว

    Hawa mashekhe watapapatua kucheza dufu iwasaidie nini mbona hamuchezi karati mieleka au waogelee warushe mikuki wasnde mbio haijatosha Tu Mimi nakhisi hwa ni waimba taarabu hao

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    Maana likipigwa dufu na lisipigwa kwani ndio sheria za ALLAH zishasimama na watu kuwahukumu hii sio njia wala hatuhusiki waislamu kujihusisha na ujinga huu wacheni haraka kama nyinyi ni waislamu wakweli

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    Halafu huu ujinga msitufanyie kwa kusingizia mnamalengo na kutetea DINI jamani tunaomba UISLAMU HUU HAKUNA KATKA DINI YETU WACHENI UJINGA KAMA HUU MNAACHA FARADHI MNATUFANYIA UPUMBAVU WA KUONEKANA KWAMBA DINI YETU INAMGONGANO KWA UKOSEFU WENU WA KUIJUA DINI USAHIHI WAKE

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 2 ปีที่แล้ว

    Ukimfata mafuta utaend a motoni tu hna hoja hadith za dufu zipo kibao ktk fathul baari na vitabu vyngn huyu hakusom kabisa

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 5 ปีที่แล้ว +1

    watu wa kuzua ni hovyo sasa abisha nini?

    • @selemaniselemani7014
      @selemaniselemani7014 2 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa kabisa wewe, dufu nihalali ila kunahitilaf, wengine wanawake wengine wanaume, ila ktk uislam unatakiwa ktk hitlaf km hiz ufuate usilonashaka nalo na uache ulilonashaka nalo. Wallah a'lam

  • @hashimumoshi7179
    @hashimumoshi7179 5 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo inaruhusiwa wanawake kupiga dufu mbele ya wa naume?

    • @abumuswab1815
      @abumuswab1815  5 ปีที่แล้ว

      Hairuhusiwi wanawake kupıga dufu mbele ya wanaume ıla wawe nı jamaa zake wa karıbu ambao nı maharımu zake

  • @abdallahrajabu4401
    @abdallahrajabu4401 3 ปีที่แล้ว

    Huyu kasim mafuta dini yake ni jazba yeye mwenyewe kaulizwa na watu watabrigh hivyo vigezo vyao vya vipengere vya elimu wametoa sunna wapi...na vigawanyo vya tawhiwid wamepata wapi Mtume gani kajanavyo....mnabebea bango vitu vyenu havina hoja.

    • @abumuswab1815
      @abumuswab1815  3 ปีที่แล้ว

      Mgonjwa wewe unahitaji tiba mbadala kuweza kupona

  • @abdulmussa5686
    @abdulmussa5686 2 ปีที่แล้ว

    Toka zako wewe