Ever since day one mr seed has never let this gospel ministry down neither has he ever sang an irrelevant song,, that’s why we have people like him and guardian angel in the gospel ministry who we barely hear but when it comes to other people 🙄🙄,, mhhh let me be quiet sitaki wapinzani wanilaani,,, this is something that we need to be listening to ata kama you are young sing a song that makes everyone rejoice because we hear the message and seeing the fruits ,, ain’t that much harder to do ,,,bug up seed 👌🏾🙌🏾🙌🏾✅
ultimate gal kiki very true gal,,, songs zingine kaa za kina sizes 7,9 11 etc sijuagi iko categories gani na haina ladha wala message yeyote... Anyway acha niende hivi wasinipate hapa 🏃 🏃 🏃 🏃
[Intro] EMB Records (Ah!) Bada bang bang! Mmh, Mr seed again Mr seed again, Yo Oh oh aah aah Oh oh aah aah Oh oh aah aah Shallz Baro on the beat, yo [Verse 1] Nimetoka East most beloved (mmh) Ni neema inatosha Nikiimba ni shuhuda mi' natoa eeh eeh (mmh) Ni neema inatosha L-O-V-E Y-O-U God ananipa my every night and day Coz you de' make me to feel alright Bada bang bang! [Chorus1 ] Wacha nikuambie brathe Huyu God mi' siwezi msare Akiniita mi' na-run kama mkale Najua ana-come tu someday Vile unaona mi' nang'ara kama jua Ni neema inatosha Kuwe na ukame ama kuwe na mvua Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha [Verse 2] Hizi madinga: range-rover, bima (mmh) Ni kwa neema amenipa Leo huenda huna kesho watafuta (mmh) Na kwa neema itafika Usife moyo ng'an'gana Mungu wetu ni ndio tena, amen Na magoti piga sanana Ukimuomba Mungu, amen L-O-V-E Y-O-U God ananipa my every night and day Coz you de' make me to feel alright [Chorus 2] Vile unaona mi' nang'ara kama jua Ni neema inatosha Kuwe na ukame ama kuwe na mvua Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Oh oh aah aah Oh oh aah aah Oh oh aah aah [Chorus 3] Wacha nikuambie brathe Huyu God mi' siwezi msare Akiniita mi' na-run kama mkale Najua ana-come tu someday Oh oh aah aah Oh oh aah aah Oh oh aah aah Ni neema inatosha Vile unaona mi' nang'ara kama jua Ni neema inatosha Kuwe na ukame ama kuwe na mvua Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha Yay, whoa, yay Ni neema inatosha
Mr.seed n guardian angel sings true gospel...he deserves a great reward...vile pia nimelearn from video APA amevaa Kama king with the beautiful cane naona its means riches doesn't mean anything but NEEMA YAMUNGU INATOSHA another thing background ya place ako...humility...the cup too y didnt he take a beautiful glass cup hii cup ina symbol ...with riches or nt ni garce tu ya God vile unaona nang'ara Kama jua neema inatosha Great hit🔥🔥🔥👌👌👌💞💞💞
This so has made me just sit and remember all the good things that the Lord has done for me,,, and just found out that they are uncountable😭😭 ni neema inatosha🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Only by the Grace of the Lord we are able to do everything in our life..Big up #KingSeed, EMB prod.Shallz, Director Rahim for the clean work..Ni #NeemaInatosha tu
2020. Who's listening to this.. neema inatosha..
Here today and ni neema inatosha ❤
Ever since day one mr seed has never let this gospel ministry down neither has he ever sang an irrelevant song,, that’s why we have people like him and guardian angel in the gospel ministry who we barely hear but when it comes to other people 🙄🙄,, mhhh let me be quiet sitaki wapinzani wanilaani,,, this is something that we need to be listening to ata kama you are young sing a song that makes everyone rejoice because we hear the message and seeing the fruits ,, ain’t that much harder to do ,,,bug up seed 👌🏾🙌🏾🙌🏾✅
ultimate gal kiki very true gal,,, songs zingine kaa za kina sizes 7,9 11 etc sijuagi iko categories gani na haina ladha wala message yeyote... Anyway acha niende hivi wasinipate hapa 🏃 🏃 🏃 🏃
Can say like you sister
[Intro]
EMB Records (Ah!)
Bada bang bang!
Mmh, Mr seed again
Mr seed again, Yo
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Shallz Baro on the beat, yo
[Verse 1]
Nimetoka East most beloved (mmh)
Ni neema inatosha
Nikiimba ni shuhuda mi' natoa eeh eeh (mmh)
Ni neema inatosha
L-O-V-E Y-O-U
God ananipa my every night and day
Coz you de' make me to feel alright
Bada bang bang!
[Chorus1 ]
Wacha nikuambie brathe
Huyu God mi' siwezi msare
Akiniita mi' na-run kama mkale
Najua ana-come tu someday
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
[Verse 2]
Hizi madinga: range-rover, bima (mmh)
Ni kwa neema amenipa
Leo huenda huna kesho watafuta (mmh)
Na kwa neema itafika
Usife moyo ng'an'gana
Mungu wetu ni ndio tena, amen
Na magoti piga sanana
Ukimuomba Mungu, amen
L-O-V-E Y-O-U
God ananipa my every night and day
Coz you de' make me to feel alright
[Chorus 2]
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
[Chorus 3]
Wacha nikuambie brathe
Huyu God mi' siwezi msare
Akiniita mi' na-run kama mkale
Najua ana-come tu someday
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Oh oh aah aah
Ni neema inatosha
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Yay, whoa, yay
Ni neema inatosha
Producer shallzbaro was here.so far so good.my greatest gospel minister
You did it again....great staff from ua magic fingers bro👊👊👊
Shallz Baro we ndo ulifukuza producer Paulo ama 😂
Shallz Baro...kazi mzuka....God bless the fancy fingers...kabooom
Oganga Khadudu producer paulo yuko ni vile anashugulikia projects mob big dropping soon
Joel Ingo glory to God
atleast wewe na guardian angel mnaimba sense kwa hii ministry...big up king seed .....shallzbaru great work
Very in fact nimeanza kuchanga pesa I invite him in my wedding
Big up Mr.seed uko juu xana injili umetubamba mbaaaya
2024 am here ✌️
Enyewe ni neema inatosha...huyu mungu siwezi msare...naipenda sana...oooooooh! aaaaah ooooooh! a a aah
Walaaai inashika mbaya.i like this 👍👏💟
Second comment beat Kali bruh wpy likes za king seed 🙌🙌🔛🔝💯💯
denno denno mmmmm
This is a banger...big up brother
DJ RIZZ 254 Kali sana ndani ako juu
This is gospel we want. u have killed like za Mr seed zikam
ata mimi uyu God siwezi msaree neema inatosha....king seed big up
good job
Noma sana seed... Hapa ni Willy icon straight outta Focus Tv Kenya.
Vile unaona mi' nang'ara kama jua
Ni neema inatosha
Kuwe na ukame ama kuwe na mvua
Ni neema inatosha....🔥🔥🔥
I cant get tired of watching this sonng Mr Seeeed uko sawa brathe.. God bless youu
A big Amen kazi safi wang'ara qwl
Daaaaah umetisha tena aisehh.
Shallzbaro kiboko ajab.
Af vedio hatareeee,,!
Why on earth had i not heard of this song,that's my testimony too,ni Neema inatosha
Mr seed has never let down gospel music down and he will not keep up ....my gospel minister
Pulooooo....Ni neema tu brathe. Ngoma inatesa joh! big up!@@@
good song awesome video and a nice message
Enyewe Neema inatosha.Great song bro. Pia mi nitarun ka mkale...
Ata mimi huyu God siwezimsaree
Lit bruh
NEEMA INATOSHA keep it up bro......
Hii ngoma Kali Sana bro hio vidah joh👍
neema...... kibao inatosha kweli👏👏
NomA sana brathee#macentiking
Mr.seed n guardian angel sings true gospel...he deserves a great reward...vile pia nimelearn from video APA amevaa Kama king with the beautiful cane naona its means riches doesn't mean anything but NEEMA YAMUNGU INATOSHA another thing background ya place ako...humility...the cup too y didnt he take a beautiful glass cup hii cup ina symbol ...with riches or nt ni garce tu ya God vile unaona nang'ara Kama jua neema inatosha
Great hit🔥🔥🔥👌👌👌💞💞💞
Big up kazi safieee
wyclef jean l.o.v.e............i had to go back and listen to that song.......artist wa Kenya ni wezi tu
Our own #kenyan..imeweza 😍😍
MBEGU UMEMEA TO TOP LEVEL.. NEEMA KWELI INATOSHA..GRACE YA GOD NI SUFFICIENT
neema inatoshaaa apo sawaa kabsaaaaaa
Doooope... Kweli neema inatosha
I just love your songs. They spread gospel of Jesus Christ.hakuna kushdana
Kaliiiiiiiiiiiiiiii.....💥💥💥💥💥💥💥💥💯💯
Kali brathee... U are going far
Mr Seed is the most underated Kenyan artist...
This is 🔥🔥🔥
Weuweee. God akiniita na run kama mkale🔥🔥🔥🔥😍😍😍😘😘😘
Ni kali baba Mungu wa neema
Ni neema inatosha.... Amen❤️💯
awww @mrseed 🔥🔥🔥embboy much love big up ...wap like za team seed
waoh penda hiyo beat 👍👍👍
Ni Kwa neema tu, nice song.
Neema inatosha for real God's grace is sufficient
Great song,.love it
My all time favorite gospel musician
Neema inatosha...seeed u doing good music
I just love yours songs ...it shows you study the word of God ,is evident in your songs .God bless you
kama mkalee najua anaka through someday 😎😎😎
one guy that is still holding on to good and pure gospel since day one..kijana safi kijana clean...God bless you
Mr seed always on point haujawai disappoint muziki safi bro
Kwa kweli NEEMA INATOSHA THANK YOU LORD JESUS🙌🙌👍👍👍👍👍👍👍👍
Fourth comment apa men ngoma kaliiiii!!!!who else is reading and watching this hit of the year at the same time.. Thumbs up...mr. Umewezaaa
Love it. Producer pia ako juu
Am already in love with this.....ni #NeemaInatosha.......siku izi unakam na wave zote zote mahn,,hii imewesaaaa
emb trasforms east africa......God bless
Still can’t get enough of this oh wow mr.Seed you are so blessed on another level 😍😭😭🔥🔥 be blessed
Great song. Love it. Give us more!!!!!!!!!!!!
Woow love it
This so has made me just sit and remember all the good things that the Lord has done for me,,, and just found out that they are uncountable😭😭 ni neema inatosha🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ni kweli...neema inatosha....nice song💪
Kazi safi bro
greatjob @mr seed and @shallz baro you did an amazing job on the track
Wapi likes za mr seed.. #supportkenyanmusic...as a foundation we ecourage kenya people to support kenyan music to grow our own economy.
Amen kweli ni neema
Amen great stuff mr seed emb forever
bro u did it... Ni neema inatosha bro
Cute job bro, neema inatosha kweli. Shallzbaro big up 👌👌👌
this song got my attention....big up mr seed eeeeh
Seed and Shallz you are more than great....
Awesome.. keep burning 🔥🔥
Dope...Neema inatosha
I love this #neema inatosha
kali sana starboy Mr mbege seed mwenyewe..neema inatosha
Vile unaona mm nangara kama jua n NEEMA INATOSHA💕💝
as always on top
Big tune
Moto sana my friend....
Wacha nani neema initoshe.. Ngoma noma bro... Keep it real
Mr. Seed, thank you for the beautiful music...may the Lord keep guiding you and Blessing you.
Ooo aaaa eeee! Neema inatosha.
Great words ..... I already fallen in love with them NYC congratulations 😘😘😘😍😍😍👏👏👏👏👏👏👏
Woow...the video is dope. God bless
Mistari zimeenda Shule big seed
The video just killed it all. Big up Rahim
kazi safi King Seed..awesome job produza shallz baro
Only by the Grace of the Lord we are able to do everything in our life..Big up #KingSeed, EMB prod.Shallz, Director Rahim for the clean work..Ni #NeemaInatosha tu
uko fty I saw this kiambu umewaza any good
Faya juu ya fayaaaaaaa...keep on writing good music bradhe
God's grace is sufficient
King seed ,u never dissapoint..great work !
NEEEMA INATOSHA ,,,,,,,,,,,,,,WOOOOOW CLEAN LOVING THE HEAT
Thank u so much Mr seed for great song
God's grace is sufficient nice song
simple n clear...NEEMA INATOSHA,,,awsome track
#MrMabegu hata iyo track imetosha Kali bruh
Mr. Seed can really write songs
I love the song.Grace of God is everything