Kweli kaka watokea Baghani wewe! Hii risala yako uliyoituma hapa hadharani mwezi uliopita ilibandikwa bendera ya "Spam", ati impigwa chapa ni ya upuzi bin ushuzi, lakini nilipoiona tu, niliipasisha, ndio sasa waiona imehuika na ipo hapa ubaoni. Najua uko jangwani Mukhaizna, Umani ya kati, wapambana na maisha, M'ngu akunyoshee kila palipo kombo, amina rabi amina. Niliamua kuitangazia "Mahamri" wala sio wimbo wa Bi Kidude nilpouwona ukweli mtupu tusioupata juu ya mimbari wala chini ya mkunazi.
Haya wapi hiyo Husseini Bakery?