Utangulizi wa Insha | Bwana Nyamai | KCSE Preparation
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Karibu kwenye video yetu inayoangazia "Utangulizi wa Insha kwa KCSE." Tutakufunza mbinu muhimu za kuandika insha vizuri na kufaulu mtihani wako wa KCSE. Jiunge nasi ili upate maarifa zaidi na ujiandae vyema kwa mtihani ujao. Asante kwa kujiunga na sisi.
Asantum...
asante sana mwalimu. ningependa upitie insha za kiuamilifu zote tafadhali. kwa kila video elezea insha mbili au tatu
Asante mwalimu
Tafathali ukiweza mwalimu tuwekee na mifano pia 😊shukran
Again...using top notch tv 2 study for pp1 2mrww
I really love ya'll's contentent...keep doing what u do!!
Concept is E entering Ni panchola from kenya Nairobi
karatasi ya tatu je?