saafi saana tena sana, oooooh mungu akujaalie sheikh janabi Dr. Profesa, inafaa hii irekodiwe na kila muislam awe nayo nyumbani na aisikilize kama anavyosikiliza muziki kila siku, elimu yako umeitumia vizuri sana, profesa. naomba irekebishwe kidogo sauti. Nimeipenda sana sana
Assalaam alaikum warahmatullaahi wabarakaatuh .professa umelingania maisha ya binadamu.hili hakika umempambania kiumbe kutoteseka .mungu mwema atakuvusha katika kulitumikia taifa hili ambalo uchumi unakuwa
Assalam alaykum yaa IKHWAAN mbona tukifungua hatujapata busati la mtoro malindi Kenya MIAKA yote huwa nikitoka asr darasani nawahi nafatilia lkn Ramadhan hii kila nikija naona ZBC Kuna shuhuli imefungwa ZBC munatukosesha
Maashallahu, blessed Prof.

mashaallah uislam ni ilimuu tupu
Sawa ni namna anavyozungumza sauti yake ni ya chini, kitaalam sio mtu wa makelele. mashallah
Maaashallah thanks Professor Janaby
Maashallah
naam
Ma Sha Allah Tabarakallah. Faida kubwa nimepata. Mola awajalie thawab mingi waandaji wa mhadhara huu na Prof.
Assalaam alaikum warahmatullaahi wabarakaatuh .professa umelingania maisha ya binadamu.hili hakika umempambania kiumbe kutoteseka .mungu mwema atakuvusha katika kulitumikia taifa hili ambalo uchumi unakuwa
Maashallah tuna nufaika ila sauti Iko chini sana
Maashaalaah
MashaAllah nimeipata maana kila mwaka naangalia kwa azam TV sauti ipo chini
as salaam alaykum,jaribuni kujiandaa kabla ya kipindi kuanza maana sauti ni changamoto