YANGA IMEFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA? ALLY KAMWE AFUNGUKA UKWELI WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hakika tuna imani na mamuzi ya viongozi wetu wa weamua vyema makombe kwanza na pesa tusha lipia isitoshe mdaa bado kbs wata fungua natuta tambulisha wshezaji wetu wapya tu tabu iko pale ple wananchi tukuwe wapole tusimme na timu yetu pekeee waduwi ni wengiii

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 3 หลายเดือนก่อน +7

    MUNGU ni mwema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga shalom

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +5

    Binafs nawapongeza viongoz wetu kwanza kabsa kwa kitendo cha kusikia kilio cha mashabiki na kutoka hadharani na kuelezea hali ilivyo hii ndio maana halis ya uongoz bora si kuacha kila mtu abashir anachokijua yeye. Hata kukiwa na tatiz lakin uongozi ukitoa neno hali inakuwa shwari

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mmh ngoja tupumue kwanza maana majirani walikuwa wamepata kisingizio cha kupoozea migogoro yao watu wanaita press kujadil matatizo yao lakin unasikia wakijfarj hata yanga kuna matatzo wanadaiwa milioni 860 simba ni mbovu lakin hakuna madeni kumbe pengin madeni yapo mengi tu ila hayajifka fifa na taasis yeyote kuwa na madeni ni kawaida cha msingi nikuwekeana utaratibu wa kulipana tu

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shukurani kwa ufafanuzi ila jitahidini mambo kama haya yasijitokeze maana Kila wakati ni yanga tu ndio inapata kashfa hizo mtengeneze Sheria nautaratibu ambao utashughurika na wachezaji na mikataba hili Hali kama hii hisijitokeze Tena hakuna hasiyedahiwa ila sio kwa kuipa sifa mbaya bland ya timu

  • @UshindiGwivaha
    @UshindiGwivaha 3 หลายเดือนก่อน +5

    WA kwanza kucoment

  • @GodySwitie
    @GodySwitie 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ujayanti huo lazima viongozi wajionyeshe kua hawabahatishi❤

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeelewa babaa haya yote yanatokea sababu mti wenye matunda lazima ushambuliwe M/Mungu tunusuru na haya Inshaallah

  • @allendidas9716
    @allendidas9716 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tabu iko pale pale

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daima mbele nyuma mwiko maneno ni yaleyale ya Boss GSM "Ynaga bingwa"

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 3 หลายเดือนก่อน

    sasa hao mikundu wanaopiga kelele yanga anadaiwa wanaonaje apo ayoooooo yameumbuka

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน

    Shehan anafaa hata kwa nusu kipindi jamani anafanana na huyu mchezaji anaevaa mask left footer na aziki kii,kumuamini tuu.

  • @oscarjohnson9013
    @oscarjohnson9013 3 หลายเดือนก่อน +4

    💛💛💚💚

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana viongozi maana mko makini Sana

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 3 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele nyuma mwikox

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ii

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢ata kama ila hii kitu inashusha thamani ya taasisi yetu inauma sana kila siku sis na sisi wanachama tuendelee kuilipia team yetu jmn

  • @amanizavala
    @amanizavala 3 หลายเดือนก่อน

    Utopolo lipeni Hela za watu kenge nyie

  • @AdamDihenga
    @AdamDihenga 3 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅😅

  • @BrunoFurahaLymo
    @BrunoFurahaLymo 3 หลายเดือนก่อน +1

    🆒

  • @twizoMoses002-yz1fq
    @twizoMoses002-yz1fq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leo wa tati like zenu😊

  • @allendidas9716
    @allendidas9716 3 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mna fanya mambo kienyeji Ali
    Badilikeni Taasisi kubwa hiyo Mbona mna fanya mambo vizuri siku zote?
    Jaribuni kuondoa hizo fault msizichukulie easy zina haribu standard mlio Ijenga now.🙏