Hiyu msemaji wa vitaloo atakua anahusu tz tena ni mtu wa kigoma kwa majisifu haya.maana watu wakigoma kwa majisifu ni hayar na kigoma mzima anae beti akatoboa ni baba levo tuu 😂😂😂
Bora yeye kuliko wew unayeongea kugha moja kama Mbuzi Huyu anaongea lugha Tatu Kifaransa kiswahili na kirundi and am I think hata kiingereza anakijua Wew unajivunia nini hiyo lugha yako moja kama mbuzi bure kabisa
wewe una akili kama mbuzi.. unataka ajuwe kiswahili wakati sio lugha yake? Huyu ni mrundi.. Bora yake yeye anajitahidi kuongea lugha yetu.. je wewe unakijuwa Kirundi? YAANI ww Akili zako ni kama za mbuzi
Unaongelea1992 ata wewe wenyewe ujazaliwa ata smart phones azijafika africa kawaulize memolody walitoka jasho la damu kawauleze kilichowakuta wenzako😂😂😂😂 umeutaka utapewa
Nimependa anajiamini sanaaaaa
Huyu hajuwi anacho kiongeleya
Watafungwa nyingi sanaaa yanga sio level ya team kama hizo
Vital'o 0 - 111Yanga
😂😂😂😂😂
Sio kweli bhna 5 yanatosha
😂😂😂
4yanga vitalo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mwijakuu wa Burundi aliechangamka.
Semaji liko poa sana... confidence kama semaji la Simba😁😁😁😃😀🤣😂
Daah mpaka naogapa Kwa hili semaji
Naomba Gamond mechi ya kwanza apange kikosi cha 1
Huyu kipigo atakachokula hatoamini macho yake 😅😅😅😅😅
uhakika nimependa haomaneno mzee mkuu msemaji wa burundi 🎉🎉🎉
Bila ubishi ushindi niwakwetu vitalo
Mpiganaji lazima ajipe moyo uko sahihi mzee huwezi kwenda vitani ukawa muoga uoga wako ndio utakufa tu kwhio yupo sahihi
Upo vizr sana semaji la vitalo kwani usiwe semaji la Azam
Anafikiri anacheza na saikolojia za wachezaji atakachokipata atajuta.
Atapigwa wiki
Unaongelea mambo ya zamani ambapo we mwenyewe ulikuwa chekechea😂
Kweli ndo mda wake wa kuongea
Jamani wemsemaji wa vitali 0
Ongea machache mwisho utajutia
Nautanambia,
Kusoma na kukalili nivitu viwili tofauti 😂😂😂😂
Baada ya mechi usikimbie
Nimekubari semaji litakimbia
Al-mereikh alisema saana😂😂😂
Karibu Tanzania 🇹🇿 karibu.. Chamanzi.. Karibu #LUPASO kaka mkubwa
Naona kabisa sikio linazidi kichwa 😢
😅😅😅😅😅😅Ngoja Tusikilize kwanza Lisije lika mkuta jambo
Duu Jamaal Yukon na utulivu mno
Duh Msemaji KAWAPONZA aiseee 😂😅
George ni mnafiki kwl naona anampa swali alaf anamtizama 😂 kama anamjejea 😅
Kweli mumuite tena
Imetosha kwa hodari na kujiamini ni kweli do 90 ndiyo msemakweli
sijui nataka kucheka nn😅😅😅😅
Ayseh maneno ya kujipa moyo hivi yawezekana kwel wadau~~~
Huyu atakua hayupo sawa kwnye hakili zake 😂😂😂😂
mwambieni kua gamond anamsikia lakini😂😂
Hiyu msemaji wa vitaloo atakua anahusu tz tena ni mtu wa kigoma kwa majisifu haya.maana watu wakigoma kwa majisifu ni hayar na kigoma mzima anae beti akatoboa ni baba levo tuu 😂😂😂
Tumsanue uyu jamaa
Au tumuache ajionee
Mwenyewe???😂😂😂
Huyu jamaa ana vituko
😂😂😂😂😂😂ila semaji, hayo ya kucheza na viungo kila mtu anajua lkn sas kuwadhibiti ni jambo lingne semaji. Hata gamondi anajua umesoma
Kama mbeya city😂😂😂😂
Full time
Vital 'O 0 - Yanga 98
Hahaaa huyu msemaji atakaa kimya jumamosi! Kwani waliofungwa na Yanga hawakuisoma ?
Wapo tayari
Nimecheka sn, kitenge anavyomwitikia jamani vital o ilikuwa zamani sasa iv ni level ya Dodoma Jiji.
Kwan anaigiza au anaongea kweli
Vitalo wanasemaji aisee
VITAL'O ISHAIBAMIZA SIMBA GOLI 7 -0 SIMBA WAKAPOTEZEA HAKUNA RADIO YOYOTE WALA GAZETI LOLOTE LILIANDIKA HIZO HABARI
Mwenzio Mamelodi alisema hivyo hivyo mwisho alikiona cha moto
Huyo kayakanyaga mwambieni awaulize kaizer chief
Vitalo ni ya wapi?nauliza
Kaka achiya maneno yaaakiba
Historia ya Mpira inaishia nje ya uwanja, kinachoingia ndani ya uwanja ni uimara wa kikosi chako kwa wakati uliopo sio wakati uliopita
Asa ngojeni aje kuingia katika mfumo
Nimependa ili semaji
Yanga wanazihonga hizi team ndogo ilizichezee dar wazipige 10 kwa 0
ndio mana Kuna timu ndogo ilihongwa ikapigwa 7 - 2
Una ushahidi~~
Tena ya hapa hapa dar au sio
Kahonge na ww nyau
Nchini kwao viwanja havijakizi viwango kaa kwa kutulia
Mtavunja historia kweli mko sahihi. Mekuja kuvunja historia😂😂😂😂
Uyu ana tafuta ku trend tu 😂
Yanga 5-0 Viralo fc
👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
Maulidi, usisahau kumrushia Ally kamwe hiyo interview
Amuulize msemaji wa jwaneng kilicho mkuta kwa Simba Hawa 6 zinawahusu
😂😂😂😂, Litakufa jibu mapema sana
sana😂😂
Aise
Washabiki wenzangu wa yanga vipi huyu jamaa akili zake ni nzuri kweli hawa tuta wafunga 7
huy jamaa ashakichoma moto kibanda 😂😂
Huyu jamaa kma sterling wa kihindi
Huyu anajiproud Ana uhaya ndani yake tayari ameshaanza kutaja career zake zingine aiseee Master K pigeni hawa kipigo cha mbwa koko 😬
😂nimecheka sana
Mwambie karibu sana baada ya mechi asijifiche ira midomo wake utamuponza atakura nyingi
Maulid kitenge Ni mnafki.
Unajua kabisa kitakachompata huyu na unampetipeti.
KONO LA NYANI LINAWAHUSU KAKA
Jaman watu wanaenda kuumia we waache tu
Ila mm namwbia yanga itampga 3 kw 1
Kaka rudi shule😂
3?? Mbona ndogo hizo
Lkn jaman ana haki ya kusema coz hana kizuwizi so muache atambe coz ndo muda wake wa kusema
kaka mdomo uliponza kichwa kaka, weka akiba ya maneno, baada ya mechi usianze kulete malalamiko
I second you brother
True😂😂😂@@muddymuzungu4357
Wewe kaka mechi ikiisha uje hapa
WAUNGWANA KUMRADHI HII MECHI INAPIGWA SAA NGAPI TAFADHARI?
Ameuponzaaaa
sasa mnataka aseme kama atafungwa??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂njooni mcheki
Huyu ni ndugu yake Masao Bwire? Maana si kwa majigambo hayo!!
Vtalo atakula 10 -0
ww utakosa lakusema w
Litakufa jitu hapa
Ila huyu atapata hasara
Ila maulid 😂😂😂😂
Mdomo uliponza kichwa
😂😂😂 hata kiswahili hajui atajua mpira huu
Bora yeye kuliko wew unayeongea kugha moja kama Mbuzi
Huyu anaongea lugha Tatu Kifaransa kiswahili na kirundi and am I think hata kiingereza anakijua
Wew unajivunia nini hiyo lugha yako moja kama mbuzi bure kabisa
Sasa ninyi nao inatakiwa muwe mnaelewa nani anahojiwa si bora yeye anaongea kinachoeleweka hivi wew unaweza ukaongea lugha yake? Pumbavu wewe
@@Khalidniya380 😂😂 mmeisha kwa style hii mapema hii mmesha vimba sisi atuongei sana ngoja muone
@@Khalidniya380 haya tuone icho kifaransa kikafunge goli uwanjani
wewe una akili kama mbuzi.. unataka ajuwe kiswahili wakati sio lugha yake? Huyu ni mrundi.. Bora yake yeye anajitahidi kuongea lugha yetu.. je wewe unakijuwa Kirundi? YAANI ww Akili zako ni kama za mbuzi
Utauponza😂😂😂😂😂😂😂😂
Hesabu za mokwena
😂😂😂😂😂!! Ila George Job mnafkii yanii😂😂
Muulize Ahmed Ally, aliishia kusema timu haijawa sawa
Jamani mpira ni mchezo wa wazi. Mwacheni ajisemee. Anajiamini sana inawezekana amejiandaa kutosha. Na nyie wachonganishi!!😂😂😂😂
Hii mechi ni ngumu, wanayanga tuaache utan
Mandonga
😂😂😂😂😂😂
Sn chakusema tusbili tuona
Bhangi ya tamba mulugamba
Unaongelea1992 ata wewe wenyewe ujazaliwa ata smart phones azijafika africa kawaulize memolody walitoka jasho la damu kawauleze kilichowakuta wenzako😂😂😂😂 umeutaka utapewa
😂😂😂😂😂 huyu labda anaizungumzia Vitalo'o ile ya kina KAZADI na MALICK sio hii ya leo
Mjinga sanah uyu Jamaa, hii kiki itamponza
😅😅😅 Hiv mbona unajiamin Sana wew Kaka mbona unajiamin Sana heeee!!! Sawa hiyo siku utajua
Huyu jamaa kiswahili chake kiko poa sana
Hilo lijinga sana liacheni tu
Unamtukania nini ndugu? Jamaa yeye anaongea kama msemaji