Mungu wa mbingu kampa hekima na utulivu, akili na maarifa ya kutosha.
Naamini ni mmoja ya hazina ya taifa letu kwa sasa na hata siku zijazo. Hongera kijana Januari Jumanne Makamba.
Salama uko juu mama endelea kuwwahoji hata vigogo bila kusahau wale wote wanao tuhumiwa na ufusadi ili tusikie wanatwambia nini uhusiana na tuhuma hiza
its a very interesting ineterview with JM
nice content
great interview..but not supporting a drop of presidential candidates age to 35..age comes with wisdom.
Gets better by the day.... kaka wa Nguvumali shule ya sekondari uko juu sana. Asante sana Mkasi TV - keep coonecting us with home.