Mungu si asumani talata ya mtu ni yake TU Alisha pewa kibali na mungu hata kama itachukuwa miyaka 100 haikuhusu mungu diye aliye ña mpango naye bona kwa bibiliya Abraham alipewa mwana kwa umuri wa miyaka 100 Mr nice kusemowa au watu kukujadili kutaka kujuwa uko wapi nikuwa unakitu ndani yako chakuwa zindi so mr nice thank God because the living God have given you people to think about you!!!! Na je''''ungekuwa kama Mimi. Sijulikani na watu elufu 50 na tukikutana nao kwa biyashara tukisha maliza na sahaoika hapo hapo Sina wakunisema au Kuni uliziya nikitaka kuliziwa labuda ni jifiche family week so don't give up Mr nice because it is nice njoro
I lived my life thinking Mr Nice died. I'm really shocked finding out he's live and kicking 😌 thank God. I pray that you rise like you did 19 yrs ago💪❣️ wishing you all the best 🙏✅
I was shocked too to see this hit today,I heard rumors that he died but thanks to God to day the truth have been revealed, God bless you with more years to live my hero Mr nice much love 💕
Umenifanya nishindwe kuendelea kusoma comment huku naskiliza wimbo bila kuangalia kwa ujumbe mzr saut nzr sisee nafac yako bado ipo yaaan konki atasubir sana kwa sait lile mr nice ww bado ni king for me big up
It ur time wala ujachelew all right..unaweza xanaa ongeza zaidii nyingne ukpga na kollabo kalii mambo n super...kama umependa ngoma ii gonga like twend sawa
niliskia kafulia, sasa huwa najiuliza anapata wap pesa yakufanyia hzi kaz mpya,,,, big up bra kaz tam, ushauri wangu ucmwache huyo produzer aliekurekodia hii ngoma coz amekutedea haki.
Hahaaaa! Wanamziki wengi tumekuwa tukifeli kimziki tunaonysha hata kwajamii nikosa kubwa mno mshabiki huwa Hana msaada wowote ila atakucheka tu ninacho jitunza kwa huyu jamaa tangu aipoteze nafasi yake hakukubali kukili kushindwa. Alizidi kusema yeye niking na Yuko juu kama zamani watanzania wamejitahidi kumvunja moyo lakin. Hakukubali kabisa mpka Leo amefanya nyimbo hii inayo enda kumrudisha kwenye mziki kwasehem kubwa Sana manaake nishujaaa tusikubali kukata tamaa Tanzania pia sehem kubwa hawana sapoti kwa watu wao wanapooona wanalia liaa ndo wakwanza kuwaongea nakuwacheka midia za Tanzania nyingi nizakinafiki mtu anapoo onyesha juhudi yakuonyesha kuwa alianguka ila anafanya juhud kurudi bado humsukumiza aangamie kabisa tazama Kama hi nyimbo Tanzania hawatapiga Wala kusapot mwisho nikumfanya mwanamziki kufroti kabisa
hii nyimbo tangu itoke sijawasikia hata siku moja mitaani .akubali matokeo tu kama alichezea kashachezea tu .hawezi kurudi tena huyu hata afanye video mbinguni .muda wake umeisha bahat haiji mara 2. kosa moja siku hizi magoli manne .
Nimependa video yake waweza tizama na wazazi wako hata na watoto wako, kwa kifupi nyimbo na video zimezingatia maadili ya KIAFRIKA. Kuna nyimbo huwa zina massage nzuri sana ila kwenye video lazima utizamie chumbani tena ukiwa mwenyewe! Good job MR NICE
big up mzee babaa..Bonge la song,labda kwa asiejuwa mziki,ila pia style imefanana na uimbaji wa Jose camilione..ila nyimbo Kali sanasana na umeitendea hakiii
Utakuwa umefanyia kazi ushauri wangu.. Nilikuambia chukua mwezi mzima ukisikiliza.nyimbo zako za zamani zote kali, alafu soma soko pata studio nzuri tengeneza hit boss.. Bado sauti unayo king of TAKEU... NIKUKUMBUSHE KITU WASIKILIZAJI WAKO BADO WAPO.. ANGALIE video ya KIDALIPO utanielewa... Hila wimbo unafuata uwe speed ya kama FAGILIA.
Hi Mr. Nice, you are a great inspiration to many. My Swahili is little however, I love your song very much. They are so meaningful and insightful. Please keep up the spirit. One love.
Mungu si asumani talata ya mtu ni yake TU Alisha pewa kibali na mungu hata kama itachukuwa miyaka 100 haikuhusu mungu diye aliye ña mpango naye bona kwa bibiliya Abraham alipewa mwana kwa umuri wa miyaka 100 Mr nice kusemowa au watu kukujadili kutaka kujuwa uko wapi nikuwa unakitu ndani yako chakuwa zindi so mr nice thank God because the living God have given you people to think about you!!!! Na je''''ungekuwa kama Mimi. Sijulikani na watu elufu 50 na tukikutana nao kwa biyashara tukisha maliza na sahaoika hapo hapo Sina wakunisema au Kuni uliziya nikitaka kuliziwa labuda ni jifiche family week so don't give up Mr nice because it is nice njoro
Hata namanga tuña kubali ñgoma Kali iña mafuzo Yale Yale ya bibiliya it is nice Mr nice keep it up njoroge hoo yes'
Dah hongera sana Mr nice, wimbo nzuri sana..unawapa watu shauri nasaha.kipaji unayo..ukipenda Mr nice gonga like hapa.from Kenya
Nyimbo .. Nzuri .. Video nzuri na ujumbe mzuri.. Pia .. Kwa wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia
Big up Mr Nice, huu wimbo uko na ujumbe mzito sana...naipenda
Nice song, napenda sana kazi yako
I lived my life thinking Mr Nice died. I'm really shocked finding out he's live and kicking 😌 thank God. I pray that you rise like you did 19 yrs ago💪❣️ wishing you all the best 🙏✅
I was shocked too to see this hit today,I heard rumors that he died but thanks to God to day the truth have been revealed, God bless you with more years to live my hero Mr nice much love 💕
Me too
well done Mr nice napenda nyimbo zako sana just because una ujumbe nzuri ✌
Good job
Ugandan culture to the world!!!!
Upo sawa tuvumiliane..jiwe la shaba halishiki kutu
Mr nice hujawai niangusha....keep the fire burning bro.
Umenifanya nishindwe kuendelea kusoma comment huku naskiliza wimbo bila kuangalia kwa ujumbe mzr saut nzr sisee nafac yako bado ipo yaaan konki atasubir sana kwa sait lile mr nice ww bado ni king for me big up
Mwenye Game Amerudi ...MWACHIE KITI CHAKE JAMANI
We ni fimbo Mzee, avance de l'avant de génération en génération
I really loved your songs mr.nice and will still love them ..welkam back king of tekeu na usife moyo our legend.
nyimbo nzuri xn mtanzania mwenzako nimesikiliza ujumbe mzuri xn hakika Mungu yu pamoja nawe no,kukata tamaaa
Mvumilieniiiiiii Mr nice Bado sanaa
Gud song...saut yako inalingana na jose chameleon.....nice
Bonyeza like👍🏾 tuwache wivu.. uu mziki nimtamu sana. Big up mr 👍🏾
Thanks brother
KAMA UNAAMINI HAKUNA MCHAGA FALA nipe like zangu MR.NICE THE BIG BRAND
Sijawai kucoment Ila Leo jamaa kanigusa Ngoma Kali sana .
Kabisa wenjo mwenye kipaji
Lov you Mr Nice i'm from257🇧🇮
Warukumbuwe saana Mr nice naheruka indirimbo zawe nfise 15ans
Safi sana brother bravo TUVUMILIANE
Kazi nzuri kazana Mr.Nice
It ur time wala ujachelew all right..unaweza xanaa ongeza zaidii nyingne ukpga na kollabo kalii mambo n super...kama umependa ngoma ii gonga like twend sawa
Du umerudi tena . Ulijiharibu ukae ufikikirie unachokifanya . Sauti bado nzuri tena hii ni baada ya bangi ya muda mrefu .
umetisha Mr Nice! uwezo unao
Bado upo sawa jembe jikubali
For me, Mr. Nice will forever remain the greatest that East Africa ever produced.
Ujumbe Moto 🔥 🔥
Kama na ww umeona Mr nice maji yamemzidi like apa ila nyimbo iko poa sana tokea amerudi hii ndo nyimbo
nikali kiukwel
Nakupenda Sana Mr nice
I love Mr nice nice voice 😊
niliskia kafulia, sasa huwa najiuliza anapata wap pesa yakufanyia hzi kaz mpya,,,,
big up bra kaz tam, ushauri wangu ucmwache huyo produzer aliekurekodia hii ngoma coz amekutedea haki.
Mkuu Uganda Kumekupenda Umekuwa Kama Ray Hahahaha Na huu Wimbo Ndio Umemaliza Kabisaaa.Ujumbe Mzuri na Video Kaleee.hongera Sana Boss Wangu
hongera sana kazuri sana
Somalida heesahagi hore dhageystan 2006 ilaa hader ma oga inaaad Heso macan soo saartay 🥰🥰🥰✋🏻
Safi sana mr Nice kazi nzuri sana kaza mwendo
Mr nice kunani mr nice kapuni Mr nice ulitambani zamani zama kuku kapanda baskeli
kazna Mr nice
nafasi yako bado haijashikwa na MTU yeyote
Big up baba yao... yaani Kazi nzuri
Mr nice naona umeamia kwenye gospel
Hahaaaa! Wanamziki wengi tumekuwa tukifeli kimziki tunaonysha hata kwajamii nikosa kubwa mno mshabiki huwa Hana msaada wowote ila atakucheka tu ninacho jitunza kwa huyu jamaa tangu aipoteze nafasi yake hakukubali kukili kushindwa. Alizidi kusema yeye niking na Yuko juu kama zamani watanzania wamejitahidi kumvunja moyo lakin. Hakukubali kabisa mpka Leo amefanya nyimbo hii inayo enda kumrudisha kwenye mziki kwasehem kubwa Sana manaake nishujaaa tusikubali kukata tamaa Tanzania pia sehem kubwa hawana sapoti kwa watu wao wanapooona wanalia liaa ndo wakwanza kuwaongea nakuwacheka midia za Tanzania nyingi nizakinafiki mtu anapoo onyesha juhudi yakuonyesha kuwa alianguka ila anafanya juhud kurudi bado humsukumiza aangamie kabisa tazama Kama hi nyimbo Tanzania hawatapiga Wala kusapot mwisho nikumfanya mwanamziki kufroti kabisa
Umesema ukwel kabisa,TANZANIA wengi upenda kucheka mtu lakini zi saport,ila hii ya leo imeniguza tu
Paschal Cassian kweli kabisa usemayo
Nimekubar aidia yako upo njema
Paschal Cassian kwel
hii nyimbo tangu itoke sijawasikia hata siku moja mitaani .akubali matokeo tu kama alichezea kashachezea tu .hawezi kurudi tena huyu hata afanye video mbinguni .muda wake umeisha bahat haiji mara 2. kosa moja siku hizi magoli manne .
uko vizuri Mr Nice
Wale wazee wa +254 mko wapi au na nyie mwataka tuvumilianee 😀😀😀
Wallaaaaaaaah🤣🤣🤣🤣🤣
Wakuje hapa waseme 😂😂😂
Love from Burundi
Kazana Mr.Nice urudi game....good trial uko almost!!!fanya na producers Kama musyoka na Kaka empire Kenya....
Hii nyimbo vijijini itapendwa sanaaa, imagine unalima huku jasho linatoka inakupa moyo
Gabriela Antonio 😂😂😂
Ninoma mr nice nakuaminia
rafiki yangu kipenzi marehem sonda alikua anakupenda mpaka tunapigana R IP sonda
Wape wape baba nabado watanyamza tu wape
Watanzania ebu mtafutieni kazi kaka yenu
Fagilia todate the best ...we miss the ladies in Red uliwapeleka wapi
Daaah mshikaji kaja jivingine sana tofauti na tulivyo mzoea big sana
Vickyoung was here. Nice song champ
Ikopowa sana brother
Mr nice is a really creative.
Nashindwa kuelewa sjui kwasababu sijui kiswahili
Hahaha Faki Swalehe mungu hanakuona Jaman
A good one..hii imefanya nimesubscribe..Good instruments too..Sijawahi poteza matumaini Nice! Mafans typo..tatu Kama hizi utarudi kwenye game
Nimependa video yake waweza tizama na wazazi wako hata na watoto wako, kwa kifupi nyimbo na video zimezingatia maadili ya KIAFRIKA. Kuna nyimbo huwa zina massage nzuri sana ila kwenye video lazima utizamie chumbani tena ukiwa mwenyewe!
Good job MR NICE
Wakenya saivi mpo juu bhana
Thus good..keep going..I loved ur songs since I was a kid
Ama fanya ivi tu,ebu mkol Ken wamaria ako na nungos yangu akupatie huwa tunabonga sana
Nyimbo nzur
nipe likes za mkali wao
Pambana baba urudi kama zaman tuna kupenda wa tz uko poa anzisha moto 🌷
*our legend mr Nice* 🙏🙏🙏✌️💕 nice and lovely song love from USA 🇺🇸 but I’m rwandais 🇷🇼🇷🇼🇷🇼✊💫
0719975406 check my number
anajuaaaaaaaa
Wimbo mzuri
big up mzee babaa..Bonge la song,labda kwa asiejuwa mziki,ila pia style imefanana na uimbaji wa Jose camilione..ila nyimbo Kali sanasana na umeitendea hakiii
Mashabaki hawana uwezo WA kushusha na kumpandisha msanii Bali radio na Tv station zetu
Legend❤❤
Mr nice komaaa wimbo mzur sana
Mister #Nice Stay strong
good work continue mr. nice
Muganda piwa alo
M.nice well come ,you are good legend .back do song nice
Utakuwa umefanyia kazi ushauri wangu.. Nilikuambia chukua mwezi mzima ukisikiliza.nyimbo zako za zamani zote kali, alafu soma soko pata studio nzuri tengeneza hit boss.. Bado sauti unayo king of TAKEU... NIKUKUMBUSHE KITU WASIKILIZAJI WAKO BADO WAPO.. ANGALIE video ya KIDALIPO utanielewa... Hila wimbo unafuata uwe speed ya kama FAGILIA.
Muta Lwiza haaaaa ume Ni furahisha
Muta Lwiza sasa hapo umetoa ujumbe au ushauri gani?
Sijakuelewa. Mr Nice utasimama kabisa Man!
Siria Lemmy beat ina melody ya kiganda lakini inafanana na nyimbo zake za zamani kwa mbali..
Gostaria saber se rafik está vivo ou não?
Huu wimbo uko poa, naupenda I say
Good work bro respect
Légende 🔥
Thus good... keep going
nice always nice
Meu grande king força pa
Hi Mr. Nice, you are a great inspiration to many. My Swahili is little however, I love your song very much. They are so meaningful and insightful. Please keep up the spirit. One love.
OMBENI URASSA
Ngoma nzur Mr ww hujawahi kukosea keep it up... #tuvumiliane#
Mr,nice upo jamani kaka
ngoma Kali bro umerudi sasa
Amazing song I like you Mr Nice God bless you always with your family
Wow wonderful
Good sana mr chunga sana usipotee kwenye game
kaz nzur
Mfalme Wa Afrca nakuona mbali saana
Mr Nice. We ni mzuri sana kaka kwenye mziki ila ongeza feelings kwenye uimbaji.. Video kali..ngoma kali
Kazi nzuri kuku kapanda baiskeli
Utabakiii kuwaaa juuu me nice wew ni msani namba1 umejazaa ukumbiii wa sagaplage burundiii hapa hapa jatokea kama wew
enyewe mr nice mambo yalikuendea vibaya but ngoma iko poa kabisa...fanya juhudi na ufanye collabo na harmonise
Amazing indeed, powerful words 👍👍
sanaaaaaa