"BADO NAKAA KWETU/Siwezi KUWAJENGEA NYUMBA WATOTO/KWANINI NILIPE KODI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Huyu hapa mswahili mwenyewe anaitwa MANGANJE anakwambia kuwa hawezi kuwa na mipango ya kujenga nyumba kwasababu ya watoto atajenga kwa mipango yake mwenyewe.
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Manganje

ความคิดเห็น • 37

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Jamaa anachekesha sana 😂😂😂😂 shida watu wanao comments wapo serious sana

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ambao hamumjui huyu ni mchekeshaji jaman sasa naona watu wako serious kumjibu 😂😂😂😂😂

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 yani wanakaza fuvu balaa aiaee

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hyu anawatania tu ila n m2 mwenye masihala sana ila Yuko vzur Zaid kimaixha!!

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 4 หลายเดือนก่อน

    Na enjoy sana najiona nipo mswahili kabisa

  • @hussenmzaganya1081
    @hussenmzaganya1081 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huwajengei watoto, wakati huo unakaa nyumba nyumba iliyojengwa na baba yako.

  • @idrisalimapema2539
    @idrisalimapema2539 4 หลายเดือนก่อน +1

    Weee mtangazaji unazingua

  • @kelvinwilliam8136
    @kelvinwilliam8136 4 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji 🤔🤔🤔

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 หลายเดือนก่อน

    Dada unanikumbusha mbali 😝😝😝mambo ya ulaya😝😝😝

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 6 หลายเดือนก่อน

    Eti hapo kwenye miaka ckumbuki maana nikikumbuka naona kama ntakufa haraka😂😂😂😂wazaramu nyie mtihani

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 หลายเดือนก่อน

    Huu jamaa sio serious

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n 6 หลายเดือนก่อน +2

    Umegoma kutaja miaka yako lkn ukasems 86 ndo ulianza darasa la kwanza tayal waelewa washaajua miaka yako

    • @alumonkisinda4574
      @alumonkisinda4574 6 หลายเดือนก่อน

      mkongwe kujua ngumu huko nyuma shule miaka kumi darasa la Kwanza kawaida

  • @hummymgaza6915
    @hummymgaza6915 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi Kama mzaramo umetutia aibu babu weyeeee, we don’t claim you 😂

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 6 หลายเดือนก่อน

    Si Tabia zenu lkukaa kwenu mpaka mnajukuu

  • @esaumumo8591
    @esaumumo8591 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali mjomba uyo

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah 😂😂

  • @youngchezo2744
    @youngchezo2744 6 หลายเดือนก่อน

    Yaap

  • @muddywatown
    @muddywatown 6 หลายเดือนก่อน

    Eti anamiaka 35 😂😂

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 6 หลายเดือนก่อน

    Akili huna, unasemaje huwezi kuwajengea watoto wakati wewe unaishi nyumba aliyojenga wazazi wako? Mpuuzi

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani wenyewe hawawezi kuishi hapo? Mbona wahindi wanaweza

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo pa kutoa meno imebidi niachea kazi za watu ni comment 😂😂😂

  • @CKMO
    @CKMO 6 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅I have nothing to say

  • @user-ys5iu3qu3u
    @user-ys5iu3qu3u 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @MaloneMalick-wo8yf
    @MaloneMalick-wo8yf 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂daah

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂daaaaaaa

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 6 หลายเดือนก่อน

    kwani hiyo nyumba unayokaa kajenga nani? mjinga wewe

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 6 หลายเดือนก่อน

    Dada una muiga sarama jbir

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 6 หลายเดือนก่อน

      Aiseeh !!! Kweli bhana...
      Kumbe na ww umegundua nilidhani ni mie tu ndo nimegundua.
      Nafikir Salama Jabir, ndo Roll model wake

  • @lihamecheusi5507
    @lihamecheusi5507 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 dah

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 6 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @florachogo243
    @florachogo243 6 หลายเดือนก่อน

    Haaaaaaa

  • @keturaequalizer
    @keturaequalizer 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mfala! Mwanaume kama hajajenga kwake ni mavi. Na ni vile hako na sura mbaya. 🤢🤮

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 6 หลายเดือนก่อน

      kwani ni ndugu yako

    • @keturaequalizer
      @keturaequalizer 6 หลายเดือนก่อน

      @@Mpakauseme Hapana! Ni babu wako! 😛😝

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 6 หลายเดือนก่อน

      Unamukosoa Mwenyezi Mungu😳😳😳