PRODUCER YOGO: Nimehangaika, nimekesha, mtu anakuja kuuza album ya Alikiba kirahisi tu, INAUMA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @jacksonmartnez6940
    @jacksonmartnez6940 3 ปีที่แล้ว +8

    Sinausemi Ila bro yogo nakukubar xna

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 3 ปีที่แล้ว +13

    I really respect yogo he's one in a million!Big up

  • @mirajihabibu6990
    @mirajihabibu6990 3 ปีที่แล้ว +13

    Akili mingi sana YOGO 💪

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 3 ปีที่แล้ว +12

    Hongela kwa kutupa album kali🔥👌🙌

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 3 ปีที่แล้ว +8

    MZIKI NI YOGOOOO

  • @majaliwamajaliwa5547
    @majaliwamajaliwa5547 3 ปีที่แล้ว +8

    Facts zimemwagika humu...

  • @mrlalji44
    @mrlalji44 3 ปีที่แล้ว

    Yogo ...ni mtu makini sana , anajua anachozungumza ,hakurupuki katika kuongea big up kwake

  • @stuberjunior3855
    @stuberjunior3855 3 ปีที่แล้ว +8

    Nice speach yogo

  • @Directorhernrypro
    @Directorhernrypro 3 ปีที่แล้ว +9

    Genius kipara 🔥🔥🔥

  • @saidmussa3095
    @saidmussa3095 3 ปีที่แล้ว +10

    Dah sio poa ila never give up 🇹🇿🇴🇲

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwann msiwafunge kbs mkiwachukua watu kama 10 hv mkiwapeleka mahakamani mkiwafunga miaka 5 10 15 20 watie adabu

  • @nginirasaire5876
    @nginirasaire5876 3 ปีที่แล้ว

    Am a proud MVS.
    Salute nyingi Skywalker

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 3 ปีที่แล้ว +15

    Yogo on the beat💥💯

  • @magrethpoulpoul8585
    @magrethpoulpoul8585 3 ปีที่แล้ว +6

    Full and speeche

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 3 ปีที่แล้ว +9

    Nice interview

  • @jimmysimon5900
    @jimmysimon5900 3 ปีที่แล้ว

    Interview nzuri sana Yogo anajua anachokizungumza na kufanya BIG UP

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 3 ปีที่แล้ว +10

    Mfalme wanaonaga sio mnenaji sana ndio maana wanatakaga kusumbua king 👑 duh kwani wao kufungwa ni tsh ngap, serekali hauoni au vipi ? Duh it pains sometimes guys , kiba an management do something on this plz , I feel the pain from TEXAS US 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇸🇺🇸🇺🇸🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @erardmporoto2660
    @erardmporoto2660 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa ni mmilisi wa lugha
    "Lepe LA ujuzi"

  • @barakaemmanueli7405
    @barakaemmanueli7405 3 ปีที่แล้ว +8

    Yogooo beat❤️❤️❤️❤️

  • @456fe
    @456fe 3 ปีที่แล้ว +12

    Yogo ni mmfaswaha wa kuongea. Anafaa afanye interview nyingi

  • @gazaomar587
    @gazaomar587 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo SNS king music 4life

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii interview kali sana sana,interview ya kijitu kizimaa,madini mengi mno

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 3 ปีที่แล้ว +7

    MVS THAT'S ME! MORE LOVE!

  • @barakadaprince3742
    @barakadaprince3742 3 ปีที่แล้ว +5

    Yogo🔥🔥💪🏿💪🏿

  • @bodyaman
    @bodyaman 3 ปีที่แล้ว +6

    B👁️DYA MaN

  • @mashaboydesylver8278
    @mashaboydesylver8278 3 ปีที่แล้ว

    Respect sana yogo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kingcheater2554
    @kingcheater2554 3 ปีที่แล้ว +4

    Yogo beat

  • @omanss268
    @omanss268 3 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏unaongea point sana

  • @hildahtemu9060
    @hildahtemu9060 3 ปีที่แล้ว

    Nime enjoy san hii interview ❤️ yan umenifanya nilale sa 7🏃🏼‍♀️ ngoja nikalale

  • @kiatu
    @kiatu 3 ปีที่แล้ว

    Album imeibua mengi-vizuri sana. Good advice coming through.

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 3 ปีที่แล้ว +7

    yogo

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 3 ปีที่แล้ว +3

    Jama ni salute

  • @duoxmasisa6529
    @duoxmasisa6529 3 ปีที่แล้ว +6

    Uju jamaa IQ kubwa

    • @kiatu
      @kiatu 3 ปีที่แล้ว

      He is mature, you can see. Wanahitaji kuwa na association yao kama “beat makers”(sipendi kuwaita producers, kwa sababu kiukweli sio)

  • @emmanuelmisaac724
    @emmanuelmisaac724 3 ปีที่แล้ว +2

    I think hawa producers hawakumwelewa master j,
    Na kwa wanavyoongea wataendelea kunyonywa miaka 100 mbele,
    I think they have to take master j speech in a positive way na wachukue hatu bila kujali muktadha aliotolea io speech yake na kwa watu gani,
    Misunderstandings zitawagawa zaidi alafu artist watapitia hapohapo na kuendelea kuwanyonya.
    Sisi mashabiki pia tunaona wananyonywa ila wao hawaoni hilo,
    Ukilipwa (1-5)m unaona umelipwa sana while yu deserve B's and more,
    Jina chawa limetumika kama tu usemi wa sasa ila alichomanisha ni kwamba decision of your payment is not in your hands it is under the pleasure of your clients ( the singers),
    Master j wants you to have says na sio artist akulipe anavotaka.
    Ila wabongo hua tuna ego na hatupendi kuambiwa ukweli tunahisi tunadhalilishwa au tunachukuliwa poa
    Japo ni ruksa pia kupinga ule ushauri wake ila upingwe kwa hoja mje na data mtuoneshe ktk kila streams za wimbo ulofanyabeat kwenye digital platform ilipowekwa percentage zenu ni ngap, studio session mnacharge sh. Ngap, mauzo ya album % ngap, kwenye shows mnapata % ngap unless msipinge ushaur wa master j, na lile neno chawa cz ndo limewauma kuliko ushauri wa bure mlopewa.

  • @benmkare1095
    @benmkare1095 3 ปีที่แล้ว +8

    YOGO ON THIS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amosrespicius210
    @amosrespicius210 3 ปีที่แล้ว

    he is the best over the best

  • @simonubiri7881
    @simonubiri7881 3 ปีที่แล้ว +4

    Epic

  • @antonimateru7088
    @antonimateru7088 3 ปีที่แล้ว +1

    yogo shikamooo

  • @Nyaruking1
    @Nyaruking1 3 ปีที่แล้ว +5

    Kipara

  • @kevinavedie5774
    @kevinavedie5774 3 ปีที่แล้ว +1

    Yogo Yogo

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +1

    MVS#SnS🔥

  • @Nature_adventure
    @Nature_adventure 3 ปีที่แล้ว

    I have watched from the beginning to the end
    ila nashauri ungeweka namba (part one, two...) ili ijulikane ya kwanza ni ipi na ya mwisho n ipi

  • @kingsmusicfans1416
    @kingsmusicfans1416 3 ปีที่แล้ว +2

    #kingsmusicrecords we're the best and nobody can stop us

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 3 ปีที่แล้ว

    MVS😎😎

  • @munirahassan6313
    @munirahassan6313 3 ปีที่แล้ว +5

    💝💝💝💘

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 3 ปีที่แล้ว +5

    🤔🤔🤔

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +6

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzikii Ni Y0g0

  • @weremaamos1742
    @weremaamos1742 3 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏💯

  • @stellamosile3944
    @stellamosile3944 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anarudia rudia maneno san haendi kujib swli anaulizw saw analeta story na maelezo

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 ปีที่แล้ว +6

    Mmmm nkifikiri n Muslim

    • @rabsontryphon9254
      @rabsontryphon9254 3 ปีที่แล้ว +1

      We kitimoto a.k.a nguruwe mbona unamawazo ya kipumbafu ivo,,, udini unauingiza vp apo nyambafu

    • @subiraboi9397
      @subiraboi9397 3 ปีที่แล้ว

      @@rabsontryphon9254 Asante na mungu akubariki in shaa Allah

    • @jacksonsabana2150
      @jacksonsabana2150 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah kwel ana muonekano uo hata mm niliwaza hivyo ukizingatia anavyojibu maswl kwa hekima

  • @zaitunifamao7777
    @zaitunifamao7777 3 ปีที่แล้ว

    Me i think artists should do kind of strike do a kind of a campain together and go directly to the distribution spots,shops etc and distroy all the cds helped by the gouvernement then they will fear if they think gouvernement will do this for them,never they need to push things them selves then when they release next projects they can benefit more money from them than now....Just thinking

  • @anthonyjohn7909
    @anthonyjohn7909 3 ปีที่แล้ว +1

    Lazima muwe wabunifu mnatoaje album online tu ,,, wakati mnajua kuna watu wazima wenhi wanapenda mziki nzur na wanatumia CD watajua wapi kuwa hamjatoa copy

  • @stephenmwawasi8749
    @stephenmwawasi8749 3 ปีที่แล้ว

    David maganga kwani yeye mkenya mtaita nn, sababu huku taita taveta maghanga wengi sana

  • @rameckgototv4397
    @rameckgototv4397 3 ปีที่แล้ว

    Siyo serikare unapotowa album kuna kodi unaweka hivyo ndivyo hata wanaigeria wanavyo fanya kwa iyo ukitaka kubani tuu inakuingizia virus

  • @peterassenga6169
    @peterassenga6169 3 ปีที่แล้ว

    Akili Kubwa Kipara

  • @fatumasaidi2592
    @fatumasaidi2592 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 Pitié 🇹🇿🇲🇫

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 3 ปีที่แล้ว

    Nmetazama interview yote na haijanichosha

  • @juniourbendera3183
    @juniourbendera3183 3 ปีที่แล้ว

    Bonge la interview

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzikii Ni Y0g0

  • @innocentmgumba5743
    @innocentmgumba5743 3 ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 3 ปีที่แล้ว

    Nice interview