Yobati ft Shija Kadoke - Obhebhe |official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Anaitwa #Yobati msanii wa nyimbo za #asili asili Leo Tumekusogezea Album mpya ya inaitwa Shokaga Kaya.... kijana anaomba saport yenu mashabiki Ili nae afike Enjoy
    #makulastudios
    #mkemia

ความคิดเห็น • 19

  • @MichaelSoli-x9q
    @MichaelSoli-x9q 11 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaaa wamuangalie sana anakitu ndaniyake

  • @donbeteofficial
    @donbeteofficial 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah hii ya 🔥🔥🔥sana.

  • @MariaHindi-po1mt
    @MariaHindi-po1mt หลายเดือนก่อน +1

    P1 kaka

  • @masungasayi3298
    @masungasayi3298 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka yobati😅😅😅 goma iko vizuri sana

  • @MasanjaMasangu
    @MasanjaMasangu 11 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua kupagilia merody
    Hongera yobat nakufatiliaga sana

  • @boyfriend254
    @boyfriend254 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka ❤

  • @galilayafeles4445
    @galilayafeles4445 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana, hongeleni sana, begup

  • @gaugeorge4983
    @gaugeorge4983 11 หลายเดือนก่อน

    love song❤ hatariii San dada Good job

  • @PaulCharles-ox9pg
    @PaulCharles-ox9pg 8 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana yobati nashija kadoke mm nawakubali ana wote wasanii wa kanda ya ziwa nikiwa dar nawafatulia sana. Saruti sana mtaufikisha mziki wetu wa asili mabli naitwa Paul Charles njashi kijana wakanda yaziwa kome kisiwani

  • @Adizowamachale
    @Adizowamachale 11 หลายเดือนก่อน

    Saf Sana hongera ndugu

  • @rogetichuo4687
    @rogetichuo4687 ปีที่แล้ว

    Yobati hongera sana upo vizur

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza 8 หลายเดือนก่อน

    Yobat. Umepgaje hpo. Eheeee. Kume wka huku. Uwiiiiii🎧🎤💪🙏🍷

  • @makulaextra5084
    @makulaextra5084 ปีที่แล้ว +1

    Weka like yako kama unamkubali yobat

    • @ChifuBhuhimila
      @ChifuBhuhimila 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ndugu yangu naitwa nyanda memory msanii wa morogoro naomba uisambaze nyimbo inaitwa nyanda memory inaga na madebe video HD ingia TH-cam kaka tufanye biashara

  • @wachachesana
    @wachachesana ปีที่แล้ว

    Nimeerewa sauti bola aidia zakazi chukua maua yako🎉🎉🎉

  • @japhetsahani7121
    @japhetsahani7121 ปีที่แล้ว

    water wako vzr

  • @HilalSalum-e4r
    @HilalSalum-e4r 8 หลายเดือนก่อน

    Duh!! Kila nikiliona jina la yobat huwa. inanikumbusha mbali sana 2016_2017 wimbo wa moyo,,kuna banda la Video ilikuwa nawahi kuingia ilitu niusikie huu wimbo yaani sikutegemea kabisa kama hatofika mbali na pale nilivyotarajia😢😢😢😢😢😢😢😢 pambana kijana shàbik YAKO No1 Niko hapa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @YobatYohana-qi9yl
    @YobatYohana-qi9yl ปีที่แล้ว

    Asante sanaa roget ndugu yangu pamoja nashabiki zangu wote

  • @mageletz
    @mageletz ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha mzigo ume chota na Magele Tz 😂😂😂😂