Kwenye Heshima ya Bongo Flava, Mr. Nice mfalme wa 'TAKEU' akifunguka Hustle zake za muziki mpaka alipofikia hapa alipo na nini anafanya nje ya muziki wake..
nimelipia 100 zangu nyingi sana kwenda kuangalia huyu jamaa kwenye kumbi za TV, for sure haitakaa ijirudie kwa msanii yyt atusue kama Mr nice. asiekujua atabisha.
nimelipia 100 zangu nyingi sana kwenda kuangalia huyu jamaa kwenye kumbi za TV, for sure haitakaa ijirudie kwa msanii yyt atusue kama Mr nice. asiekujua atabisha.
Mzee TAKEU Style
huyu jamaa anafanana na mista misifa dully sax
Mkongwe msani wangu bado yupo sawa
Mike tee yupo kweli
Muacheni huyo kutoka mbali huyo jamaa anajua maisha katurusha Sana.....
My childhood hero... Love you
Kuna watu walipiga pesa sana kipindi chake huyu jamaa
Mike tee lini
Haaaaahaaa nice hatar
heshima ya bongo aletwe chid chuma chid Benz
Huyo alianza kuwa staa Kabla ya kuimba alikua mcheza shoo kwa macheni bar
Ni mda sasa na A.Y aje kama vip aje ni venance ized
Piga collabo na kibaa.....