Shuhudia hii ngoma za jadi toka Malawi kwenye stage ya Tulia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 4 ปีที่แล้ว

    Mwakamogho moja hiyo naipenda sana hii ngoma

  • @kainlangson7482
    @kainlangson7482 6 ปีที่แล้ว +1

    wamalawi ni jirani zetu na tunashilikiana kwa mengi sana cheki hata tamaduni zinaendana ajabu ni kwamba viongozi wasio jua mwingiliano na uhusiano wetu wa jadi wanajaribu kutugombanisha

  • @radhemohan7490
    @radhemohan7490 5 ปีที่แล้ว

    jiran zetu tupo nao sawa sana km wanyakyusa tu km ujatambulshwa kua n wamalaw

  • @mwanjisyaajonas8151
    @mwanjisyaajonas8151 5 ปีที่แล้ว +1

    Wako vizuri,ni ndugu zetu

  • @officialdavi8221
    @officialdavi8221 4 ปีที่แล้ว

    Safi