Amen Amen Lord show mercy to our Tanzania 🇹🇿 show mercy to Arusha show mercy to Mwanza Damu ya Yesu ikafunike Tanzania kafunike Arusha na Mwanza tunakataa kumwagika kwa Damu za wananchi na viongozi wake kwa jina la Yesu Kristo Amen Amen
Tanzania 🇹🇿 Mungu akulinde Nakupenda nakuombea uhai, ulinzi,ustawi kila maeneo, amani na upendo kwa watu wake. Mungu akuepushe na mabaya ya aina zozote kwa jina kuu la Yeu Kristo Amen
Oh Lord let Arusha and Mwanza be covered and be protected by the supreme blood ofJesus by your mercy in the mighty name of Jesus. NO deaths will occur in Arusha in Jesus mighty name.
Mwanza malaika wa amani muende kila kona mlete amani na malaika wa vita pigana juu mwanza,wamwagaji wa damu wataka madaraka wote na kuzimu mnyamaze kimya kwa mwanza na Tanzania nzima ktk jina la YESU.Tanzania nakutamkia amani amani amani amani amani amani amani,katika jina la YESU.
Hakuna haja ya kuogopa wapo waliopewa jukumu la kuisimamia nchi yetu ni watu wa mungu uwezo wao haufanani na kitu chochote ni zaidi ya imani ndio maana tanzania iko na amani hakuna vita vilivyo kua vikubwa zaidi ya miaka mingi sana hamuoni kama ni kitu cha ajabu......lakini wote tuna majukum ya kuombea taifa letu
Shida mtu kungangania madaraka ukweli tz haijawahi kuwa na viongozi wa kinganganizi ccm tunawaomba weekend kiongazi wenye kukubalika bila hongo. Watu wamewekewa Maishal magumu ili wakope ili wanaichi wa chini hawa mikopo itumike kupiga kampenii. Watumishi wa Mungu elimisheni wt mikopo itawliza banda ya uchaguzi huuuu! USA Lama haupo
Amen Amen Lord show mercy to our Tanzania 🇹🇿 show mercy to Arusha show mercy to Mwanza Damu ya Yesu ikafunike Tanzania kafunike Arusha na Mwanza tunakataa kumwagika kwa Damu za wananchi na viongozi wake kwa jina la Yesu Kristo Amen Amen
Tanzania 🇹🇿 Mungu akulinde
Nakupenda nakuombea uhai, ulinzi,ustawi kila maeneo, amani na upendo kwa watu wake. Mungu akuepushe na mabaya ya aina zozote kwa jina kuu la Yeu Kristo Amen
Mungu ilinde Arusha na Mwanza,Tuepushe na vurugu zawanasiasa waovu
Oh Lord let Arusha and Mwanza be covered and be protected by the supreme blood ofJesus by your mercy in the mighty name of Jesus. NO deaths will occur in Arusha in Jesus mighty name.
Tanzania Bwana akakulinde na kukuatamia na mikoa yako yotee milele!Amen
😢😢😢uuuuwwiiii pastor unatuogopesha Mungu atusaidie nchi ya Tanzania na jiji la arusha atuepushe na mabalaa yote in Jesus name
Mwanza malaika wa amani muende kila kona mlete amani na malaika wa vita pigana juu mwanza,wamwagaji wa damu wataka madaraka wote na kuzimu mnyamaze kimya kwa mwanza na Tanzania nzima ktk jina la YESU.Tanzania nakutamkia amani amani amani amani amani amani amani,katika jina la YESU.
Ooo my God damu ya Yesu ipite ikaharibu kila mpango wa adui ambao ameupanga hauta fanikiwa katk jina la Yesu
Ee mungu simama mwenyewe juu ya tanzania,
God bless my motherland, Tanzania.
Ameeen! Ubarikiwe mwanangu
Mungu attulinde watanzania kwa jina lake
MIPANGO YA KUZIMU JUU YA TANZANIA TUMAIFUNGA YOTE KWA JINA LA YESU
Mungu akusaidie katika hili.
AMEN AMEN AMEN AMEN
Simama mwenyewe Yesu🙏🏻
We will pray sir thanks ❤❤❤
Mungu ingilia kati
Hakuna haja ya kuogopa wapo waliopewa jukumu la kuisimamia nchi yetu ni watu wa mungu uwezo wao haufanani na kitu chochote ni zaidi ya imani ndio maana tanzania iko na amani hakuna vita vilivyo kua vikubwa zaidi ya miaka mingi sana hamuoni kama ni kitu cha ajabu......lakini wote tuna majukum ya kuombea taifa letu
Aaameeni
Bwana alete amani ndan ya nchi yetu ya Tanzania
Ameen Ameen Daddy
From mwanza
Mungu irehemu nchi yangu Tanzania..
Shida mtu kungangania madaraka ukweli tz haijawahi kuwa na viongozi wa kinganganizi ccm tunawaomba weekend kiongazi wenye kukubalika bila hongo. Watu wamewekewa Maishal magumu ili wakope ili wanaichi wa chini hawa mikopo itumike kupiga kampenii. Watumishi wa Mungu elimisheni wt mikopo itawliza banda ya uchaguzi huuuu! USA Lama haupo
God forbid!!!!!
Let's pray