Tumevua taji zote,tunavua majina yote,tunajikosa mbele ya ufalme wako JEHOVAH.Kama sio neema yako MUNGU,sisi ata hatungekua uhai.This far we have come my FATHER, indeed YOU'RE EBENEZER
Bishop Mwai anajua kuomba akii 👍 hadi God anaskia imagine powerful prayer, mimi huomba kama nime piga magoti 🙆 wats up God please kuwa ukini skia 😭 ,ama ni Mashetani zina shika maombi yangu 🙆
@@ceciliarubiarubia292 I just wish God aki skiza prayers zangu angekuwa anasema nime skia wait 4 answer, vile amenyamaza since kitambo hainifurahishi na mimi sijawahi abudu shetani,kupiga magoti ni ku surrender all 2 God i bliv that 🙏
In did It's was a Powerful prayer. hapa Tu mefika ni wewe Tu Yesu
Glory n honour to God
Msamaha msamaha tusamehe Jehovah mwingi wa rehema🙏🙏
Napungua ukaongezeka ewe Mwenyezi Mungu🙏🙏
Amina
Thank you Lord forgive us Lord.
Tusamehe Jehovah
Thank you Jesus 🙏🙏🙏
Thank you pastor Mwai. Please be throwing this kind of prayer weekly. Very helpful. Thank you Jesus!
Tusamehe baba
God forgiver oo lold
Tumevua taji zote,tunavua majina yote,tunajikosa mbele ya ufalme wako JEHOVAH.Kama sio neema yako MUNGU,sisi ata hatungekua uhai.This far we have come my FATHER, indeed YOU'RE EBENEZER
Ee mwenyezi mungu niondolee kiburi,katika jina la yesu.AMEN
Amen
Haiya
Amen nisamehe Jehovah 🙏
We give you the glory and honour God 🎖
My God my father forgive me oh Lord
DADY NIOMBEE NIPATE GREEN CARD NIENDE NG'MBO PAMOJA NA WATOTO WANGU.SITAKI KWENDA PEKE YANGU.AMEN
Halleluyaaaaaaa
God forgive me for whatever which goes wrong in my life 😢😢😢🙏🙏🙏
Msamaha kwangu jehova mimi ni wenye thambi, nisamehe baba
Glory be to God 🙏 kwa wema wake
Tusamehee Mungu na ubaliki Jesus Winner
Dear Lord please forgive me for my pride,let me acknowledge all success i have it's you God
May God answer our prayers
Sifa shukrani zimrudie mwenyezi Mungu
Forgive us lord.
Nisamehe mm nawatoto wangu jehova
Sina nguvu na Sina uwezo. Mungu nakutegemea Kila wakati
Our lord JESUS atuoshe na damu yake atutakase na hiyo damu yake takatifu
Thank you Jesus
Tusamehe Jehovah, tuhurumie mungu mwenye huruma na rehema mingi. Hatuwezi bila wewe
Tupungue uongeseke ni wewe tu
Ni wewe mungu,pokea sifa na shukrani God
Kabisa ni wewe mungu 😢😢, 🙏🙏🙏
Mungu tusahe tu tumekili tumekosea
Sio sisi baba niwewe
Sifa kWako jehova
Mungu tusamehe
ameeeeen
God forgive me for being sinfull and prideful
True kwa wema wa MUNGU..What l have and what l am, is only because of God despite my faults ..To God be the glory..
Utukufu ni wako Jehovah,Kila kitu ni wewe
Bishop Mwai anajua kuomba akii 👍 hadi God anaskia imagine powerful prayer, mimi huomba kama nime piga magoti 🙆 wats up God please kuwa ukini skia 😭 ,ama ni Mashetani zina shika maombi yangu 🙆
Utukufu ni wako Jehovah
@@ceciliarubiarubia292 I just wish God aki skiza prayers zangu angekuwa anasema nime skia wait 4 answer, vile amenyamaza since kitambo hainifurahishi na mimi sijawahi abudu shetani,kupiga magoti ni ku surrender all 2 God i bliv that 🙏
Nisamehe makosa yangu yote
Glory to Jesus
Amen 🙏
Nilipo saa hii ni nehema n utukifu wako baba
My role model
Ohhh hallelujah! glorly to God