Teacher Dorry una kiti chako mbinguni, nakupenda mnoooo unajua matumiz ya mtandao, wengne hawana ada ya kulipia chuo ila kwako elimu bure, God bless you🙏
Asante sana mwalimu Nipo marekani ila kimgereza sijuwi kabisa lakini toka nianze kukufuatilia naona unanisaidia sana Pendekezo langu na mimi nataka utufundishe jinsi gani kuomba kitu Kama kazi Ruhusa Vitu kama hvyo asante
😊 siku zote nilikuwa nimekrem kusema kama hivyo unavyofundisha lakini nilikuwa sijui kufafanua hasa umiliwa wa mtu unafafanuliwaje so Big Yes to you Dorothy na Asante sana
Thank you madam Deborah kwa somo zuri pia nataka nifundishe Kama unataka kumuambia mtu akupigee sim video call na yupo nje ya Tanzania au ndani ya Tanzania nakupenda Sana mwalim wangu ❤️🥰🥰
Amjambo kwamajina ni Babu Lukungula Eemanwelu kazizurikwako mungu akupe ujesiliwa kutufunza, naomba vo ya alfabeti ya kingereza natafsiriake kwa kiswahili asante asubuhijema
Tunakuelewaaaa na unazingatia vizur nature of learner kwa sabubu tupo tunaoelewa harak,kidogo kidogo,na tunaoelewaa taratibuu,hivyoo BC pongezi ni kwakoo hukuikwepa teaching practice wakt wa ujifunzaji wakooo
Asante sana my love umenifanya naweza kuondoa aibu sasa nakujikuta naongea .namkumbuka mwalim wangu Abrahaman. alikuwa ananambia rey ukipata nafasi yakunyanyuliwa class shkuru watu wanaitafua mimi sikunyanyuwi kuwa nakutaka nataka uwe imara 😐😐nikaja nikaikumbuka kauli hii nilipo enda nchi zawatu. asante na my mungu akubariki akuzidishie elemu uzidi kutupa nasie
Asante mwalimu nashukuru kwa hiki kinacho endelea mim ningependa utuunge na group kwa sisi tunao soma hapa ili tuweze kukosoana pale tunapo kosea pia naomba namba yako dada samahani ni mimi mwanafunzi wako saumu
Madam Mungu akupe uweled zaid na zaid Mana sio kila mwenye na fas hii ila ningekuomba kuwa unajarib kuongeza muda unatuacha na kitu na moyon kwakuwa muda ni mdgo
Asante sana kwa video hii, mwalimu! Nina swali kuhusu sentensi hii : ‘Hii ni gari yake’. Nilijifunza ‘Hili ni gari lake’. ‘Hili ni gari lake’ si sahihi?
Tunashukuru mwalimu Mimi naomba utufundishe jinsia ya kutumia neno upendo kwenye maeneo tofauti tofauti maana kwakiswahili neno upendo linatumika kwenye Kila eneo lakini kwenye kiingeleza ni neno linalo gawanyika kulingana na wapi unatumika Yani mfano ; labda neno upendo mtu akiwa anaongea upendo labda wa KRISTO ni tofauti na mtu akizungumzia upendo wa kimapenzi ila kwakiswahili Huwa ni Iloilo upendo, please maadam help us
Asante Sana dada Mimi ni Joseph naomba utusaidie kutupangiya mustari ambao utakua mu future alafu ingine verbe ya kufwata itakuwaje? Mfano : nitaenda sokoni jioni nikisha maliza kula
Madam nimefurah Sana sikujua kama ungefundisha Maana nilijua tayari una Road map Yako Kama mwalimu,,, kwasasa ningetamani ufundishe zile Who,when,why, which, what, but kuna OBJECTIVE PRONOUNS ( Viwakilishi Vya Kutendewa ) hujazifundisha Bado, Hebu malizia hapo Halafu Uwape watu sentensi Zinazoweka Viwakilishi Vyote vitatu Kwa Pamoja,,, Mfano I know HIM, HE is a doctor and HIS parents are politicians
Habari. Asante kwa mawazo mazuri. Road map ipo Lakini Napenda wanafunzi wangu wajiskie huru kuuliza kuhusu Mada Ambazo ni changamoto kwao. Inasaidie na wengine. Karibu
Safi endelea kufundisha Mwenyezi Mungu Akubariki sana KWA kuamwua kufundisha SoMo hili
I like the way you teaching us thank you so much❤❤❤
Habari Dorothy
Nimependa unavyo fundisha Mungu akubariki sana sana.
Teacher Dorry una kiti chako mbinguni, nakupenda mnoooo unajua matumiz ya mtandao, wengne hawana ada ya kulipia chuo ila kwako elimu bure, God bless you🙏
asanta dada kwahelimu yako nzuri pia nasi tumipatia helimu nzuri kutoka kwako ,god bless you
Mungu akubariki maadam,mimi Sasà naweza kuongea kingereza mwanazoni nilikuwa nashindwa kabisa, Asante mwalimu, Mimì jitaendelea kufuata vipindi vyako,kweli unakipaji kikubwa endelea kutusaidia
thanks teacher,tunazidi kuelewa mungu akubariki uzidi kutufundisha inabidi tuanze nachakuongea
Uko vizuri mwalimu, kakini hujaongelea kuhusu wanyama viwakilishi vyao vinakuwaje
Asante mwalimu tunakufatilia ningependa kushauri mada zisiwe zinachelewa sana wengine tuko Kasi tunataka kujua haraka .
Asante sana mwalimu
Nipo marekani ila kimgereza sijuwi kabisa lakini toka nianze kukufuatilia naona unanisaidia sana
Pendekezo langu na mimi nataka utufundishe jinsi gani kuomba kitu
Kama kazi
Ruhusa
Vitu kama hvyo asante
Me naomba unifundisha pekeangu
Thenk you Dorothy,God bless you our teacher
Asante dear tunakupenda sana god bless you
Thank you my teacher I proud of you ❤❤ good bless you more
Ubarikiwe Sana dada Dorothy
Asante sana. Mwalimu wetu. Mungu akubariki.
Nimekupenda buree yaani unaweza Safi barikiwa
Asante sana Sister kwa mafunzo yako niko Bujumbura nakufatilia sana
Asante sana dada doroth kiukweli unatusaidia mi binafs nimejifunza mengi kupitia hili darasa
Asante sana. Mwalim wangu nipo naendelea kujifunza
Asante sana dada kutufunza kingereza tunakufatilia kuto Congo drc
😊 siku zote nilikuwa nimekrem kusema kama hivyo unavyofundisha lakini nilikuwa sijui kufafanua hasa umiliwa wa mtu unafafanuliwaje so Big Yes to you Dorothy na Asante sana
Thank you madam Deborah kwa somo zuri pia nataka nifundishe Kama unataka kumuambia mtu akupigee sim video call na yupo nje ya Tanzania au ndani ya Tanzania nakupenda Sana mwalim wangu ❤️🥰🥰
Amjambo kwamajina ni Babu Lukungula Eemanwelu kazizurikwako mungu akupe ujesiliwa kutufunza, naomba vo ya alfabeti ya kingereza natafsiriake kwa kiswahili asante asubuhijema
Well done Dot, wanasema nabii hakubaliki kwao, but mimi nakukubali, keep it up, its me aunt martha
Asante sana dada Doris unatu fundisha visuri san Mungu akulunde
Tunakuelewaaaa na unazingatia vizur nature of learner kwa sabubu tupo tunaoelewa harak,kidogo kidogo,na tunaoelewaa taratibuu,hivyoo BC pongezi ni kwakoo hukuikwepa teaching practice wakt wa ujifunzaji wakooo
Asante mwalimu uzidishe mifano
Asante mwalimu Doris, mi ni mgeni lakini nafurahia
somo lako nzuri tunaomba fika mpasa seeme ya 100 maana niko seemu ya23
Asante teacher Dorothy Bado hujaharibu
Vizur sana mwalim
👍👍👍
Mwalim nashukuru kwa darasa lako nimehangaika mno thank you madam
Uko vizuri dada
Asante sana my love umenifanya naweza kuondoa aibu sasa nakujikuta naongea .namkumbuka mwalim wangu Abrahaman. alikuwa ananambia rey ukipata nafasi yakunyanyuliwa class shkuru watu wanaitafua mimi sikunyanyuwi kuwa nakutaka nataka uwe imara 😐😐nikaja nikaikumbuka kauli hii nilipo enda nchi zawatu. asante na my mungu akubariki akuzidishie elemu uzidi kutupa nasie
Naomba tuwe tuna practice wote, Sina mtu wa ku practice naye. If you don't mind, I will send you my namber. Thanks.
Mimi nafuatilia vyema somo lako BY Mkubwa suleiman
Aksante dada niko kenya napendezwa kabisa na kufuza kwako
Unajitahidi mdada unapatkana wapi penda sana kz yako❤❤❤❤❤
Hongera kwa kazi nzuri.Pia naomba ufundishe namna ya kujibu maswali ya Comprehension.
Very nice madam
Uko na akili na busara sana mwl,asante sana God bless u
Thenkyou🌹🌹🌹🌺🌺🌺
May god give you a long life and continue to teach us. Frome Paris
Thank you
mambo dors napendasana kigereza irabado sijaiva sana kuongea kingereza irakwamasomo yako doris uhakika nitaerewa tunakuomba uenderee kutufunza tunakupendasana mungu akutangurie
Napenda Sana kujua
You are teaching good. God bless you
Thank you
Ahsante sister Dorith kwa juhudi zako
Mm ninaombi teacher tufundishe maneno mengine tofauti tofauti
Asanteni sana mwalimu kwakufundisha vizuru sana swali langu nihilo je uko kwa inchi gani?
Asante sana mwalimu we love you so much
Mm ninahitaji kujifunza madam naomba namba yko
Thanks so much our teacher I love you
Nakupenda mwalimu wangu
Naswali
Mwalimu masomo yako yapo vizuri nafatila Sana kila kipengere Yani mpaka kieleweke
@@remigiusjackson4025 mimi pia. Ila Sina mtu wa ku practice nae😔
Uko vzur naomba kunieleweshe jins ya kutunga sentence kwa kutmia verb
God bless you from UAE
Dorithi uko vizuri mno nitakuwa na wewe kila siku.
Karibu sana
Nafurahi sana
Mimi nasjukuru Sana moto wangu nilikua siwez kingerez kabisa lakinsasa nawez kidogo kwahivo nakushukuru
Asante my sister God bless you ♥️
Asante mwalim k nimejifunza kutoka kwako kiengereza
Ahsante sana dada dorthy
Thank you teacher for your subject
Nikazinzuli tunafulahia sana
God bless you
Dolith hapa umeupiga mwingi nilikuw na maneno mengi lakin Hutu tuneno tudogo nilikuw na mix ila now nimeelewa 🙏🙏🙏
Thanks you so much teacher
TeacherDorothy vp naona kimya unachelewesha masomo
Napenda sana masomo yako
Madam Dorothy kazi yako njema sana naomba wenye hili somo fundisha jinsi ya kuuliza maswali. Kwa mfano : Gari hii niya nani?
Asante mwalimu nashukuru kwa hiki kinacho endelea mim ningependa utuunge na group kwa sisi tunao soma hapa ili tuweze kukosoana pale tunapo kosea pia naomba namba yako dada samahani ni mimi mwanafunzi wako saumu
Mwalim ningependa upunguzekas sijaerewa
Thanks so my teacher doroth❤
Tufudishe jinsi yakuhesabu 1 hadi 10.000 ninzuri sana
Madam Mungu akupe uweled zaid na zaid Mana sio kila mwenye na fas hii ila ningekuomba kuwa unajarib kuongeza muda unatuacha na kitu na moyon kwakuwa muda ni mdgo
Asante sana kwa video hii, mwalimu! Nina swali kuhusu sentensi hii : ‘Hii ni gari yake’. Nilijifunza ‘Hili ni gari lake’. ‘Hili ni gari lake’ si sahihi?
Thank you my sister for teaching Us
Dada nimekuelewa sana pikipiki kwa kingereza inaitwaje
Thank you my techer, we love you
You teach two langueges at the same time merci 🙏🙏🙏
Thanks so much our teacher
Shukran dada 🥰🥰🥰🥰🥰
Samahani Doris mimi sjui nifanye je
Tufudishe kuhesabu 1 hadi 10.000
bless your Ms
Teacher sasa hv toka nianze kukufatilia naona mabadiliko kbs MUNGU AZIDI kukubariki
May God bless you my teacher
Asante sana dada jitaidi kupakilia siku moja kuweka live
Dada asante Sana kutufundisha kingereza mimi nilimaliza masomo alakini nilikuwa sidjuwe kuhandika morning kwasasa nilishadjuwa byamingi kupitiya wewe. Balibetu balikiwa natudanganya sana.kwenyekingereza.
Shukran sana mwalimu
Thenk you my teacher
Tunashukuru mwalimu Mimi naomba utufundishe jinsia ya kutumia neno upendo kwenye maeneo tofauti tofauti maana kwakiswahili neno upendo linatumika kwenye Kila eneo lakini kwenye kiingeleza ni neno linalo gawanyika kulingana na wapi unatumika Yani mfano ; labda neno upendo mtu akiwa anaongea upendo labda wa KRISTO ni tofauti na mtu akizungumzia upendo wa kimapenzi ila kwakiswahili Huwa ni Iloilo upendo, please maadam help us
mwälimu unafundisha vizur san mimi nahitaji kujuwa naomb namb yak ili niweze kujuw harak
Asnte sana mwalim me naomba namba yako nimuhim sana
Thank you.
Mm nataka unifundishe kingereza live
Asante Sana dada Mimi ni Joseph naomba utusaidie kutupangiya mustari ambao utakua mu future alafu ingine verbe ya kufwata itakuwaje? Mfano : nitaenda sokoni jioni nikisha maliza kula
Nitafundisha
God bless you teacher
Asante my ssiter
Mwalim tunaomba utuunge kwenye group ili tupate kuzirejea zanyuma ok
Unge weka madalaja tukimaliza la kwanza tuna fanya mtihani
Unaonaje tufungue group tujifunze zaidi
Naomba namba yako
Madam nimefurah Sana sikujua kama ungefundisha Maana nilijua tayari una Road map Yako Kama mwalimu,,, kwasasa ningetamani ufundishe zile Who,when,why, which, what, but kuna OBJECTIVE PRONOUNS ( Viwakilishi Vya Kutendewa ) hujazifundisha Bado, Hebu malizia hapo Halafu Uwape watu sentensi Zinazoweka Viwakilishi Vyote vitatu Kwa Pamoja,,, Mfano I know HIM, HE is a doctor and HIS parents are politicians
Habari. Asante kwa mawazo mazuri. Road map ipo Lakini Napenda wanafunzi wangu wajiskie huru kuuliza kuhusu Mada Ambazo ni changamoto kwao. Inasaidie na wengine. Karibu
@@jifunzekiingerezanadorothy ok sawa 🙏
thank you very much madam dorothy for the knowledge you have to give us your students❤❤❤❤
Thank you
Nimelipinda somo lako