Ila tukiacha unafuki huyu jamaa kaongea pointi, na ukitaka kujua kaongea pointi angalia timu kubwa zote kama aly ahal na Casablanca je zinawasemaji wenye mifumo kama kina ally kamwe na kina manara? Jibu hapana
Mi nawashangaa mashabiki wa Yanga mwaka nenda mwaka rudi bado wanajipa moyo kimataifa wakati wanajua kabisa kimataifa wao ni wasenge tu, hawana issue. Wawaachie wenye nchi halali wailetee Taifa heshima!
Bro naungana nawewe musemaji wetu utoto umezidi na inaonekana ajui anacho kifanya ndani ya timu yeti anacho nikera zaidi kuongerea Simba badara ya kufokasi na timuyetu hapa injinia angalie kamavipi arudishwe manara uyu anatuzingua pamoja na watoto wenzie yanga timu kubwa atutaki upumbavu
Jamani watani zetu yanga msimlaumu msemaji sana nyie kimataifa Bado tunaomba mtukabidhi kile kidada kinachotuita wanasimba kenge ktk haya mashindano Mbunyeake mbovu Haya mashindano ni akili tu mie ninaimani ipo siku mtakaa vizuri endeleeni kujifunza kwa lunyas😂😂😂
Waaemaji wa Yanga jaribia ya wote siku zote uwa ni mabwabwa tu, watu wa mipasho - kuanzia Mze Akilimali, Mze Mpili, Haji Manara, huyu shoga Ali Kamwe na mwenziwe Aunty Priva!
Waarabu wanaungana kumtoa mtu mweusi sisi tumekaa kudidimizana kila siku tuache ushabiki wa kishamba tubebe timu zetu tukafanye Tanzania kwenda viwango vya juu vya soka Africa, utani ubaki kwenye ligi kuu
Kaka nambayako jina la usajili linatoka lanan nataka kukufanyia muamara umeongea point saba
Lighton kayoka
Kweli kakamwe ni kakuda sana zaid ya sana😂w
Hv Huwa mnawapanga wakuwahoji anaejuwa mpira hawezi sema ujinga huo
Huyu shabiki yuko vizuri sana! inabidi yanga wamweke kwenye kitengo cha habari atawasaidia sana😂😂😅
Umeongezeka kwenye idadi ya wenye akili huyu jamaa wa tatu asee
Uko vzr kaka umeongea point
Kaka umeongea vizuri sana😢😢
Ila tukiacha unafuki huyu jamaa kaongea pointi, na ukitaka kujua kaongea pointi angalia timu kubwa zote kama aly ahal na Casablanca je zinawasemaji wenye mifumo kama kina ally kamwe na kina manara? Jibu hapana
Walaumu wachezaji. Mdomo wa Ali Kabwe hauchezi Mpira.
Aliy kamwe kamdomo kamemponza😂😂😂😂😂😂
Tatizo kamdomo😂😂😂
Kamdomo amekaa kimdomo mdomo
@@Givendivine yaan 😂😂
@@SilverTaric we acha 🤣 sipatii picha yupo kweny hal gan saii
Yes bro nakupa salute na heshima kwa ulichokiongea, Naamini ktk wale watu wawili wenye akili ktk club ya Yanga wewe utakua ni wa tatu.
Watoto wanawaza kula kula tuu..
Jamaa kongea point... Hamasa za kijinga zimewafanya waone game rahisi.
Umeongea point bro
Kocha naye amazing uache leo alitakiwa Pacome na Chama waanze leo mechi ilikuwa yakukata na shoka ila tusilaumu sana tujipange kwa mwakani
Na Jana usiku aka Post picha yake anawanga 😂😂😂 Ali kamwe 😂😂😂
Yanga wamecheza vzr sema mchezo haukuwa upande wao, wasikate tamaa kesho itakuwa yao
True broo wasemaji amna saivi
Ahmed ally mtu bhn
Bro umeongea point, Yanga Kuna utoto mwingi sana
Nampenda ❤semaji anawambiy funga menchi zako kaakimya. Ila wengine kamdomoo
Tunashukuru sna umetufikishia ujumbe
Yaani hauwezi kuingia fainali kwa striker km dube sio mpambanaji ni light striker
😅😅😅hii inaitwa mtoto kautaa mtoto kautaka😅#mwaka kundi
Niliwaambia juz kwamba ally kamwa hana akili 😂😂
Upo sawa kabisa kamdomo Cha kamwe kimetuponza
Kiukweli tumepambana lakin dakika 90 ndo zimeamuwa hakuna kulalamikiana
😂😂😂
Kwel kbs
Bro , ww ndo shabiki wa yanga ambay ni timamu ⛵💡
Yuko sahihi huyu mwamba aliy kamwe mara nyingi anaiponza yanga sema viongozi hawamshutukii
Jamaa anaongea ukweli
Ali kamwe semaji letu mzuri hayo maneno tu hatukati tama Sisi wanayanga tutafika safari yetu inshallah
Mwacheni msemaji alisema kabisa kwamba mashabiki tusichukilie mechi kama itakuwa laini ni ngumu leo sasa tunalaumu nini tukubali tu matokeo
Engineer alipoteza Muda mwingi dodoma
Very true,ukitaka kujua asemalo,kumbuka mechi ya Belzidadi
Hawataki kujifunza lakini wanakubali Simba ni university of foot ball in Africa 💪❤️🔥💯 ubaya ubwera
Simba wameingia robot lakini watadumu kwa wiki moja tu pamoja na yote
Huyu jamaa ni shabiki wa Yanga wa tatu katika ile list alotaja Manara wenye akili walio Yanga
Kaka uko sawa kaka
Mi nawashangaa mashabiki wa Yanga mwaka nenda mwaka rudi bado wanajipa moyo kimataifa wakati wanajua kabisa kimataifa wao ni wasenge tu, hawana issue. Wawaachie wenye nchi halali wailetee Taifa heshima!
Wewe Kuma inayonuka kweli
Wewe miaka karibu 10 unaishia robo tu wenzio tulibeba medali Kuma la mama ako wewe
We unamakombe mangapi ya Africa? Kama huna we ndo msenge namba Moja mbeza wewe
Bro naungana nawewe musemaji wetu utoto umezidi na inaonekana ajui anacho kifanya ndani ya timu yeti anacho nikera zaidi kuongerea Simba badara ya kufokasi na timuyetu hapa injinia angalie kamavipi arudishwe manara uyu anatuzingua pamoja na watoto wenzie yanga timu kubwa atutaki upumbavu
Excellent
Muacheni ally kamwe jmn a. K.a kamdomo
Ally kamwe anapenda sana sifa apunguze mdomo
Kweli kabisa hata mm simkubali kabisa kamwe manara ndo mtu sahihi nafasi yake iyo dogo anaongea Sana na kuchekacheka tu
Point
Matokeo gani waliyataka utopolo wakati wamepata matokeo mazuri tu ya droo
Mimi ni simba ila huyu jamaaa ameongea kiufundi hata mmuchukie ila yuko sahihi huyu mwamba
Huyu jamaa anajua football
Natamani ww ungekuea msemaji,yule mtoto mrojo wa supu akapumzika,anaropoka ovyo,kiatu ni kinampwaya
Ally kamwe sahizi yupo kuchekea chooni tuuuuu😂
Shindwa wewe usiye jua mpira. Kanwe ni msemaji lazima aseme, mwache kabisa. Hao Alja hawajacheza mpira wamelala na wamezuia tu! Wachezaji wangepita wapi?? Acheni kulalamika Acha kabisa lawama kumbe ulitaka Kamwe aingie uwanjani akacheze! Hujui mpira kaa kimya.
Kazi ya msemaji sio lazima kusema,ni kusema ukweli...haibu tupu kwa Kamwe akizirejea kauli zake
Nyie ndo mmecheza ndo maana mmeenda robo utopolo wew
Usemaji sio kusema kila kitu dada yangu
Uko sahihi kabisa kamwe ana utoto saana yeye anaongoega vitu vya kijinga mechi ngumu yeye anasema tutampiga mwarabu 3
Sijawahi kukubali kazi ya Kamwe na Priva wale jamaa hamna kitu
Uko sahihi
Kamwe ndo anacheza?
Pcome auzwe,.... mara ya pili anatukosesha ushindi Afcon,......amenunuliwa,...i mean CAF
Afcon tena😂😂😂
Huyu naye mngese, kwani aliipenda yanga kwa sababu ya ally kamwe?
Huyu jamaa namkubali sana ni mtu wa mpila siyo hii midunduka mm mwalim yanga mimi shetani nk
Hivi ni Yanga tu iliyotolewa?kwani mlitaka wote walioshindana?acheni toto
Mzee Magoma asikilizwe
Kuma yako nahuyo mshezi wako magoma ninyindo mnatuvurugia timu nawatamani sana
We kweli punga tena usirudie kuongea ujinga kama hujui mpira kalime
Waambie hao mkuu nakukubal xna
huo ndo mpira yeye ni msemaji ndo kazi yake kusema ww tukubali tu hayo yamepita.
Dah huyu jamaa anakitu msikilizen viongezi wetu
Mtoto kautaka😂😂😂
Wewe ni semaji Gani asie sema bana, Kila semaji lazima aseme, kuwa mchezo kuwa utakuwa mgumu alisema sana mbona.
sifa sana ally kamwe utadhani yeye ni mtabiri matokeo yake idha na aibu tele punguza sifa kijana
Tatzo wanaenda na matokeo mfukon 😂😂😂😂😂
Huyo nisimba kwanza hujui mpira sisi hatuwezi fanya fujo kama hiyotimu yako walio kutuma uvae jezi ya yanga
Ukweli unaumaa
Jamani watani zetu yanga msimlaumu msemaji sana nyie kimataifa Bado tunaomba mtukabidhi kile kidada kinachotuita wanasimba kenge ktk haya mashindano
Mbunyeake mbovu
Haya mashindano ni akili tu mie ninaimani ipo siku mtakaa vizuri endeleeni kujifunza kwa lunyas😂😂😂
Kweli Yanga tujifunze kwa Simba mechi kama hii tunatakiwa kuingia uwanjani kiroho mbaya
Eng kaenda Dodoma
Jamaa ameongea vzr
Waaemaji wa Yanga jaribia ya wote siku zote uwa ni mabwabwa tu, watu wa mipasho - kuanzia Mze Akilimali, Mze Mpili, Haji Manara, huyu shoga Ali Kamwe na mwenziwe Aunty Priva!
Ww hakir una
Huyu pekeake ndyo mwenye maoni mazur
Upo sawa kabisa waongeaji nuks
Kweri huyo ni msemaji lazima aseme
Zarau pia muache eti pakome mume muacha njee dah!! Shida sanaa zaraubaya Leo pia hawakujituma wanajiona mastaa sanaaa MATOKEO yake ndio yale
Aliy kamwe ndio sababu pumbavu yule simba nyinyi amjui
Walijiamini km wameroga tayari ushindi lazima hata wachezaji walijua viongozi washaroga tayari tutapata tu gori ally kamwe alishawaambia shughuli imekwisha tunafuzu
Mnawaabia simba mwaka robo na nyinyi mwaka rudi.
Hahahahah
Bora mmegongwa mdomo umewaponza;ally kamwe
iefu no longer
ally kamwe ni Simba mtoeni ana isalito timu
kaka upo sahihi mnoo
Tulikosea tangia mwanzo
UBORA WA WACHEZAJI NDIO SABABU YA KITU MPENZI WA YANGA ALIAMINI TUTAFUZU TU,KUKWAMA NI KUWA NA MAJERUHI TU
Shabiki wa Yanga mwenye akili
KUNA SHIDA KUBWA INATAFUNA YANGA NA WASHABIKI WAO....WACHENI KUFURU BWANA MKISHINDA GEMU MBIL MNATAKA MULETEWE MALAIKA MCHEZE NAO.
Unatuboa hufai kuongea ushani rahisi au unafikiri kunasegere hata mpira hujui kacheze singeri tuachie yqnga yetu Aliy kamwe wetu
We mpumbavu sana baki huko kwa makolo chizi wewe hujui tunaumia kiasi gani
Unaandika kama chekechea😅
Kasema ukweli mtupu, sema wanayanga hawawez kupenda
Acha ujinga....viongozi na msemaji hana kosa...lazima mtu aongee ulitaka viongozi wacheze!!!
kweli kabisa na ukweli unauma kwa utoporooo
Ally k . Ni mtoto Hana akri
Watu lazime watafute mbuz wa kafaraa apaa alooh
Weee Jamaa unakitu utafika mbali
Mpumbavu wee shabiki maandaz Ali kamwe alionya mapema kuwa mechi ngum lkn huyo Hilo shabiki Shoga Tena kolo hilo
Pia mshukuru kufika mlipofika
Wanaolalamika wasenge nahawajui mpira kwanini mdingeingia uwanjani mbwa nyie
Calculator zimetoa syntax error 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wana mathe tu ndo wanajua syntax sasa ali kamwe alikua hajui kama kuna syntax error kwenye calculator
Jamaa yupo sahihi
Afukuzwe
Waarabu wanaungana kumtoa mtu mweusi sisi tumekaa kudidimizana kila siku tuache ushabiki wa kishamba tubebe timu zetu tukafanye Tanzania kwenda viwango vya juu vya soka Africa, utani ubaki kwenye ligi kuu
Utoto mwingi huyo Kamwe
Yanga ifanyiwe refreshi musonda Bok Kibabage Dube kocha lamovic hatuwataki wameshindwa kujipanga na mechi ya maamuzi hii
Kama hujui boli kausha na ww punga kabisa
Kila siku uishinde wewe wkt mwingine kushindwa ni kawaida acha lawama.
Mechi iyi ata weye ujafurahi usidanganyi
Nendeni na msili