HALI MBAYA: Msafara wa WAZIRI BASHUNGWA Wakwama TUNDUMA Atembea kwa MIGUU Kisa FOLENI ya MALORI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kijana Bashungwa anapiga kazi. Hongera sana. Msaidie Mama tutoboe kimaendeleo

  • @sanifayassini7525
    @sanifayassini7525 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana mh silinde kwa kuwasilisha kero za Wananchi

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana Kwa kukwama tena ukae siku kumi majbazi ninyi

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KAZI IPO. bashingwa umeona kazia tunayo ipata

  • @deogratiasrwechungura3451
    @deogratiasrwechungura3451 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli anaposhuhudia hali halisi atapiga kazi kweli

  • @djt.h.k7079
    @djt.h.k7079 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hoooo

  • @wazirewazire7092
    @wazirewazire7092 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ifanywe juhudi ya Kumaliza Haraka barabara ya Matai-Kasesya Boda ya Kasesya Ndiyo Mbadala wa Foreni ya Tunduma

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nini msiweke minzani hata mitatu kila upande. Mchelewesha watu na kuzorotesha biashara kwa mzani mmoja. Bora umeyaona mwenyewe.

  • @songolomgallah4017
    @songolomgallah4017 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunduma ujenzi wa Barabara nne ilikuwa zi jengwe miaka kumi ya nyuma

  • @DeborahNsamba-p9f
    @DeborahNsamba-p9f 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bora wakwamage ILI waonage

  • @anwarKhan-gn6yt
    @anwarKhan-gn6yt 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bandari ya kasanga ni muhimu Sana ili kutatua foleni hii ya mji wa tunduma