Pole Sana baba,yaonekana Huyo mama alilewa sana na akafanyiwa unyama Kama huo,Huyo shogaake(wifi) sio mtu mzuri ,tupate funzo jamani wanawake kunywa pombe kuacha mumeo nyumbani hii si kitu kizuri,Yani mwanamke umeolewa na unatoka kwenda kulewa.jamani mama awe pole amekufa kifo cha aibu .
yani nijambo lakushangaza mke wako kuchukuli chukuliwa tu eti yupo na rafiki yake daaah anunuliwe pombe ashikwe shikwe na bado ww kidume unaenda kwako kulala mke anakunywa duuh
Mmmmmmh kweli siamin km mume anaweza mruhusu mkewe kubak bar na marafki usiku na usifatilie kalala WAP na kwann asirud nae nyumbani, Jamn kuwen na upendo wa wivu kwa wenza wenu
Siku ya wapumbavu kupindukia! Umpendaye huthubutu kumuwekea siku maalum. Tena rangi nyekundu haija wahi kuwa rangi ya upendo bali ni shari! Badilikeni, msibururwe na "wamagharibi mkasahau dini zenu!"
dunia haija haribika bali watu ndo wame haribika na. hsa bongo wameziidiiii mbna Zanzibar huckii kesikesi za kijinga. mwenyezi mungu atamrehemu amfnyie wepesi ndani ya nyumba yke mpya😭😭😭😭😭😭😭😭
sio tatizo lake jaman msimlaumu ujue km huna hofu na mwenza wako unaweza ukasema kua labda yupo sehem nzur na mbaya zaid huyu mwanaume anasema kua huyo wifi ni alimuamin ndo mana yake
mmmmmmmmhhhhhhh😯😯😯😦😦😦😦 Nina wasiwasi nahuyo baba mkeoo kweli mkeo!!!!!!!! Tenaunasema uliliaa kidogooo kweli ulikua una penda mkeo????? kweli ww na una Lalaa nausingizi unapata!!!!!!! sibure umehusika kwa nanna moja au nyingene
Ramla K _drama fans absolute..... yaani mkeo ameenda kunywa pombe wewe pia waenda kunywa pombe mbona ulipokua ukienda nyumbani hukumsaka mkarudi nyote na ulikua na fahamu zako waenda andaa chakula uoge ulale mkeo kilabuni mmmmmmmh sibure Luna kitu iliendelea hapo
Ni sheeedah haya mambo ya wifi wa ukabila huu mara nyumba ndogo ya mumeo ww tena wifi wifi na kuhisi kubaya ila yote kwa yote mungu ndiye muweza wa kila jambo
Pole Sana baba,yaonekana Huyo mama alilewa sana na akafanyiwa unyama Kama huo,Huyo shogaake(wifi) sio mtu mzuri ,tupate funzo jamani wanawake kunywa pombe kuacha mumeo nyumbani hii si kitu kizuri,Yani mwanamke umeolewa na unatoka kwenda kulewa.jamani mama awe pole amekufa kifo cha aibu .
Sbhana llah Inna llah wanna illah rajiun polen sana
Subhannallah, mtihani
inatia huruma jmn kwnn watu wanyam hv..... mwnyez Mungu turehemu
Dunia ya leo siyo yakumwamini mtu
polen wanafamilia kwa msiba uliowakuta dah!! aiseee inackitisha sana hay mipango ya mung haina makosa
jamani wanaume tujifunze kuwa na vivu kwa wake zetu hili ni tatizo la kukosa ulinzi kwa wake zetu.
kweli kaka
kweli kaka
kweli kaka
Tatizo sana kaka,juu baba angekua na wivu mzito mbona amuachie kwenda kulewa sasa hii ni shida sana
yani nijambo lakushangaza mke wako kuchukuli chukuliwa tu eti yupo na rafiki yake daaah
anunuliwe pombe ashikwe shikwe na bado ww kidume unaenda kwako kulala mke anakunywa duuh
Mmmmmmh kweli siamin km mume anaweza mruhusu mkewe kubak bar na marafki usiku na usifatilie kalala WAP na kwann asirud nae nyumbani, Jamn kuwen na upendo wa wivu kwa wenza wenu
msimlaumu mume wanawake siku izi wameota mapembe ukute huyo mume ndani alikua hana sauti ndio tatizo unaishi namtu unamuogopa baada akuogope
Siku ya wapumbavu kupindukia! Umpendaye huthubutu kumuwekea siku maalum. Tena rangi nyekundu haija wahi kuwa rangi ya upendo bali ni shari! Badilikeni, msibururwe na "wamagharibi mkasahau dini zenu!"
noma sana
dunia haija haribika bali watu ndo wame haribika na. hsa bongo wameziidiiii mbna Zanzibar huckii kesikesi za kijinga. mwenyezi mungu atamrehemu amfnyie wepesi ndani ya nyumba yke mpya😭😭😭😭😭😭😭😭
Asaivii ni dunia mzimaa watu wa ivyo wapo
mungu amlaze mahali pema
Hajitambui huyo mzee, na hilo linatokana na wanawake wanaotaka kuwa tawala waume zao
Uko sawa kbs
hatari sana t
mungu amuweke mahali pema peponi
Monica John15 mwanaume bwege huyoo
duu.noma san
sio tatizo lake jaman msimlaumu ujue km huna hofu na mwenza wako unaweza ukasema kua labda yupo sehem nzur na mbaya zaid huyu mwanaume anasema kua huyo wifi ni alimuamin ndo mana yake
Mwanaume mwenye msimamo hawezi lala Bila kujua mkewe yuko wap"Au ulipewaga libwana asikufatilie? Si bure
acha tu!
mwanaume careless kwa mkewe huyo ,,hiyo tatizo kasababisha yeye
kwanzainakuaje-mkeo-akae-na-mtu-bar-wewe-mume-upo-una-wivu-wanaume-mbadilike-jaman-mjifunze-kwa-wenzenu-
mmhh mambo yakwenda bar hayo
wote ni walevi utaachaje mkeo alale usikokujua na wewe uko hapo hapo.tena jirani.
uzalilishajii huo wa kijinsia
mmmmmmmmhhhhhhh😯😯😯😦😦😦😦 Nina wasiwasi nahuyo baba mkeoo kweli mkeo!!!!!!!! Tenaunasema uliliaa kidogooo kweli ulikua una penda mkeo????? kweli ww na una Lalaa nausingizi unapata!!!!!!! sibure umehusika kwa nanna moja au nyingene
Inaelekea hayo ndiyo maisha yao yakutokufuatiliana
Ramla K _drama fans absolute.....
yaani mkeo ameenda kunywa pombe wewe pia waenda kunywa pombe mbona ulipokua ukienda nyumbani hukumsaka mkarudi nyote na ulikua na fahamu zako waenda andaa chakula uoge ulale mkeo kilabuni mmmmmmmh sibure Luna kitu iliendelea hapo
Ni sheeedah haya mambo ya wifi wa ukabila huu mara nyumba ndogo ya mumeo ww tena wifi wifi na kuhisi kubaya ila yote kwa yote mungu ndiye muweza wa kila jambo
sasa wanaishije hao jaman
Duh,yani wamuacha mkeo walala hata hutafuti kwenye simu kujua amelala wapi?
Tumaini Thonya nashangaa
mmh
u binadam kazi huyo dada afungwe
Huyu jamaa ni fala kweli na hayo ndo madhara ya kuoana wote walevi wewe usingizi unashukaje mke hayupo Stupid Dady
mh usambaaa kwani hamjaona kabila jenginee kutolea mfano
mume bwege huyo
lakini inasikitisha jamani
muuu unamuua binadamu mwenzio unapata faida gani jua yeyekatangulia na wewe utafatia
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga/ulale salama mama kwenye nyumba ya milele
salma na ww msambaa nn mbona mapov yanakutokaaa