Ahsante sana Redempta Koimbori na wengine wote kwa kuangazia na kuzungumza kwa niaba ya vijana wengi. Kwa uhakika wakati umefika wa mawazo yao kuingizwa na kuzingatiwa katika ujenzi wa taifa hili letu tukufu la Kenya.
Hongereni sana wanetu Kwa kutambua haki yenu na kuto Gawanyuwa na viama na ukabila sisi kama wazazi wenu Tulikuwa tukiumia mnapo pigana na nyinyi ni wakenya wote inapendeza Sana kuwa Mjitambuwa
Ruto hapa uko on cross road. Any time your friend they can switch side. That how current Zimbabwe president come in power. Ruto just agree to loose and cancel hio bill. Kesho ni fire
Waoh cant get enough of the gen z. The energy and their perception on national matters is what has lacked in this nation
Kabisa ✊🇰🇪 reject finance bill
Makofi kwa Genz ✊ ruto must go reject finance bill 👏👏👏👏👏👏👏👏👏msilegeze. Kamaba
Ahsante sana Redempta Koimbori na wengine wote kwa kuangazia na kuzungumza kwa niaba ya vijana wengi. Kwa uhakika wakati umefika wa mawazo yao kuingizwa na kuzingatiwa katika ujenzi wa taifa hili letu tukufu la Kenya.
Hongereni sana wanetu Kwa kutambua haki yenu na kuto
Gawanyuwa na viama na ukabila sisi kama wazazi wenu
Tulikuwa tukiumia mnapo pigana na nyinyi ni wakenya wote inapendeza Sana kuwa
Mjitambuwa
Munatupiga risasi na tiagas tuta wapiga na bibili izo risasi zita wapiga
Nikijua na loose kazi juu ya Ruto nasema ruto must go
mwaga maji waaaaaa!!!
Well said Gen Z
si chenye tunataka kusikia finance bill imekuwa rejected full stop
WE NEED A O TOLERANCE ON CORRUPTION. KILA.MTU ARUDISHE PESA NA MASHAMBA, NA NYUMBA YA SERIKALI.
Ruto must go reject finance bill ✊✊🇰🇪
NO NEGOTIATIONS - HAKUNA KUBANDUKA🔥🔥-REJECT FINANCE BILL 2024
send all of them home 2027 or earlier
Time for empty promises is long gone !!!. Viva Gen Zs 💪💪💪💪
LET AYIB ABDILKADIR BE PRESENT
Round hii church hampati sadaka
😅😅😅
These young people are very organized
Ruto, all he has done in Kenya, is looting. Since YK92.
Ruto must go
Ruto atoke hatumtaki tena.
This is ower canry atuuew wote we mast stop them
19:14 😂🤣😆🤣
Ruto atuuze badala ya haya mates0
Ruto ata ogelesha watu wangapi maongezi yake😏
Ruto don't lie
Wiki hii hakuna trip ya ulaya Ruto anatakikana aende?
Anajua akitoka tu hivi, serikali yake umeenda hivo
😂😂😂😂
Anaenda kanisa kufanya nini mwizi
Azimio walifanywa hivo hivo wakadanganywa mambo yakaenda kama yalivo pangwa finance bill ikapitishwa
Hawa sio azimio. Na tena hawana party.
Ruto hapa uko on cross road.
Any time your friend they can switch side.
That how current Zimbabwe president come in power.
Ruto just agree to loose and cancel hio bill.
Kesho ni fire