Acha kutetea ujinga kwani umeambiwa mafuta wamebebwa kwenya makopo Kwa iyo wote ao wameokota makopo yalio na sumu au umesikia wote wanaonumwa ni family Moja apo lipo tatizo kwenye ayo mafuta kaa utafakari usichukulie poa
@@AminaLibisa ni kweli MAFUTA siku hizi ni changamoto lakini pia MATUMIZI ya MAKOPO ni tatizo pia MAKOPO used ni uchafu watu wanabebea MAFUTA kujua shida ipo kwenye MAKOPO au kampuni ni vigum
Shida mafuta mengi yanaingia mengi Sana bila kukaguliwa na shilika la viwango shehena za mafuta hushushwa alfajiri maeneo ya double cabin Tandika sokoni hushushwa kama wanashusha gongo au milaa au bangi mimi huwa nashangaa Sana itakuwa Yale mafuta hayajakaguliwa wapemba watatumaliza kwa style hii Mbweni muwe makini Sana huko ndo yanako tokea.
Selikar,,,,achenii ujinga watu waiviii hukum yao inapaswa kifo2 maana wanaangamiza watu wasio na hatia kwann mnaruhusu magaidii kuishiii hata hao wa pombe,,,kali za 2000,,,wauliwe,,,,achenii ujinga tutachoka sasa,,,ndugu zetu maskinii wanakufa
@@JOSEPHKAJORO unaakili nyingi sana Joseph Kila sehemu MAFUTA wanabebea kwenye mikopo ya KUOKOTA mikopo inamatumizi mengi huu ujinga wawatu kuweka MAFUTA KWENYE mikopo napata tabu sana nikienda sehemu njaa iniume wajinga wanaotumia hiyo mikopo
Hizi nchi za Africa zinatabu kisha zina viongoz wa ajabu hasa dah!Yani mpaka watu wadhurike ndo wanajidai kufanya vipimo asa walikua wapi wkt bidhaa inaingi nchini.
Tajeni jinala mafuta watu wajue mafutagani na kampuni gani tujue jamani hilojanga. Pengine yameenea tz haya mafuta. TBS. MPOWAPI MNAFANYA KAZI GANIwatu wanatakakufa kwa mafuta au hamjayapima. Tz viongozi. Wengi wao hawapomakini na laiya
Yaani kuna vitu sisi watanzania tutakuwa tumerogwa na aliyeturoga kafa na kaburi lake hatulijui. Yaani huyo mangi mnashindwa kuongozana naye mpaka hapo aliponunua hayo mafita na kumuanika huyo mpemba aliyemuuzia?Mboni wakifanya tukio wasukuma tutawajua vile tv zitakavyowasakama tutajua mpaka kuku zao rangi zake hawa wapemba matajiri tunawalinda?
Na Kuna watu wanakusanya Kodi ila kusimamia afya za wananchi aaaaah! TBS hili lenu😢 Mungu atusimamie sisi masikini na watoto zetu 🙏🙏
Wazalishaji wa hayo mafuta wanapaswa kuchukuliwa hatua pamoja na kulipa fidia wote walioathirika
Sasa kwa nini wanakua wazito kutaja ni kampuni gani au mnataka watu wafe 😢😢😢
Sio tatizo la kampuni Gani MAKOPO wanayobebea wanaokota wapi
Acha kutetea ujinga kwani umeambiwa mafuta wamebebwa kwenya makopo Kwa iyo wote ao wameokota makopo yalio na sumu au umesikia wote wanaonumwa ni family Moja apo lipo tatizo kwenye ayo mafuta kaa utafakari usichukulie poa
Kuma la mama yko @@nabii-zc1hm
@@AminaLibisa ni kweli MAFUTA siku hizi ni changamoto lakini pia MATUMIZI ya MAKOPO ni tatizo pia MAKOPO used ni uchafu watu wanabebea MAFUTA kujua shida ipo kwenye MAKOPO au kampuni ni vigum
Kumbe TBS sio wa kuwaamini
Tusiangalie madhara ya kuonekana je walio asilika wanaweza wakawa na madhara ya ndani kwa ndani
Mmmmh alale mahara pema peponi mhesh JPM
Shida mafuta mengi yanaingia mengi Sana bila kukaguliwa na shilika la viwango shehena za mafuta hushushwa alfajiri maeneo ya double cabin Tandika sokoni hushushwa kama wanashusha gongo au milaa au bangi mimi huwa nashangaa Sana itakuwa Yale mafuta hayajakaguliwa wapemba watatumaliza kwa style hii Mbweni muwe makini Sana huko ndo yanako tokea.
😢😢😢Mungu wangu! Wahusika wafunge mikanda wawe wana chunguza bidha wanazo zitengeneza acha niendelee kula mawese
Selikar,,,,achenii ujinga watu waiviii hukum yao inapaswa kifo2 maana wanaangamiza watu wasio na hatia kwann mnaruhusu magaidii kuishiii hata hao wa pombe,,,kali za 2000,,,wauliwe,,,,achenii ujinga tutachoka sasa,,,ndugu zetu maskinii wanakufa
Mpakalini hayomajibu anzeni kuyapiga marufuku hayo mafuta kwanza wasiendelee kuyauxa
سبحان الخالق
wanywee maziwaaa
Duuh mjini kuna vya hatari nyingi sana Mungu tuepushie
Poleni snaa
Hakuna TBS Tanzania Kuna vikundi vya kujipatia lizki kwa njia Haram hata huyo rais hapo alipo anashangilia kwa iinacho endelea
Mama etu Samia makapuni bubu yatatuua tbs Kwan hawagagui jaman mbona hali mbaya
Chombo/vyombo vinavyotumika kununulia mafuta hayo ndiyo tatizo.previously hivyo vyombo vilitumika kuwekea sumu.
Mafuta ayo sio vyombo
@@JOSEPHKAJORO unaakili nyingi sana Joseph Kila sehemu MAFUTA wanabebea kwenye mikopo ya KUOKOTA mikopo inamatumizi mengi huu ujinga wawatu kuweka MAFUTA KWENYE mikopo napata tabu sana nikienda sehemu njaa iniume wajinga wanaotumia hiyo mikopo
Kuna watu wanatakiwa wapigwe risasi kabisaa 😢😢😢😢😢😢
Hizi nchi za Africa zinatabu kisha zina viongoz wa ajabu hasa dah!Yani mpaka watu wadhurike ndo wanajidai kufanya vipimo asa walikua wapi wkt bidhaa inaingi nchini.
TBS MPO WAPI
Jamani kama mambo nihaya ttaisha
Viongozi wa serikali hakikisheni mnapima Kila toleo la mafuta kwa makini.
Ata wazir wa Afya asemi kituu
Wapo bz na sherehe wananchi wanaangamia
ACHENI MATUMIZI YA MAFUTA KWENYE MAKOPO YA KUOKOTA MIMI NIKIKUTA MGAHAWA MAFUTA WAMEWEKA KWENYE MAKOPO SILI
Tanzania hakuna mamlaka ya viwango TBS, ni rushwa tu imetamalaki shenz.
Sasa ndo mtajuwa luhaga mpina ni mwamba .akikomaa na uagizaji wa bizaa za vyakula ujue Kuna kitu kaona.
Tajeni jinala mafuta watu wajue mafutagani na kampuni gani tujue jamani hilojanga. Pengine yameenea tz haya mafuta. TBS. MPOWAPI MNAFANYA KAZI GANIwatu wanatakakufa kwa mafuta au hamjayapima. Tz viongozi. Wengi wao hawapomakini na laiya
Mafuta ni alizeti ingredients zake zajulikana
Kama yanatoka kiwandani wangepata watu wengi ilo tatizo
Mtihani mkubwa saana jamani
Yaani kuna vitu sisi watanzania tutakuwa tumerogwa na aliyeturoga kafa na kaburi lake hatulijui.
Yaani huyo mangi mnashindwa kuongozana naye mpaka hapo aliponunua hayo mafita na kumuanika huyo mpemba aliyemuuzia?Mboni wakifanya tukio wasukuma tutawajua vile tv zitakavyowasakama tutajua mpaka kuku zao rangi zake hawa wapemba matajiri tunawalinda?
Naomba muuzaji hayo mafuta aseme ni kampuni gani hiyo?
Mafuta mbona kama kampuni husika inafichwa haisemwi hapo ndipo haki inapoanza kufichwa
Wanaoishi vijijini wapo salama zaidi
Hiyo ni mafuta ya tranformed ya sitima
Huo niyzembe wa serekali kwa kupewa hongo
Nimafuta Gani jamani????
Luhaga mpina ukiona kabisa.
Itakuwa yamechakachuliwa
Ao wachina wachina wanaharibu sana bara la Africa kwa vitu feki
Bora watu watumie mafuta ya kondoo au ya g,ombe dio salama
😁😁😁😁😁
Kweli kabisa
TBS
Tbs mtakuja kutuua bure
HIZI CHANELI ZINATUMIA WAANDISHI VILAZA SANA .
ETI MAFUTA YA KULA.
NYINYI HUA MNAKULA MAFUTA?
PUMBAVU SANA.
Kwanini ayo mafuta yasitajwe jina la kampun
Basi mafuta ya kupaka
Wapo bz na sherehe wananchi wanaangamia