Baraka Ya Sadaka | The Big Church Service | Pastor Tony Osborn

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Kuna baraka, likujalo no moyo wa kutoa sadaka. Hii baraka ipo wazi kwa watu wote wanaotambuliwa kuwa wakristo waliookolewa na Yesu. Sikiliza hii neni na wewe upate kujua namna ya kuishi ndani ya hio baraka.
    Link to full video:
    th-cam.com/users/li...
    Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
    Facebook:
    / pastortonykapola
    Instagram:
    / pastortonyosborn
    Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
    Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)

ความคิดเห็น • 43

  • @rehemasimsamba1788
    @rehemasimsamba1788 หลายเดือนก่อน

    Hakika unanibariki sana tena unavochanganya luga ndio nahis so powerful.Your a realman of God

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +3

    Fedha yngu itaongezeka mwezi huu, mwaka huu kwa jina la yesu, Napokea Napokea dhahabu yangu itaongezeka mwaka huu kwa jina la yesu ameeeeeeeennnnnn 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💯💯💯

  • @jansonjosefh7575
    @jansonjosefh7575 7 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe mtumishi

  • @gladysmnyaka9874
    @gladysmnyaka9874 5 หลายเดือนก่อน +3

    Thumbs up kwa kaka mwenye husoma Neno. Full of anointing

  • @leonardmurungu3481
    @leonardmurungu3481 5 หลายเดือนก่อน +3

    Leo Bwana sema na mimi leo kupitia mtumishi wako

  • @Damaris-fd1gc
    @Damaris-fd1gc หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤❤❤

  • @Damaris-fd1gc
    @Damaris-fd1gc หลายเดือนก่อน

    Pastor ❤❤❤ thnx you

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +4

    Naweza kuona jinsi ninavyofanikiwa mwaka huu 2024,kwa jina la yesu kristo amen and Amen

  • @surehamlela8538
    @surehamlela8538 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mch punguza sleng kidogo au awepo mtafsili c'z siowote wamesoma

  • @eliasiravuga7539
    @eliasiravuga7539 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu pastor TK.... Mungu ni kutowa na kujitowa

  • @Damaris-fd1gc
    @Damaris-fd1gc หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤

  • @HellenCollection
    @HellenCollection 5 หลายเดือนก่อน +3

    Am hereeeeee 🔥🔥🔥MUNGU unikumbuke

  • @IshimweDickson1
    @IshimweDickson1 5 หลายเดือนก่อน +1

    fedha yang ikaongezeke kwa Jina la Yesu❤

  • @DayanaSospeter-sy8wl
    @DayanaSospeter-sy8wl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amn❤❤

  • @teacher_dory
    @teacher_dory 5 หลายเดือนก่อน

    Nimepona hapa kwenye Baba , Mungu anisaidie nimtunze Baba yangu

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @isabelavictor9964
    @isabelavictor9964 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu kaonekane katika maombi yangu Amen 🙏

  • @gladysmnyaka9874
    @gladysmnyaka9874 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN niwabadilishie wazazi wangu maisha❤

  • @DayanaSospeter-sy8wl
    @DayanaSospeter-sy8wl 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉

  • @shukuruosward7640
    @shukuruosward7640 5 หลายเดือนก่อน +1

    omba ufanikiwe hapa na ufalme wa mbinguni

  • @neemawelus3846
    @neemawelus3846 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen ubarikiwe mtumishi hakika huu mwaka ninamuona bwana

  • @MAUZO_MEDIA
    @MAUZO_MEDIA 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu kipato changu kiongezeke mwaka Huu🙏🙏🙏

  • @leonardmurungu3481
    @leonardmurungu3481 5 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimewah new package. ......

  • @work24onme
    @work24onme 5 หลายเดือนก่อน

    Holy Spirit of God, Amen 🙏🏼 . Asante sana Pastor Tony na Team nzima. God Bless you, Amen 🙏🏼

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeennnnnn

  • @subirachris7967
    @subirachris7967 5 หลายเดือนก่อน

    Pesa yangu ikaongezeke this year kwa damu ya yesu

  • @JohnSiame-qf8jq
    @JohnSiame-qf8jq 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @isabelavictor9964
    @isabelavictor9964 5 หลายเดือนก่อน

    Fedha ikaongezeke mwaka huu Amen 🙏

  • @user-qg2gd5hq1v
    @user-qg2gd5hq1v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa

  • @user-tf5fz1sx2i
    @user-tf5fz1sx2i 5 หลายเดือนก่อน

    I honour my Lord ❤️❤️mpandisha thamani

  • @user-pj1qx4sg7i
    @user-pj1qx4sg7i 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukumbuke

  • @yusuphkayuni8188
    @yusuphkayuni8188 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa ❤

  • @user-cg9ef3iw4j
    @user-cg9ef3iw4j 4 หลายเดือนก่อน

    Wooow thanks so much pastor

  • @yvefoods3752
    @yvefoods3752 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @scolarelias9102
    @scolarelias9102 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anajua sana
    Sio Akina Masanja

    • @olivagerald6266
      @olivagerald6266 หลายเดือนก่อน

      Dear stop judging mtumishi yoyote if huamini muache tu ,asije kuwa wa Mungu ukajikuta umejiletea laana kwa kudharau kumbuka Daudi mke wake alivyomdharau coz ya kucheza mbele ya bwana nin kilitokea never talk negative abt mtumishi humuamini achana naye

  • @neemadaudisospeter8211
    @neemadaudisospeter8211 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa saaaana baba

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @user-do6ch1ti8b
    @user-do6ch1ti8b 5 หลายเดือนก่อน

    Fedha yangu itaongezeka mpk nafasi is wepo ya kutosha

  • @dollysanga5746
    @dollysanga5746 หลายเดือนก่อน

    Daniel ngapi wapendwa

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea kingereza sana ambao hawajasoma hawawez kukuelewa jtahid kuongea lugha yako ww siyo mzungu