Bebi.. hawa bloggers na bloggers wamekuamlia sana..wapange kabisa😂😂😂lakini wauze sera yako pia kama brand, job yako, present and future works zako kwa hizo interview platforms…sio kukula views Zako tu
@@paulinewanjiku8433 lazima tufanye kitu kwanza nimelike videos karibu zote Plus kuriport account na bado narudi uko Hadi time nitaona iyo account akuna hapo
Wow napenda hiyo jina ya gari mwenye inammbamba kama mm weka like
Huyu jama walai aliniboo sana,aty ex wa dem wa Facebook n picha n moja kw gallery yke,,wish ningekuwa police nimweke ndani,
Look at how our girl has grown❤❤❤so calm ,enyewe she has grown
Haha it's not grown she's taking notes for weekly show wait and see
@@janeoloo5086😂😂😂😂😂😂 kabisa
😂😂😂😂
Kwanza DWFB huwa anauza jina la Tumbili sana, hawezi maliza umbea bila kutaja Tumbili, hata nikafikiri ni clout chase😂😂😂😂
That man is desparetly in need of fanicial help from dem wa fb but he used a wrong way
Oiye bebii we love so much sisi tunakusupport until the end and that guy akiendelea ivo he need to be arrested period
Akidii afungwe ndani
Na tumbili ajue tu on Wednesday atakuwa kwa group ya umbea.😂😂😂😂
Iyo boy n very desperate kabisa wanaume kulilia dem mm hata ameniboo anastahili kuchukuliwa hatua
Tumbili uko kwa list ya umbea ya Monday 😂
𝑨𝒎 𝒕𝒆𝒍𝒍𝒊𝒏𝒈 𝒚𝒐𝒖 𝒎𝒂𝒊𝒏𝒂😂😂
Kwanza gari haifunguki kioo😂😂😂😂
😂😂😂@@christine_wanja
@@christine_wanja😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kabisa
Where is bebii wa bebii?
Hakuna kitu inanikasirisha kama kuona mtu anataja taja jina ya Bebi❤
Same here kwanza huyo nyang'au ananisinya sana akome Bebi wa Gold.
Me amenibore aki
@@evalynenzaluAnasinya sana
Nakwambia mimi huyo kama ningekua na uwezo huyo kijana ningemgonga mbaya sana@@clairekibalachi2817
@@CHRISTINEAwino-o8o Nasikia kaa ni mimi.
Team bebii tuko ndani ❤
That's bad huyo jama anafaa afudishwe Adabu
Huyo oria anatakikana achukuliwe hatua that's deformation
Aki amepea bebi stress😢😢😢
Sana hata ukimiangalia bebii anakaa ameboeka aky
Uyo jamaa ameniboo....angejua TU ....anafanya nakasirika hadi Niko naclick hapa vibaya sana ...akukome bebii.
Na mimi je,hdi nimesikia nitafute karao amshikw aki
Me amenikera
Mungu alinde bebi😢😢🙏
She's stressed
@@1ديفياديفيا she's is because of that idiot,
Bebi amekasirika aki😢. Wadau hizo channel za huyo mtu si tufanye ile kitu?
Kabisa sweetie 😂😂😂😂❤
By the way umeongea
Tuchangamkie account zake zote😢
yeah vile inafaa
Peana accounts tuzisalimie.... noone messes with bebii and goes scot-free
Tumbili Na bebi you such a vibe ❤❤❤
Simpige content na bebi ya vienyeji my thoughts 😂😂
😂😂❤
Huyo jamaa kama n mm nngemtusi ajabu vile na hasira acha tu
Flaqo Ni dem mrelevant sahi😂😂😂😂😂😂😂
Tumbili aki mnavibe❤❤bring more of this,team bebii we love you
Huyo jamaa anabooo sana ❤❤❤❤
Huuu mwaka waaah kuna mwingine huko ametoka Bulundi amakuja na pesa begi 2 kamsikieni huko😂
😂😂😂😂 tumbili unajua bebi ako na nyundo kwa bag unaita gari ya bebi kagari 😂😂😂
The way I love bebii, uyo jamaa nikimpa, umasikini ndio inamsumbua
Team bebii tuko ndani❤❤❤❤❤
My stomach is beating this girl also😂😂😂
Mutiye adabu mama ndo wakuogope wame zidi sana bebi twakupenda sana usijali yataisha tu
Bebi kweli huyo jamaa lazima afungwe sasa.
Uyo JAMA amenibooo sana
Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏
Start
Aki nimekasika sana ati mtu ninataja jina ya bebii ❤❤
Umbea loading😂😂😂
Tafuta ombea kwa hiyo ngari 2mbili 😂😂😂😂😂
Siwezi amini 2mbili akidrive bebi😂😂
😂😂 na hakuna kitu utafanya! Its not the first time we driving together! ❤
Huyo Jamaal ni bro yangu please ❤
Mchukulie hatua aache kukuharibia jina
Bebi.. hawa bloggers na bloggers wamekuamlia sana..wapange kabisa😂😂😂lakini wauze sera yako pia kama brand, job yako, present and future works zako kwa hizo interview platforms…sio kukula views Zako tu
Unxuri obinna anaelewa wacha wabweke bweke lkn mwishowe watakucha na miguu milemavu wkiomba msamaha wamelipwa ili wakwalipie lkn mungu ninani atakupigania
😂😂cant wait chai ya tumbili
So amazing
Bebii tunakupeda sana mtu asikucheze
Let no any being in the name of human being make bebi wa Obinna sad
Kumbafu
😂😂😂😂😂😂aky dem wa face na Tumbili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 2mbili heshimu gari ya Dem wa FB eti kakioshwa fanya adabu bro
Umbea collecting bebii nakuaminia😂😂❤❤
Bebi tunakusubiri on Wednesday, i see the way unakagua gari ya 2mbili 😅😅😅😅
i thought ilienda.....
Woow nowadays dwfb amejua kutulia akifanyiwa interview
Here for DWFB
Maskini namuona bebiii hana raha kabisaa
Our girl is really stressed huyo mtu akomee hii ndoa
Ile kuchambwa utachambwa Wednesday 😂😂😂 .
𝑵𝒂𝒎𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂😂😂😂😂
Na kagari kake ka kupakwa mafuta badala ya kukunywa😂
😂😂😂
Huyu 2 mbili is on a bad mission, pia huyo jaky wake yuko in a bad mission,this is a very ungenuine friend...i wish bebii n Obi knws this
Watu WA bebi tupitiane guys
Done nipitie pia ❤
@@judymulewa9302 sijaona please do so juu mi nmesub,,, number haijaincrese
Uyo jama ni kama amechoka na account yake ya TikTok team bebii tufanye ile kitu haku mtu ameniboo kama uyo jama
Yes
@@paulinewanjiku8433 lazima tufanye kitu kwanza nimelike videos karibu zote Plus kuriport account na bado narudi uko Hadi time nitaona iyo account akuna hapo
@@paulinewanjiku8433kweli kabisa
@@paulinewanjiku8433done nipitie pia
Walai uyo kama ni kumbavu sana mbona anamua kuaribia bebii jina
Haki hadi bebii ako na stress
Bebii ambia huyo gaidi anasema ulikuwa girl friend yake akukome kabisa, awache ujinga ama tupite na account yake
Umbea loading
Dem wa FB akilia tena ju yako wewe
Obinna junior alikuwa anaonekana nyuma ya gari ya tumbili
Maua yenu🎉
Tupitiane guys
Done 21 ni mimi pitia kwangu pia🥰
Umufungishe ili akome
We trust you tumbili
❤❤❤
That guy should be sued for deformation nonsense otherwise you two are vibes
Hako kamtu kananisinya
Tuko pamoja guys🫶
❤❤❤❤❤❤
Tumbili wambie bebi wetu ajifuze kuwa karibu na watu
Uliona vile kwao wanampenda?
Ama unaongelea watu gani?
Na sisi team Babii tunampenda tuko karibu n yeye
@@Ednakoech-3041anataka akuwe karibu na watu gani sasa 😂😂😂kabisa tuna mpenda vile
🎉
🤣🤣🤣🤣una date men mature
Mbona unacheka😂😂😂
Done nipitie pia ❤
Huyu chali nimjinga eti anajita ex wa dem wa fb mpaka analia kwa camera
🥰🥰🥰
Tuko ndakas Leo
❤❤❤❤😂
😅😅😅😅😅
Mutiye adabu mama ndo wakuogope wame zidi sana bebi twakupenda sana usijali yataisha tu
Umbea loading......😂😂😂
❤❤❤
Team bebii tuko ndani❤❤