Leta pia wasee wanajaribu kuinua ball huku grassroot, they have very good stories to tell. Kama mimi naeza tell kiasi juu ya our community team inasakata Div 2 huku western. Inaitwa Rockstars FC
Bring B ambani Oliech Musa otieno Mulamas bros... All H stars to date Olunga.... plus former coaches Harambee Star s... local.. starting with ghost mulee Kimazi..Nandwa...
😂😂😂😂😂 Balaa alibeba Kanga to provi with an ankle injury, big up man, lakini pale alikua full back
Bala these are the people who should be in the offices I think FKF should have such people who knows football problems
Big up men
Eh! Balla anaelewa ball bana.
Technical director wa club huyu.
Huyu boys ako very sober..masomo ni poa Jos ❤
Its hard kukuwa player manze, God awape strength
Ati kupura ni talent😂😂
Leta pia wasee wanajaribu kuinua ball huku grassroot, they have very good stories to tell.
Kama mimi naeza tell kiasi juu ya our community team inasakata Div 2 huku western. Inaitwa Rockstars FC
My namesake anajua ball na nimfunny..😊
Papa my guy 🤜🏾💪🏽💪🏽💪🏽🫡
Huyu boys anajua game anajitambua
story ya Balaa ni educative and funny , I have enjoyed and he is telling the truth
Balaa alikuwa RB hatari pale Kanga High School, tulikutana KMTC games, warned my teammates no foul nje ya 18, wakamake mistake, boy alituokota
Mlete mmoja ya wale wacongo wali beba trophy na Sofapaka 2009, watu kama Pato Kagogo, ama Bob etc
Bring B ambani
Oliech
Musa otieno
Mulamas bros...
All H stars to date Olunga.... plus former coaches Harambee Star s... local.. starting with ghost mulee Kimazi..Nandwa...
Good show
tuletee blackberry odhiambo next buana
leteni Lela,former Gor, Mathare....etc
Lela mchochezi WA ghasia😂😂😂😂huyo atachoma studio😂😂😂
Balah Aka Firminho
Mnaeza Leta Sydney Lokale tafadhali
mlete hata madem wanacheza futa tuskie stori zao.
Kuna dem alikuja banaa alkua Tu kizungu Mingi story haina flow
@@KennethMusyoka-n5f aaaaaai mwingine