Sisi waislamu waleo hatuwezi kumpenda Mtume sawa na maswhaba na matabiina. Wao waliishi n'a Mtume walikuwa na namna yao na hali yao ya kumpenda, sisi hatukumuona ndio maana tuna namna yetu ya kumpenda. Mapenzi hutambulika kwa namna tafauti kutokana na wakati na mazingira. Tuache sisi na namna yetu ya kumpenda Mtume SAW
Mashaallah ❤
Maa sha Allah
Mambo mazuri sheikh wetu,Allah akuhifadhini nyoote.
Amin. Akuhifadhi na wewe pia n'a waislam wote.
Amiinaaa
Ameen yaraby
INALLILAH WAINAILAH RAJIUN.. kumbe mlienda kuuzuriya MAULIDI?? pôle pole Allah Atakudhalilisheni tuu
Wewe ndio utadhalilika
Kisha masutwa wa Burundi wanakuchafua bure sheikh wangu
Hivi, wewe na huyo sheikh wako mnampemda Mtume kuliko Mwashaba zake walivyokuwa wakimpenda ?
Sisi waislamu waleo hatuwezi kumpenda Mtume sawa na maswhaba na matabiina. Wao waliishi n'a Mtume walikuwa na namna yao na hali yao ya kumpenda, sisi hatukumuona ndio maana tuna namna yetu ya kumpenda.
Mapenzi hutambulika kwa namna tafauti kutokana na wakati na mazingira. Tuache sisi na namna yetu ya kumpenda Mtume SAW
Wewe unafunga maulid ndio utadhalilika hapa duniani na akhera
Bila mtume ungejua dini wewe
INALLILAH WAINAILAH RAJIUN.. kumbe mlienda kuuzuriya MAULIDI?? pôle pole Allah Atakudhalilisheni tuu