Well done Ndolo you were the right person for the mission SD unaweza chokoza weeee ukiwa boy boy ilikua mnoma sana Servant of God happy for you be blessed the officer good job lakini nikama ilikua unaogopa uchawi team yote God bless you .SD your healing s are pushing many away be honest .
Pastor Joshua may God bless you 🙏 abundantly you did a good work bt Dave and Dante pls wacheni kuwa na mdomo sana mlikosea ndollo sana hadi akalia so painful 😭 Kuna siku huitaitaji msaada tena wa ndollo
Kama sio ndolo kucome na suggestion ya kuficha ka mzae haingekua rahisi😢 Ndolo I like your thinking capacity...💪💪 Dave you should be listenful and wise at the same time..
Wewe senior Dave mimi ni fan wako,but jana haukufanyia ndollo poa, ndollo alifanya Kazi nzuri sana ,lakini Wewe Dave unataka ndolo aonekane Kuwa mubaya ,kama hawangekuwa pastor Joshua na ndolo na ofisa nyinyi hamngepata mamake fred,watu wengi waliona ,so unapoongea chunga mdomo ,wewe na dante
Mi side yangu pastor na ndollo hawangenda sai wangenda ka kina Fred washatoka kwa hio place kabisa hadi na kubomoa hio nyumba but hivi wanaenda kumiza kina Fred tena na uwachi ili wasinomoe hio nyumba ju inaona wamepangia ati hio nyumba itakua jikoni ya okulo😢😢😢😢
One thing hv learned from this episodes ni never in life dharau MTU cz you never know who will help you tomorrow...hii story ya ndolo, Fred, and Dave ingekuwa chuki especially Dave I don't know what could be today... learn to live with people and forgiveness Dave Dave ana ROHO ya upendo kama ROHO mtakatifu
Pastor na Ndollo wasitoke hapo hapo hadi fred wahame tafuteni gari kama lorry iwahamishe waenda Nairobi rental houses hata kama niza mabati wauze shamba ya ushago wanunue kwengine wajenge ndio watoke kwenye rental watakuwa safe than bado kukaa na hao wachawi pls😢😢😢😢
What u don't know about utube is that the headings are supposed to be written something that makes a viewer wants to know more(curiosity)second hii ni Vida ya juzi which means washarudi nairobi ndolo na pastor,if u are in this street of utube u can understand how to make ua viewers be eager to know what happend just by the title,inshort its done to get the4k hour watch that way utube will recommend ua video faster❤I hope I'm not wrong to say this❤
Walisema watachoma hiyo nyumba haki hii familia iende irentishiwe nyumba mbali sana wahame hapo tu ni fred atarudi kuuza shamba wasibaki hapo pls tusisikie tena visanga pls
Huyu Senior vile aliongereza Dollo si vizuri,ati kila wakati Dollo anataka kumukosaniza na funs wake,how can you tell Dollo like that na vile alisaidia kupatikana kwa mama Fred,Senior sometimes unakuanga na utoto😢
Good idea Mr. Ndollo for one on one..Great team God will reward you abuntantly.
Aki mungu niwamaajabu nani angia jua ndollo atakua mtu mzuri ivii ndollo God 🙏 bless you and your family
Congratulations Ndollo 😅😅😅. I'm happy for you . God protect Mama Freddy 🙏🙏🙏
Mama fred I wish apate mtu wa kumuhost Nairobi kidogo
Hawa watakuja kuomba Fred msamaha,mark my words
Very true
Exactly 💯
Soon like junior of true k ,waganga sio mungu
Very correct 💯
I totally agree 💯
Well done Ndolo you were the right person for the mission SD unaweza chokoza weeee ukiwa boy boy ilikua mnoma sana Servant of God happy for you be blessed the officer good job lakini nikama ilikua unaogopa uchawi team yote God bless you .SD your healing s are pushing many away be honest .
This team is winning team,,congratulations for your unit, musiwai ruhusu shetani awatenganishe aki 🎉🎉🎉
Pastor Joshua may God bless you 🙏 abundantly you did a good work bt Dave and Dante pls wacheni kuwa na mdomo sana mlikosea ndollo sana hadi akalia so painful 😭 Kuna siku huitaitaji msaada tena wa ndollo
Apostle had confidence in Ndolo that is why he came with him
Ndollo musiache dci Fred home, make sure wamw move to their new home. Pls pls.
Waganga wanaona apostle wanatoka mbiooo,apostle❤❤❤
This Team ni super Jeshi on ground thanks to you Ndollo Pastor's team Senior Dave DCI Freddy continue be Brave Man
Kama sio ndolo kucome na suggestion ya kuficha ka mzae haingekua rahisi😢 Ndolo I like your thinking capacity...💪💪 Dave you should be listenful and wise at the same time..
Ndolo amefanya kazi nzuri Sana,
I like the way apostle Joshua is doing survey polepole 😂😂
Be blessed mr Ndolo
Kazi nzuri kwa ndoro huyo ukishika nikama karatasi tu, umeumia mguu lakini umefanya kazi nzuri sana aki,,,
Ndolo good Job. Keep it up. Umesaidia sana.
Ndolo nakupenda sana na tactic yako
Pastor God is bless you more and all team and senior Dave team 🙏
Wewe senior Dave mimi ni fan wako,but jana haukufanyia ndollo poa, ndollo alifanya Kazi nzuri sana ,lakini Wewe Dave unataka ndolo aonekane Kuwa mubaya ,kama hawangekuwa pastor Joshua na ndolo na ofisa nyinyi hamngepata mamake fred,watu wengi waliona ,so unapoongea chunga mdomo ,wewe na dante
Ara Mimi iliniuma sana ete ndola alikuwa ameenda kujilipicha
Dave ata umwambie ako na kitu kama yaani anataka yeye asifiwe but dollo amefanya kazi mzuri sana and we thank him very much good job dollo mutiso
Huyu Dave anakuaga na kiburi yuataga aonekane yeye tu nikisikia vimbaya sana
Shida ya Dave bado umli ni mndogo sasa ako na ile dharau kidogo juu ya hawa wafanyi kazi wake wakubwa ki ulmi
Imagine mpaka ndollo akalia
Uku kwote dollo alikuja saa ngapi ...aki dollo good job 👍
Ndolo you did an excellent job
Kabisa
Dollo congrats 🎉. Hajui 2 nail vyenye inasema😂😂😂 kazi safi sana
Senior dave nunulia our pastor jacket plz
Anafaa Kununuliwa new suit🙏
Glory be to God halleluyah mama amepatikana
Good job guys mungu awalinde
Mi side yangu pastor na ndollo hawangenda sai wangenda ka kina Fred washatoka kwa hio place kabisa hadi na kubomoa hio nyumba but hivi wanaenda kumiza kina Fred tena na uwachi ili wasinomoe hio nyumba ju inaona wamepangia ati hio nyumba itakua jikoni ya okulo😢😢😢😢
Very true
Na si huyu kijana wa blue usiku alikuwa anasema hata kina Fred waache nyumba wasibomoe😂😂😂😂maana hiyo nyumba ndio wanataka sai washenzi kweli
Ukweli niliona hivyo Pia jee ndolo aliwapea baba Yao sikumuona usiku
Nkweli
Nilisema waachiliwe hizo nyumba hawataweza kujenga zingine.....hizo hizo tu za Freddy watalala@@FAHYMAALI-zd8sg
Dollo man of ideas ✌️
Glory be to God alafu Fred ahamishe mzae hapo Na msiache baba Yao
They want both house and land Fred should remove iron sheets and breaks😢
Bricks😊
@@AnnahYullu 🤣🤣🤣 thanks 👏 👏🙏🏾🧎♀️
Na doors
Good job wakuu
Dolo safi sana mko pamoja na jeshi la mbinguni msiogope
Ndolo we are proud of you 💪💪💪💪
Aki huyu mtoto anapenda maombi😅😅😅😅😅😅😅 kipa saa pastor omba😅😅😅😅weeee pastor(apostle) wetu asante kwa kazi njema.
One thing hv learned from this episodes ni never in life dharau MTU cz you never know who will help you tomorrow...hii story ya ndolo, Fred, and Dave ingekuwa chuki especially Dave I don't know what could be today... learn to live with people and forgiveness Dave Dave ana ROHO ya upendo kama ROHO mtakatifu
Mungu ni mkuu kama uyu ni Ndolo....the expert of...
This man Fred needs a good humble wife...may God grant you someone to help you build a home
Ndolo so good and brave guy,😅
Alihamdulilah mungu ni mkubwa mungu wawasaidiye msaidiyane hivyohivyo
Great job
Blessings 🙏🙏
Kazi nzuri kw ndolo
Dave don't use abusive language that show ethnicity..acha mambo ya profilling
Nataka number ya Ndollo,, nimpee kaxi😅😅😅😅
Nikupee yangu ama unaona aje utatuma kitu kidogo tu 🤣🤣ile tukwe marafiki mwema 🤣🤣
@@NagelleBoranamedia😅😅😅😅
@NagelleBoranamedia 🤣🤣🤣wewe sijaona energy yako
Kazi Gani? Uyo ananyonganga shingo kidogo😅😂😂😂😂😂
Nimekundua Kenya akuna watu wachawi kama wajaluo
Ndollo shld be a bodyguard champee awezani so dramatic
But Dave ni mjinga sana
Hii nyangumi ya black apana na fredy asibomoe nyumba awache wabimoe wenyewe
@@JoyceMburu-z7d Sana
Dave na Ndolo hukosana kwa dakika hawawezi 😊
@@JoyceMburu-z7dujinga imetokea wapi sasa
Pastor na Ndollo wasitoke hapo hapo hadi fred wahame tafuteni gari kama lorry iwahamishe waenda Nairobi rental houses hata kama niza mabati wauze shamba ya ushago wanunue kwengine wajenge ndio watoke kwenye rental watakuwa safe than bado kukaa na hao wachawi pls😢😢😢😢
Unachokiongea kweli ubarikiwe
Congratulations pastor kuna ujinga ingine aitaki maombi...vita ya mkono
Aki senior Dave😢😅
Ndolo njo dawa yao, nakupenda bure
Ndollo pastor tafadhali musi wache dci Frederick io kazi yote mli fanya itakua bure na asara please
Ndolo God bless u
Ndolo good job
Nimependezwa na dollo sana kumbe ni shetani ndio ilikua inasumbua tu dollo but ni mtu mzuri sana
The older bro is well controlled, he is a future pastor
DAVE AMBIA OFFICER AMUEKE NDANI HUYO KIJANA
Dave anatabia ya lisenge sana mm mwenyewe aliniboa sana dollo anataka kuwahangaisha kama walivyowahangaisha kına fred
Watching in saudia dollo finya makegeri ya kii
Naomba uhu kijana kwanza apple kweli police afugwe miezi sita kwanza ambadilike
Enyewe ndolo you made us happy
Dave apostle anunuliwe jacket yake mpya
One one one I like it
Congratulations to pastor and Ndolo
Huyu kijana mrefu ataishi maisha mazuri ako na roho chafu sana!,shamba si yao ni ya babu
At least the guy in yellow t- shirt God is good all the time 🙏🏾🙌👏
He's very sober
Saa hii Dio baba yangu kube inauma na mama ya mwedyenu munamficha siku zote hizo
Congratulations Ndolo
Enyewe Ndolo ako na plans
Ndollo is a Vibe,Kimoda
Ndollo is a deal maker . After all this I now like ndollo 😊
Aki hangekuja hawangetoboa...
@@joycechebet7557 ukweli😂
Nilikuwa nime unsubscribe Kwa ndolo but now nimerudi kwake kama umeme
Ndoloo bravo 🎉
Fred toa kila kitu mpaka nyumba, usiwaachie anything wachawi, mtakufa vibaya sana
Personally I have never trusted hizi headlines za Senior they talk opposite na things kwa ground.
Sem to me kwaza Dante ata kuongea unaeza fikiria mambo ni mabaya zaidi
Sasa inasema,aje hio headline haieleweki
Like last live he was blaming ndolo and now I think it's clout chasing
What u don't know about utube is that the headings are supposed to be written something that makes a viewer wants to know more(curiosity)second hii ni Vida ya juzi which means washarudi nairobi ndolo na pastor,if u are in this street of utube u can understand how to make ua viewers be eager to know what happend just by the title,inshort its done to get the4k hour watch that way utube will recommend ua video faster❤I hope I'm not wrong to say this❤
They add salt in order to get more viewers
Dave kuwanga with true headline
Good job dollo
Ama kaa sii hivyo mtume mtu mmoja aendee lorry na ikuje na maguridumu zote mbili..magari ziekwe migui na lorry iekwe mizigo
Kofi moja mpaka chini😅😅😅
Dave unajifanyanga ajy aty uachwe,si hao watakuua
Tulichanga pesa za kuhamisha fredii imefika wapi senior update us
Sipendi dave juu ya mdomo mingi hata better annita alijitoa huyu mzee wee nikama mwanake 😢
Kwenda uko ww....kama humpendi Ni Nini unatafuta Apa......😂😂
Good job ndollo
Hii ni jana time mama fredy alikimbizwa hosii sasa hapa ni kurudi wanarudi
😮mpaka Dave amekataliwa
Washeke watowe munguu ya kari. Wanjapeka mbali.
Nyinyi mtaacha Fred Kwa shida sas ata Fred angeuza hyo shamba yao n wakaama hyo place kabisa juu Hawa watu SI wazuri akh
Ndollo siniliona ukiingia na kutoka ulifikaje mbali hivi😅😅😅😅
Waaah ndolo ungeficha huyo Mzee venye uificha champeee😂
Green t-shirt ni kapepo kandogo
Kama fredy angekua na uwezo ni awaondokee sababu wivu ndio hao wachawi wanasikia na wengineo ambao wanawapatia hao nguvu
Ni kweli uyo malaya aekwe ndani uyo fredy akijipanga hata kama ni mwezj akae huko jela
Migori Town kuna pahari ku auzwa miguu second hand , pigieni Fred akitoka hospital apitie akijua bei ndio ikiwezekana mununue mtoke pamoja.
good job both Ndolo, Apostle but uyo kijana yao mkubwa asaidiwe kuokoka juu ako thirsty
Huyu kijana anaongozwa na mapepo na ndollo nakuamombea wew ni Shuja tena hodari were ni papaster kwa nhia ingine😊
Walisema watachoma hiyo nyumba haki hii familia iende irentishiwe nyumba mbali sana wahame hapo tu ni fred atarudi kuuza shamba wasibaki hapo pls tusisikie tena visanga pls
Davi ungekua unafikiria kama ndollo hungekua ukipitia kwa vishanga mingi
Hata majirani ni kama wanaongopa hawa watu sana
Kuwa last born ni vituko😂😂😂😢
Huyu Senior vile aliongereza Dollo si vizuri,ati kila wakati Dollo anataka kumukosaniza na funs wake,how can you tell Dollo like that na vile alisaidia kupatikana kwa mama Fred,Senior sometimes unakuanga na utoto😢
Watu wafupi sijui wanathink kifupi SD ako na tutabia ingine kama wako na watu yenye haipendezi
Hii headline ata haieleweki....made ni nyinyi sana
Huyu SD ana kiherehere
Usiku kuliendaje? Nawaona wako wote..Dave😅
Huyu kijana mdogo amekula bhangi sana
Ndolo uko single 😂😂❤
Woi wamefunguka kuhama Mungu awe nanyi