Je baada ya kuthibitika kwa kuhusika kufanya namna au wizi wa kura muhusika anachukuliwa hatuwa gani na jee kosa kama hili si kosa la jinai?na hukumu yake ni nini?
Vyama vya upinzani wanayajuwa haya na washayazowea na ndipo walianza kudai ktba mpya na tume huru lkn ilishindikana sasa vijipange na kufanyiwa madudu na mara hii fujo huenda ikawa kubwa bara au visiwani
Nimeenda kupiga kura kigambon mtaa wa upendo kisiwan nimepata jina lang namba 998 lakin msimamiz anadai nishapiga kura nikadai mbona ndio nimefika sasaiv hata wino Sina naambiwa wewe chama gan nikasema ccm Ili nijue mkakat wao askal akasema nyie mnasomba watu mnawapa majina mpaka yakwenu sasa yan hii nnch mmh
Jamani tuwe wastaarabu mbona huku ulaya unaenda na kitabulisho chako linatafutwa jina lako unapiga unaondoka hakuna kugombana wala kukauka koo tumetaka vyama vingi basi tuyakubali tu
CCM kwa kweli hawajawa tayari lakini wajuwe tu hii ni dunia na kuna leo na kesho msijasahau m.mungu hachezewi
Watanzania wengi ndio tatizo wanauza sana utu wao kwa hella sijui ni shida au ni kukosa kujitambua kwa hali ya maisha ilivyo
Mkwe Mwenye kifua ameharibu uchaguzii mpaka kura fakee!!!! Mkwe asimamie uchaguzii kisa MamaMkwe aendelee kutawalaa .!!!! Mkwe vipiiii!??
Hili swala la kura feki tulisema muda zizingatiwe
Katiba mpya inahitajika ! Haraka!
Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
Msijisumbue watazania achen ccm wabaki wenyewe hakuna haja ya uchaguzu
Je baada ya kuthibitika kwa kuhusika kufanya namna au wizi wa kura muhusika anachukuliwa hatuwa gani na jee kosa kama hili si kosa la jinai?na hukumu yake ni nini?
Hakuna haja ya kuumiza watu acheni waendelee na serikali yao
Duh!
Ccm wana hofu ya kushinda na hawajashindapo
Vyama vya upinzani wanayajuwa haya na washayazowea na ndipo walianza kudai ktba mpya na tume huru lkn ilishindikana sasa vijipange na kufanyiwa madudu na mara hii fujo huenda ikawa kubwa bara au visiwani
Samia kama anajielewa afute uchaguzi huu ufanyike pamoja na wamadiwani na wabuge na raisi
Kifua kipana wapii Mkeweee!!?
Maigizo yaliyoandaliwa
Nimeenda kupiga kura kigambon mtaa wa upendo kisiwan nimepata jina lang namba 998 lakin msimamiz anadai nishapiga kura nikadai mbona ndio nimefika sasaiv hata wino Sina naambiwa wewe chama gan nikasema ccm Ili nijue mkakat wao askal akasema nyie mnasomba watu mnawapa majina mpaka yakwenu sasa yan hii nnch mmh
aiseee hatari sana hii, kumbe ndio mbinu yao.
Jamani tuwe wastaarabu mbona huku ulaya unaenda na kitabulisho chako linatafutwa jina lako unapiga unaondoka hakuna kugombana wala kukauka koo tumetaka vyama vingi basi tuyakubali tu
Huku tanzania wee baki na mambo ya ulaya
Uchaguzi ufutwe hakuna uchaguzi