wee Veronica wewe, sijui niite ni kipaji au sijui niseme nn jmni..wee mbona ni kama unavauhalisia kabisa? ukisimulia ya mdada ni kama wewe, ukisimulia ya kaka ni kama vile ni wewe kabisa...sauti yako ni nzuri sana, unajua sana kusimulia..unaflow vizuri mno..nafikiri ni kipaji Mungu Alikupa kwa Kusudi..daah kweli wewe unafaa mno sijui nikuelezejee jmni

Huyu mke wa mdogo wake amesimama na Mungu sawasawa.
Ukiwa na Mungu vizuri Mungu lazima awe anazungumza nawewe kupitia ndoto.
God is good always.🙌🙌
Pole dada hayo ni mapito mungu akutangulie
Uuwi najifunz sna meng kweny story zako
Tanga hatuipati simulizi radio haipatikani dada vero
Dahh simulizi mzuri mno
Daa unasimulia vizur dada vero jamani hongera sana
Sauti 😋vero jamani, 💃. Asante Sana na Enjoy., 🇴🇲
Mungu akubariki
Wifi ako ! Ana vitu anaviona
❤❤ much love from uas
Daah inaumiza sana
Duh!majanga ila dada upo vizuri kwa kusimulia nimekupenda bureee
Ama kweli mauzauza
Wa kwanza asante Dada Vero 👏👏👏
Asante
Mh achanile mchicha kwenye anan staki nyamachoma ya vitavya usiku vyagizani
Mhhh mganga huyo mungu anamuona
😆😆😆 unacheza na waganga wewe
😂😂😂😂😂😂
Jesus kashaua wa pili 😔
Anayesikiliza mwaka 2022
Achante dada vero
Uko vizur dada Vero, uishi sana👏👏
Asante dada kwa kutuwekea mapema
Tamu mpaka jirani mate yanamtoka
Sauti ya dada Vero imeshiba Hadi rahaa kumsikiliza.
Top 5 . Well done
Ahsante sana dada vero
Mungu wangu🙆
Too much Ads