Wimbo bora ya singeli "kitu kizitu" msanii bora wa singeli dulla makabila sasa hapo imekuaje kama dulla ajatoa wimbo bora wa mwaka ameshinda kwa kigezo gani ....izi tuzo bhana
acheni kudanganya watu jaman kusema ukweli ni vizuri,,,category ya wimbo bora wa mwaka ni category flani kubwa ambapo wimbo unaochukua category hio lazim iingie kwenye baadhi ya categories za kawaida na huko tunategemea wimbo huo uchukue pia
Napenda sana interview za huyu mzee he’s very humble 😊
Nakukubali sna master j 🫡
Walimpiga dongo Kwa kuzalilisha ,na kumfanyia. Fiski ,hili kumsha lakini ,wamoja wamoja tuu ,aiwezi kuwa mbili hata siku moja🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo bora ya singeli "kitu kizitu" msanii bora wa singeli dulla makabila sasa hapo imekuaje kama dulla ajatoa wimbo bora wa mwaka ameshinda kwa kigezo gani ....izi tuzo bhana
Hua wanaangalia mwaka mzima hawangalii nyimbo Moja pkee , Sasa hyo sio mbay mana Dulla katoa ngoma nyingi sana za singeli Kali
Kama diamond na Piano la Comasava Anaweza chukua ile ya wimbo bora wa mwaka lakin siyo msanii bora wa Amapiano
Hapo sasa😂
Pita huku niako
@@esthermatisho2604 wanachanganya Sana
Huyu master jay atulie😊
Sasa huyo diamond ameingilia wapi hapo na hiyo heading yenu?
Chono na jay melody vepeeee
acheni kudanganya watu jaman kusema ukweli ni vizuri,,,category ya wimbo bora wa mwaka ni category flani kubwa ambapo wimbo unaochukua category hio lazim iingie kwenye baadhi ya categories za kawaida na huko tunategemea wimbo huo uchukue pia
Nini maana ya categories?
Akijibu nishtue
Mmmh ko Kama wananchi ndo wanapiga kula mondi na Mario zimegongana kweli🤔🤔🤔🤔🤔
Mzee anazeeka huku akiwa anawaona vijana wanapiga pesa kwenye ile kazi aliyo kuwa anaifanya yeye 😂😂😂
Mj rudisha rasta kama d yuko poa fareshi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ooooh p Diddy ,😅😅😅
Tuzo ni za mafala