MDUDE AIBUKA KUMTAKA LISSU KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA ASEMA MBOWE AMETUTOA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @erickmollel-zv2eu
    @erickmollel-zv2eu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siasa haha nchi ya ahadi ni ipi hiyo ! Nyie ni wakupingwa maana mkishika dola hakuna kitu mtatufanyia wananchii! Zaid ya kupambn kulipiza kisasi ji kusababisha maumivu makali kwetu. Nakupenda mama Tanzania

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana kamanda

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mdude nimekuelewa,,nyakati huwa zinasema

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sahihi

  • @ChachaRichard-h1e
    @ChachaRichard-h1e 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hilo ni kweli kabisa lisuu

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mboe hawezi kukubali kirahisi kuondoka inbd mtafute kura za kutosha

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Twende na lissu, wanachadema tusilale

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    DOGO WALIOKUPIGA BADO WAPO😂😂😂😂😂😂

  • @JacobNzowa-e2f
    @JacobNzowa-e2f 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nice speech

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika sote tuunganishe nguvu tumukatae mbowe siasa znazokuja ni ngumu sana hatumuhtaj,tunamtaka Mwamba Lisu

  • @deohaule98
    @deohaule98 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waripoti kwenye umoja wa haki za watu duniani, Ikiwemo nchi ya Marekani na ulaya, ukifanya hivyo watashughulikiwa tu, kwa staili ya kidemokrasia.

  • @williamnkuhi6166
    @williamnkuhi6166 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa Kali sana duniani..😂😅

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fanya hivyo Mdude Yuko nyuma yko

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu anafit

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe 😂😂😂😂

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi ya ahadi kufika si leo wala kesho kwa mwendo huu 😂😂

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu mdimi naye anajitoa sana ila Mbowe kyaaa 😂

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Twendeni na lissu, nje ya lissu hakuna mabadiliko

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizi bangi mnazovuta kisha mnakuja mitandao si nzur kabisa😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂panya kweli hii kibao kimoja ndio unalia Lia ivo...utajibuza wewe mwenyewe

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    acha kulia lia kama uweze kalime

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe achia ngazi hiyo inje na hapo ni uroho wa madalaka

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TAFUTA VIDONO UTALALAMA SANA WEWE KWENU HAKUNA WAZEE?? TAFUTA VIDONO UTALALMA HADI LINI??