GB 64 APAGAWA NA USAJILI STRIKER MPYA Simba wa USM ALGER/ MO AMERUDI SOKONI Funga Usajil FRED OUT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 202

  • @SaidySaidysalum
    @SaidySaidysalum 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli kbs Brother unaongea point sn.

  • @ROSENGAMILLAH
    @ROSENGAMILLAH 2 หลายเดือนก่อน +2

    Excellent bro unajua sana waambie

  • @RichardFrancis-e5t
    @RichardFrancis-e5t 2 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏

  • @jofreysikomele7056
    @jofreysikomele7056 2 หลายเดือนก่อน +7

    viongozi wa simba wawe makini sanaa hali ni mbaya

  • @Vunjabeidismas
    @Vunjabeidismas 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwer bro gsm anaalibu league

  • @gerphasntaziha4475
    @gerphasntaziha4475 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli kabisa 64GB unavoongea watu wengine hawawezi kuvisema. Mi naona kwa sababu viongozi wa simba hawasemi haya bora mashabiki wa simba kuandika barua fifa watume mashushushu wao ili watu waone hili. Hata utani wa jadi tena haupo ni uadui. Hamna derby timu zinanunuliana wachezaji. Mbona Liverpool na Manchester hazinunuliani wachezaji?mbona Liverpool na Everton hawauziani wachezaji? Derby ni vita. Naomba mashabiki wa simba wenye kujua sheria waandike barua caf na fifa waisaidie ligi yetu. Sisi simba ndio wa kuisaidia nchi yetu kwenye ligi

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli Gb Umeongea Ukweli kabisa...Viongozi Wafatilie hili.

    • @laurentbaltazar176
      @laurentbaltazar176 2 หลายเดือนก่อน

      Endelea kumponza tu huyo PIMBI. Kuna kitu cha maana kweli anaongea huyo jamaa au POMBE na BANGI? Tayari kashashikwa na viongozi imebaki kusifia sana na kuponda Yanga sijui wanadhamini sijui wana wazee sijui maudhui yaani KACHANGANIKIWA KABISA.

  • @joramjoramtiles4380
    @joramjoramtiles4380 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubar Sana brother Huwa unasema ukwel tatizo la yanga inaviongozi wengi Sana ccm wanaendesha mpla kichama Kwa watu wa chache mama gsm boss ni mzawa na ananafasi kubwa Sana kwenye nchi

  • @FloraMweza-u7y
    @FloraMweza-u7y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweri kabisa kaka umeongea point

  • @yusufukim8439
    @yusufukim8439 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna vitu unazungumza uko sahihi lakini unatanguliza siasa ya Mpira kabla ya kuelezea Mpira wenyewe Simba Kwa sasa wameangalia kutengeneza Timu sio kushindani Moja ya sehemu tuliofeli ni pale tulipokuwa na wachezaji wazuri na wakaanza kuuza na kuwaleta wachezaji wenye viwango duni zaidi hapo ndipo tulipoiua Simba🦁💪

  • @asajilemwamundela1220
    @asajilemwamundela1220 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa kamanda

  • @ZuuKijangwa
    @ZuuKijangwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel kabisa kaka unachokisema,Yan hali n mbaya 🎉🎉🎉

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwendawazimu😮😮😮necessarily come

  • @IsackIddy-f6d
    @IsackIddy-f6d 2 หลายเดือนก่อน

    keweri sana kaka wambie ukweri

  • @ibrahimhamisibrah
    @ibrahimhamisibrah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba bingwa ❤❤❤

  • @joelkihogo9312
    @joelkihogo9312 2 หลายเดือนก่อน +18

    Jamaa kaongea kwel viongozi fuatilieni ili suala mana inapoelekea tukaa miaka kumi bila ubingwa gsm anaharibu ligi yetu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Utabaki na lawama lkn October 19 unapigwa Tena 5G

    • @petronillajoseph169
      @petronillajoseph169 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uko sawa kaka.kwa Nini mtu mmoja amiliki timu tano?unategemea Simba itafanya vzr lini?wanauziana mechi ili Simba afer,kwani tff hawaoni Hilo?

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hv ukiacha hizo lawama kwa GSM huoni pia kma yanga sa hv wana timu nzuri

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@petronillajoseph169 kwani Simba inazaminiwa na GSM? Mbona alikula 5G wanasimba acheni kutafuta mchawi Mchawi ni nyewenyewe sajilini vifaa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@fettiemaganza1484 Hilo Hawaoni Kwasababu washabiki wengi wa Simba ni mandondocha kiukweli Simba wanavichaa

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 2 หลายเดือนก่อน +2

    True

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 หลายเดือนก่อน

    we mpumbavu zakaria usijifanye kiziwi hii itakuaribia pamoja na kazi nzuri uliyoifanya

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hilo suala la Udhamin wa timu ZAIDI ya Moja ni suala la KUPELEKA FIFA na Sio TFF , kinyume cha hapo ni ni kuisindikiza Yanga kuchukua Ushindi mpaka GSM atakapofilisika.

  • @nurusaid-hc2jk
    @nurusaid-hc2jk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali sana gb

  • @jofreysikomele7056
    @jofreysikomele7056 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wambie ukweli

  • @BarakaJiroli
    @BarakaJiroli 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aongea ukweli

  • @Selemaniharuna-m1y
    @Selemaniharuna-m1y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukosawa Gb nakubari maneno yako

  • @yohanakayinga9279
    @yohanakayinga9279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahih kamanda

  • @christophermwaya7702
    @christophermwaya7702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Udhamini wa GSM ni batili kimsingi kwani unazuia fair Competition

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli viongozi hawaoni kitu kama hiyo viongozi hawafai kama hawawezi kufuatilia hii GCM

  • @SelemaniMtego
    @SelemaniMtego 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ana akili nyingi sana viongozi wa simba amkeni

  • @DeviShukulu
    @DeviShukulu 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka sokaletu limeisha utam uzamn ganihuo timsaba hujumatupu

  • @DadeSaide-qr7ti
    @DadeSaide-qr7ti 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naitua Dade nipo nsumbiji kaka pwent kabisa ukueri kabisa tunawachanga uko kueno Tanzania 🇹🇿 tofauti na huku kuetu Mozambique🇲🇿 kaka ntu umoja anazamini kampuni 5 asanteni wana Simba.

  • @IsmailFyeku
    @IsmailFyeku 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni siasa kwenye mpira.
    Huo ni woga huamini kikosi chako

  • @pascalkiboko4715
    @pascalkiboko4715 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mshauri More adhamini hizo team 9 zilizobakia!

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa,ndio maana Ali kamwe aliinuka kushangilia tulipokuwa tunacheza na cost

  • @hokseaSanga2024
    @hokseaSanga2024 2 หลายเดือนก่อน

    Hao GSM wachi wivu na simba yetu brother nakukubari umeongea ukweri ujumbe umewakuta hao utopolo 😂😂😂wakome

  • @PaschalNtalimbo
    @PaschalNtalimbo 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kiukweli viongozi wa simba walifatilie hili

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 2 หลายเดือนก่อน +3

    VIONGOZI WALIANGALIE HILI SWALA KWA JICHO LA TATU GSM ANATUHALIBIA SOKA LETU LINAKOSA RADHA, THAMANI NA CHACHU YA USHINDANI KABISA HII SIO SAWA KABISA TIMU TAKRIBAN 7 ZOTE ZIPO MIKONON MWAKO

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 หลายเดือนก่อน

    GB64 ANA AKILI SANA

  • @FrankFussi
    @FrankFussi 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli Gb64 hiyo sio fair ndio maana wenzetu uraya wanasema pray fair viongozi wa Tff Kuna dalili zote za rushwa Hilo swala linatuumiza sana mashabiki hiyo Sio sawa kabisa

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 หลายเดือนก่อน

    GSM UMEHARIBU LIGI YA TANZANIA 🇹🇿 UMEINUNUA TFF NA ZAKARIA

  • @johnmariki
    @johnmariki 2 หลายเดือนก่อน

    Gb yawezekana asilimia 100% TFF
    nao wamewezeshwe viongozi, aiwezekani malalamiko kibao wanaziba masikio, ndo mana yanga wana hakika ya maneno yao, GSM tumia akili na sio sifa kasaidie maskini

  • @EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
    @EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ligi kuu Tz haipo kwa hali hii hata TFF wanakula mlungura

  • @DaudiMsukuma
    @DaudiMsukuma 2 หลายเดือนก่อน

    Unaongea point mwanaume tusaidie kaka

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 2 หลายเดือนก่อน

    GB 64 haujielewi.Kila siku unasifia wachezaji baadae wakija unawakataa.

  • @SautiKonina
    @SautiKonina 2 หลายเดือนก่อน

    Gb64 sasa kaamua kuwa upande wa timu yake SSC naye ashaanzaa kuwa kundi la walaji
    Hongera sanah mzeee kikubwa upate kula

    • @desolz3809
      @desolz3809 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona ww upo utopolo watu hawasemi😂😂😂

  • @yussuphsaidy3661
    @yussuphsaidy3661 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaha nkane eti kazee kajitukazima

  • @LovenessSimon-r9j
    @LovenessSimon-r9j 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ina maana kuwa wanaaanza ligi na points 15 mkononi kutoka kwenye hizo timu zinazodhaminiwa na GSM wanauza mechi sio poa

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 หลายเดือนก่อน

    zakaria hiyo rushwa uliyoewa na gsm itakutokea puani

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 หลายเดือนก่อน +1

    😮😮😮😮

  • @YasiniJuma-f4j
    @YasiniJuma-f4j 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekufatilia kwa muda sana kaka nikweli hii hii bodi ya ligi hawana ufaham kwani hivi hii ligi ni ya GSM au

  • @YakoboMwita
    @YakoboMwita 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno viongozi wanayasikia lakini ,huyu jamaa anasema ukweli kabisa

  • @CharlesNgahyoma
    @CharlesNgahyoma 2 หลายเดือนก่อน

    yapyap

  • @rajabujohn1373
    @rajabujohn1373 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga miyakayote anaweza mechifitinaa ilauhalisiya hamna mpila pale

  • @BarakaMasatu-i9k
    @BarakaMasatu-i9k 2 หลายเดือนก่อน

    brother nimekusoma sana huu unaouzungumza ndio ukweli

  • @JafarOmar-b1u
    @JafarOmar-b1u 2 หลายเดือนก่อน

    We unapoint 6 zetu ,unataka uekewe penant kila mechi ,natunao wafunga kimataifa tunawadhamini

  • @rajabujohn1373
    @rajabujohn1373 2 หลายเดือนก่อน

    Azam yenyewe imepandikizwa watu wayanga halafu unajisifu unatimu

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 หลายเดือนก่อน

    viongozi wa simba liangalieni hili msipofuatiliya tytandamana tuwafukuze

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน +1

    ukweli GSM anaharibu Mpira wetu sana ili kuwapa furaha washabiki wao

    • @gisdenga7740
      @gisdenga7740 2 หลายเดือนก่อน

      Wasiojua mpira hawawezi jua hlo hyo GSM ndo anaidogosha league yetu

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kudhamini vilabu saba​@@gisdenga7740

  • @Farajimuhidini
    @Farajimuhidini 2 หลายเดือนก่อน

    64GB Waambie tunaumia Wana simba viongozi wasijifanye hawaoni

  • @LughanoAlfrod
    @LughanoAlfrod 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani Simba ihame tanzania

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii ni kazi ya CEO MNAKUMBUKA BABRA ALIVYOWANYOOSHA SAHIZI WANAFANYA KAMA HAWASIKIII

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaaa pongo kweli

  • @MajidMajid-ll8mf
    @MajidMajid-ll8mf 2 หลายเดือนก่อน

    GB 64 upo sahihi endelea kulisemea hili suala la GSM kudhamini vilabu 7

  • @mohammedpole859
    @mohammedpole859 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli Gb Hawa viongozi wetu hawalikui Hilo? kama wameshindwa waondoke hapo.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 2 หลายเดือนก่อน

    Rushwa imetamaki mdogo wangu.
    Tajiri halipizwi kodi stahiki ili pesa aipeleke yanga.
    Nchi inanuka
    Kuna kila haja Simba Sc kama Timu ya Tanzania kuhamia league ya Zanzibar.
    Tuwaachie wenye mapesa hadi kuvimbilwa waendelee na yao.

  • @aliceniyungeko2279
    @aliceniyungeko2279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aceni kumfuatilia uyo mpuuzi Gb ambapo elekea atafungwa tena tuulizane Gsm anaongoza team gani? Zinazo shiriki legue yeye Gsm nimufanya biashara sheria inamlinda uwo mvuta bangi aace upuuxi

  • @absm8084
    @absm8084 2 หลายเดือนก่อน

    How mwenye team anadhamini team Zaid ya moja hata huhitaji D mbili kuelewa wapi tunapoenda 😢😢😢😢😢😢

  • @shariffmazrui7632
    @shariffmazrui7632 2 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi kaka hatimae tutakosa ata timu ya taifa wao wapinge tu

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jib mmi uwa nakufatilia sana wwe ni kiboko na mmi nakupa ahdi akitoka Ahmed Ali wwe ndio utakuwa msemaj wetu

  • @MumbaRahimu
    @MumbaRahimu 2 หลายเดือนก่อน

    Ww nibonge lakuma hujui mpira kbs acha mahaba msenge ww

  • @godfreypaul251
    @godfreypaul251 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daa basi hamna ligi hapa

  • @MzamiruBitamare
    @MzamiruBitamare 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea vema Mtu mmoja amedhamin Tim sita

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 2 หลายเดือนก่อน

    GSM ameribu ligi ya Tanzania ata Tff wanausika pia kwani awalioni hili inafaa takukuru wanatakiwa waingilie kati ili

  • @DanielBaraka-j9p
    @DanielBaraka-j9p 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa yuko sawa kabisa

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 2 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi GB yaani tff mbona hawaeleweki

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 2 หลายเดือนก่อน

    Aziz K aliwafunga refa kakataa October sio mbali

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 2 หลายเดือนก่อน

    Achen ujinga kueni na hakili maana hamjui mpira bax muache jua ktofautixha uzamini na umiliki fifa wanazuia kumiliki tim zaidi ya Moja ila sio uzamini ukishajua Hilo utaelewa kwann tff hawaingilii

  • @drdrex113
    @drdrex113 2 หลายเดือนก่อน

    Na Mo naye awafadhili waliobaki

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 หลายเดือนก่อน

    ushauri kwa wazee wa simba chukueni wachezaji ukawapige dua na dawa muimu za baati ya kufunga mechi ikiwa ngumu ukipoteza chance una shusha morali ya timu

  • @Marry-l8m
    @Marry-l8m 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania ni maambumbu sana hasa kwenye michezo 😂😂😂😂

  • @MonikaSanga-p9r
    @MonikaSanga-p9r 2 หลายเดือนก่อน

    Simba kutoboa ngumu GSM kakwamisha mno

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 2 หลายเดือนก่อน

    GB 64,watu wa mpira tunakuelewa. Ila hapo Utopolo wanatuogopa Simba kuwako kwenye mashindano haya. GSM anaiogopa SSC. Hivyo GSM yuko kimaslai ya Pesa sio kuendeleza soka. Hivi ikibaki Utopolo pekeyake,ligi ya ndani itapatikana vipi?

  • @jerikorojas4317
    @jerikorojas4317 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama anadhamini vilabu saba Ligi kuu, kumbe ni haki yake akipewa maiki aseme YANGA BINGWA

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kwa hili kwenye ligi yetu litaleta shida

  • @deusmanyenye5190
    @deusmanyenye5190 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna usajiri mbovu Simba itakuwa imefanya kama wa huyu Ateba. Clip ya dakika 10 hakuna bao hata moja. Ni hatari sana, ina maana hata mabao ya kuokoteza, kuunga unga hakuna.

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 2 หลายเดือนก่อน

    Ingewezekana ingeachwa yanga peke yake ili timu zingine zianzishe ligi ingine. Maana yanga haitaki ushindani inataka iwe yenyewe tu. GSM si mwanamichezo ila ni mwana maslahi.

  • @OmallyAlly-cy3yt
    @OmallyAlly-cy3yt 2 หลายเดือนก่อน +1

    porojo fc kijana wewe unatumia guvusana inaonekana unatumia mfumo dume hata nyumbani.

  • @RashidKaoneka-bj8mm
    @RashidKaoneka-bj8mm 2 หลายเดือนก่อน

    Ninashaka huyu anatumia madawa kama tff mtamfwatilia nitawaona bule

  • @IsmailFyeku
    @IsmailFyeku 2 หลายเดือนก่อน

    Si muache kwenda uanjani kwani simba ndio mtoto watumboni wengine wa mgongoni?

  • @sofiamsuya2254
    @sofiamsuya2254 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo mwaka uliopita kimataifa tulifanya vibaya? Mashabiki wa simba wakapimwe akili

  • @victuskimario5586
    @victuskimario5586 2 หลายเดือนก่อน

    Gb 64 viongozi wa Simba fuatilien hivi vitu jamaa anavyoongea anaongea vitu vya msingi

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 หลายเดือนก่อน

    ishu sio kusifia matokeo hafifu tuna walinda vp wachezani ili waweze kuona mwamba wa goli sawa sawa sielewi kabisa kwanini mechi za simba zinakua ngumu sana ama tff ndo wamesha jipatia njia ya kuokota faini kupitia ulozi na na unuma

  • @DicksonMawinda-zb5bc
    @DicksonMawinda-zb5bc 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka tumekuelewa kumbe ligi hii ni ya gsm

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi TFF iko kweli? Au mwenye dharma ya michezo TZ? Maana GSM hataki ushindi na maendeleo ya soka letu hapa TZ. Kudhamini timu nyingi,zilizo katika ligi NBC ni sawa na R.... Kwenye siasa au sehemu za kazi.

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน

    Pia wapimwe mkojo wachezaji wote timu zote

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 หลายเดือนก่อน

    kwanini mwana sheria wa simba asiwekewe faili mezani aende nalo cas kuomba ufafanuzi namna gani ligi ya Tanzania inaendeshwa

  • @CharlesFaustini
    @CharlesFaustini 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mie ninamuuga mkono kwamalalamiko yake

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 2 หลายเดือนก่อน +5

    Gsm anaharibu mpira Tanzania

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      GSM hajakurupuka ongeeni na tff

    • @desolz3809
      @desolz3809 2 หลายเดือนก่อน

      Tff wamekula hela ya hyo muhindi ndo maana wamekaa kimya

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      @@desolz3809 kwa hyo mnataka zile timu zingine zikose udhamini ili washindwe kujiendesha mpate kamsererko

    • @dakashow1610
      @dakashow1610 2 หลายเดือนก่อน

      Hata matokeo magumu yanaamuliwa officen yanga akicheza na black ster lazima ashinde maana Baba n mmoja GSM

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 2 หลายเดือนก่อน

    Mangungu aondoke

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kwerii Simba na Yanga.imegeuka Ccm na Chadema sasa mpila wa Tz unataka kushuka Gb64 anaongea kweri Siasa nyingi mmmmh wabongo hao

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini viongoz hawaongei au wanalidhika nahaya mambo

    • @saidishekalaghe3496
      @saidishekalaghe3496 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezijua wanafaidika vipi na Dili hilo, unafikiri angekuwepo Barba Gonzales ujinga kama huo ungekuwepo? Ndio maana zikafanyika figisu ili aondoke!

  • @majaliwaandulile8379
    @majaliwaandulile8379 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo timu zetu njaa