NITAPONA 😭 FULL MOVIE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • #clamvevo #snakeboy

ความคิดเห็น • 23

  • @MadinaMwanaidi-t9x
    @MadinaMwanaidi-t9x 4 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapenda sana ndugu zangu Barakalauh Fikum ❤❤

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  4 วันที่ผ่านมา

      🙏❤️❤️

  • @KISHEPO_COMEDY
    @KISHEPO_COMEDY 4 วันที่ผ่านมา +3

    TU ENJOY SASA🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FLC-m9c
    @FLC-m9c 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu yangu umejitaidi sana ktk kazi zako. Ila conclusion inakushinda sana.

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  2 วันที่ผ่านมา

      TITLE;- NITAPONA🙏❤️

  • @E_pictures
    @E_pictures 4 วันที่ผ่านมา +3

    💓💓💓

  • @Jobless-045
    @Jobless-045 4 วันที่ผ่านมา +3

    Bro mambo

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  4 วันที่ผ่านมา

      KWEMA

    • @Jobless-045
      @Jobless-045 4 วันที่ผ่านมา

      @@MATUTUMEDIA ukoje

  • @FLC-m9c
    @FLC-m9c 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi hii haikutakiwa kuisha wakati Latifa haja faamu ushenzi alicho mufanyia mwanaume anaye kwenda kumuoa, tatizo lako kubwa hilo duuuh 🥴😭

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  2 วันที่ผ่านมา

      KWENYE MAISHA SIO LAZIMA UTESEKE AFU UJE KUFANIKIWA, KUNA WATU WANATESEKA MPAKA WANAKUFA NA HAWAJAWAI KUIPATA HIYO FARAJA BAADA YA DHIKI😃🙏❤️🤙

  • @MinaniTharcisse
    @MinaniTharcisse 3 วันที่ผ่านมา +1

    Eti masudi kavaa shati kama shuka la kimasai😂😂😂😂😂😂😂

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  3 วันที่ผ่านมา

      😃🙏❤️

  • @antonychiro6230
    @antonychiro6230 2 วันที่ผ่านมา +2

    Finishing mbona ziro ivo napnda movies zenu

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  2 วันที่ผ่านมา

      ULITAKA IISHAJE BOSII😃

    • @antonychiro6230
      @antonychiro6230 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@MATUTUMEDIA niljuwa kuwa dem wako atajuwa ukweli n mrudiane n ukweli ujulikane kumbe sufuri
      Unjuwa mm movies nazionyeesha kwa video 📹 254 movies ikiisha km hujaelewa mwisho wake jaba linashuka

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@antonychiro6230 TATIZO MNAKALILI

    • @antonychiro6230
      @antonychiro6230 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@MATUTUMEDIA sio kukariri sa hatima ako ilkuwa n nin baada ya ww kujuwa dem wako anaolewa na x wake na chnye kilsabibisba hakikuwa cha ukweli mzee sometimes try 2 make story 2 be delicious 😋 sio kuzubaa na ndio mwisho kumaanisha nin tena itaendelea ama

    • @MATUTUMEDIA
      @MATUTUMEDIA  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@antonychiro6230 KUNA MSEMO UNASEMA BAADA YA DHIKI FARAJA , ILA KUNA WATU TUNAWASHUHUDIA BAADA YA DHIKI WANAZIDI KUPATA MATESO NA KUFA, KUNA WATU LEO WANAFUNGWA BILA HATIA NA USHAHIDI UPO WAZI.. Hivyo Ilo ndo lilikuwa WAZO la muandishii .. tusubiri Sasa tuone kama itaendelea au laa boss wangu 😄😁😁🙌🙏❤️