“Let the word of Christ dwell in you richly, teaching and admonishing one another in all wisdom, singing psalms and hymns and spiritual songs, with thankfulness in your hearts to God” (Colossians 3:16)
This is pure demonic ,diamond he is representing the kingdom of darkness late us not be fooled, I correct ✅ u with whole humility this is not creativity, the god of this world have blinded the people.may the light of Jesus Christ prevail in the mind of all these people 🩸🩸🩸🩸 Jesus Christ Blood have power 😊
@@kiddybrown7154 Macho yapo kutazama uchafu ili kujiepusha nao na kuwaonya wengine hata mwana wa Adam alikaa na wanyang'anyi na makahaba ili waokolewe.
Eeeeh Mungu mim nimdhambi lakini naomba hurumayako juu yahawa wasaniii mana kama kweli vipaji umewapa wewe basi wabariki na kesho lkn kama wamevipata kwanguvu za shetani hakika hujawahi shindwa Munguwangu ipo utawaonyesha uwepo wako
Apo alikuwa anafanya ibada kwanza kabla ya shoo,,ata Michael Jackson alifanyaga sana hayo mambo,,yaani apo sasa wakuu wake kwenye chama wamefurahi sanaa kwa kutukuzwa kwa bwana wao Lucifer,,ngoja tuone huko mbeleni,huenda yapo mengi yanakuja
Jameni minaona kifo cha diamond kinasogea haana mwaka mzima Tena wa maisha. Ukiona wanaanza kujitowa injewnamna hii. Juwa kwamba basi mda wao umefika, yuko na Tiago huyu. Mungu awasamehe na kuzinisuru nafsi za wote walioshirikishwa.
Nigerians now where are they???platnumz diamond craft master genius entertainer 🐉🐉🐉🐉🐉🐉🔯🔯🔯🔯 diamond doing it for the love of the game respect 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 🌟🌟🌟🌟#####normal is boring.. Extraordinary shines brightest 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!!!!
“For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul?” What will you give for the salvation of your soul? He has given his life for you-now do the same for him. Mark 8:36...MJ did this but died a painful death
Hicho kicheko ndio shetani atakuwa anatucheka tukiwa naye kwenye ziwa la moto. Mungu tupe neema yako tuweze kutembea katika njia inayo kupendeza wewe. Tunajua tumezungukwa na majaribu pande zote lakini usituchoke Mungu wetu,tunspogeuka na kukurudia wewe tunaomba utupokee kwa huruma zako uliopo katika upendo wako mkuu kwetu sisi wanadamu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
i didn't expect someone kusifia kwa comment kwa huu ushetanii people save your souls and repent most of these secular singers are devil worshipers so nanyie mpo apo May GOD have MERCY
Nampongeza sana kuwa naimani zabiti juu ya mafundi wa dunia maana pamoja na makosa yote shetani hajawahi kuua mtu akifa ni mpango wa Mungu twende kazi daimod 😈
Huu ndio mwisho wake xaxa...ameanza kutoa Siri zao...ata kanumba alianza Ivo hakuchukua round walimuua...I pity for him.... nguvu za Giza cku zote haziwez shindana na za mungu
Mashabiki wa diamond wamefunikwa na freemason, 😢 please watizedi naomba mbanieni huyu aneyekufuru MWENYEZI MUNGU nyimbo zake zote ,au awe mola mimina uponyaji wko kwa hawa binadamu
We used to see them far in Nigeria. Now they are here in East Africa. They are not hinding their rituals anymore. Soon sacrifices will be done live as we see. God save us
Huyo ndio mwamba icon of East Africa music...Msanii bora wa Tanzania wa muda wote kuachia nyimbo zaidi ya 200 zote nzuri sio mchezo kwa wale wanaotunga wananielewa
@@RamadanMtanje kwhy hapo anaongea au? Nyie watu msiojua mziki ebu tumieni nafasi zetu hata kujifunza kitu na sio kukurupuka...Diamond anaimba labda uniambie unaye sema ww ana sauti nyembamba na sio inshu ya kuimba...Ubishi huo naujua ni kwa ninyi msiojua mziki,mnashindwa kutofautisha kuimba na kubana pua
Creativity is not the only thing that takes humanity to the next level. Jesus is. He is the only One Who puts up the one and exalts the other. Everything that defies His will, including Satan, will be brought to a hideous closure.
“Let the word of Christ dwell in you richly, teaching and admonishing one another in all wisdom, singing psalms and hymns and spiritual songs, with thankfulness in your hearts to God” (Colossians 3:16)
Amen
Acha makasiriko kaka tafuta hela uache kuongea vitu usivovijua 😅😅😅😂
@@ZukraBuethipesa sio kila kitu
Damu ya Yesu itakase wote ambao wameshirikishwa bila kujua. #IN THE MIGHTY NAME OF JESUS AMEN 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
This is pure demonic ,diamond he is representing the kingdom of darkness late us not be fooled, I correct ✅ u with whole humility this is not creativity, the god of this world have blinded the people.may the light of Jesus Christ prevail in the mind of all these people 🩸🩸🩸🩸 Jesus Christ Blood have power 😊
Amen!!
Amen
Souls sold! People are still so ignorant in 2023 than 1800😢
May all the soul who were present be delivered by the blood of Jesus.
Amen sis
Amen
Amen
Amen
Amen
Mungu tuongeze siku za kuishi ili tuone mwisho wa hawa wasani subhannallah😢
Rimason ushetani apo anakua na maana yake ila wajinga wanaona mkama show
@@aminahussain3058Ndio ishetani kweli hivyo walivyo ingia
😂😂😂😂na kilichofanya mnafuatilia ni kipi watu wa Mungu..!!???
@@kiddybrown7154 Macho yapo kutazama uchafu ili kujiepusha nao na kuwaonya wengine hata mwana wa Adam alikaa na wanyang'anyi na makahaba ili waokolewe.
Wewe sasa unataka wsani wote wkufe
Mungu atuepushie hya majanga kw vizazi vytu,maana huu n ushetani mtupu
nothing like being creative,what ever we potry is what we are.
Eeeeh Mungu mim nimdhambi lakini naomba hurumayako juu yahawa wasaniii mana kama kweli vipaji umewapa wewe basi wabariki na kesho lkn kama wamevipata kwanguvu za shetani hakika hujawahi shindwa Munguwangu ipo utawaonyesha uwepo wako
Amen
Ameeeeeeeen
May God of power keep our generations away from demonic powers we really need to be on our knees and ask God to do something. 😢
Nonsense! Do you share nostrils/lungs with #Simba??? Just keep breathing your own in your own way. Let #Simba be free. Be free too.
Ibada za kishetani zinafanyika live kwenye majukwaa ya Wasafi festival
Kabisa kaka, hii ni hatari sana, alafu watu wanasifia kwa kusema ubunifu
Point
Michael Jackson aliaanzaa hivi hivi Yuko wapi.
@@carlosdigitalskwan ww utakuwa wap??
Kabisaaa yani uyu frimasoni kabisa 😢😢
Will never see him the same ever again, you have eyes but you can't see, ears but you can't hear.
Apo alikuwa anafanya ibada kwanza kabla ya shoo,,ata Michael Jackson alifanyaga sana hayo mambo,,yaani apo sasa wakuu wake kwenye chama wamefurahi sanaa kwa kutukuzwa kwa bwana wao Lucifer,,ngoja tuone huko mbeleni,huenda yapo mengi yanakuja
Mwishowe watamtaka yye mwenyewe 😅😅😅😅😅
Ashachukuliwa huku jaman kumekucha😢
Huyu mwanangu ni mnyamaa🔥🔥🔥muacheni abaki top1 bongo☺️☺️☺️☺️♥️♥️♥️♥️
A quoi bon d'avoir toutes choses sur terre et perdre son âme, pitié Seigneur 🙏
exactlyyy
Oooh baba wa ubunifu,umetisha brother mondi,hakika afrika wewe number moja
How is he the best in Africa? Diamond is only known in East/central Africa. Keep lying to yourself..
Huyo freemason endelea kumsifia tu
Show za kishetani,mnasema ni ubunifu
Freemasons tayari washaanza kumpa masharti ya kujidhihirisha sasa kama kina Michael Jakson 😂😂
Kweli kabisa
Babaako Yumi nae
Nilijuwa km litatokea senge km ww litasems ivi
don make me laugh guys😂😂😂
😂😂😂nomaa
Vraiment diamant vous êtes terrible 💪💪💪💪💪💪 waouh waouh
My God, Jesus...wahurumie Wana macho...Wana masikio...
Lakini hawaoni wala kusikia !
Jameni minaona kifo cha diamond kinasogea haana mwaka mzima Tena wa maisha. Ukiona wanaanza kujitowa injewnamna hii. Juwa kwamba basi mda wao umefika, yuko na Tiago huyu. Mungu awasamehe na kuzinisuru nafsi za wote walioshirikishwa.
Ukweli mtupu 😢😢😢😢
Walai very true kwanza juzi wameimba MAISHA MAFUPI NI SIMPLE apo I draw the line na sote tumeifanya challenge ile sijui itakuwaje
This is scary and really satanic .May God deliver these souls 🙏
I'm even afraid to sleep 😢
@@lucymwangi-p1mcoz of mere drama😅😅
Haàaaaaaa niushetani wa Hal ya juu kuingia kweny jeneza
A vida louca 🤝❤️💯🔥 sou de mozambique 🇲🇿🇲🇿
Bem feio mesmo que Deus cuide dos inocentes.
Namba za motoooo🔥🔥🔥mzigo mpyaa
WAI MAPEMA
POP8
SMART 8
Pop7
Smart7+
Smart5
Hot8
F1
Pop2f
Hot30play
A13
A03core
A04s
S8
S8+
S9
S9+
S10
S10+
Not8
Not9
Pixel3
Pixel 3A
Pixel 4A (5G)
K7
Lc6
Hot7
Pixel 6pro
Hongera Sana rafiki yang one day utafika kwenye nchi ya ahadi
Umejionesha wazi wazi Kama kwel Freemason #
This is beyond art
Nigerians now where are they???platnumz diamond craft master genius entertainer 🐉🐉🐉🐉🐉🐉🔯🔯🔯🔯 diamond doing it for the love of the game respect 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 🌟🌟🌟🌟#####normal is boring..
Extraordinary shines brightest 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!!!!
God delivers your people.
Open our inner eyes.
We fail for lack of knowledge God enlighten your people in Jesus name I pray.
which God??? Deliver from what exactly?? Seems you guys have already been brainwashed to live in fear of the unexisting being dubbed 'God'.
“For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul?” What will you give for the salvation of your soul? He has given his life for you-now do the same for him.
Mark 8:36...MJ did this but died a painful death
Amen
😂😂😂😂😂Who dies a special death than the other😅😅😅😅plz explain
This Concert needs editing....this is not modern way of showing a Concert Video 🤞🤞🤞🤞🤞
Rituals on stage, I wish those poor souls around there could know whats behind the curtain !!😢
Imagime
True
True
Walai
so you know what was behind the curtain?
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 iii nayo imeweza
Mighty God is your Name , may You be Alpha and Omega for every innocent soul in this place
So you have prayed!!??🤣 You brainwashed beings.
Hicho kicheko ndio shetani atakuwa anatucheka tukiwa naye kwenye ziwa la moto. Mungu tupe neema yako tuweze kutembea katika njia inayo kupendeza wewe. Tunajua tumezungukwa na majaribu pande zote lakini usituchoke Mungu wetu,tunspogeuka na kukurudia wewe tunaomba utupokee kwa huruma zako uliopo katika upendo wako mkuu kwetu sisi wanadamu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Simba la m Simba dangot hata🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️
They conquered satan by the BLOOD OF THE LAMB ...REVELATION 12:11.
Diamond naye ni🔥🔥🔥🔥🔥wakuotea mbali👌👌👌👌👌👌😌😌😂😂😂
Ni simba lama Simba dangote🦁🔥👊🏿🎉
Life is spiritual..i pray people to spirit of God to reveal what's happening here
i didn't expect someone kusifia kwa comment kwa huu ushetanii people save your souls and repent most of these secular singers are devil worshipers so nanyie mpo apo May GOD have MERCY
Ubunifu wa hali ya juu safi sana chibu
ata kanumba alianza ivi mwisho yuko wapi sasa
Ushetani ndio waita ubunifu ole wako
Huu ni ushetani i rebuke this in Jesus mighty name
Amen 🙏
Amen
Nothing but ushetani tupu diamodi coming out openly hapa😢😢😢
Hallelujah !! In the mighty name of Jesus !!
Ur easily simple in affairs be extra peculiar 💋💋💋💋💋💋🧀🥂🍾🍷
Umetisha baba weeh ndo number 1 afrca
This is not art they are showing u what they do behind the scene but because of spiritual blindness u can't understand . Life is spiritual
True. It is blind followership. Lord have mercy on our generation
Nampongeza sana kuwa naimani zabiti juu ya mafundi wa dunia maana pamoja na makosa yote shetani hajawahi kuua mtu akifa ni mpango wa Mungu twende kazi daimod 😈
#FOR SURE you talking real
🎉🎉🎉❤❤😊
Coming coming coming!
Unawazum kichwani
Mungu huwa hapangii watu kufa soma maandiko vizuri
Munangojea kuona nini tena huyu ndie shetani abaye ameyaiba mawazo yakizazi hiki please naombea MUNGU afungue macho ya rohoni in Jesus name
Huu ndio mwisho wake xaxa...ameanza kutoa Siri zao...ata kanumba alianza Ivo hakuchukua round walimuua...I pity for him.... nguvu za Giza cku zote haziwez shindana na za mungu
Ona sasa huyu that's art n creativity 😅😅
-ve mindset.
😂😂😂
Sasa hivi ndio wanajieka wazi asee kipindi kile walikua wanajificha
Enyewe ni kweli, ukitoa Siri zao kwisha
Wueeeeeeeeh katishaaaaaa 🙌🙌🙌🙌♥️♥️
Aisee uyu jamaa mwisho wake ni peponi apo anatuonesha mwisho wake.Mungu amuokoe 🙏🙏
Namba za motoooo🔥🔥🔥mzigo mpyaa
WAI MAPEMA
POP8
SMART 8
Pop7
Smart7+
Smart5
Hot8
F1
Pop2f
Hot30play
A13
A03core
A04s
S8
S8+
S9
S9+
S10
S10+
Not8
Not9
Pixel3
Pixel 3A
Pixel 4A (5G)
K7
Lc6
Hot7
Pixel 6pro
From 254 , ukweli hii n kali
Much love diamond platnumz ❤️❤️
Sacrifing the audience's minds,thoughts and souls
Mashabiki wa diamond wamefunikwa na freemason, 😢 please watizedi naomba mbanieni huyu aneyekufuru MWENYEZI MUNGU nyimbo zake zote ,au awe mola mimina uponyaji wko kwa hawa binadamu
I don't know if you have heard of astro world Travis Scott, but this gives similar vibes
well said!!
@@sonyaberry9805so true,i saw it too
God have mercy on us becoz don't know what we doing
We used to see them far in Nigeria. Now they are here in East Africa. They are not hinding their rituals anymore. Soon sacrifices will be done live as we see. God save us
Haha. Why fear if you know you are untouchable? Just be a free man.
Huyu ndo simba❤❤
Tout sa pour sa
Seigneur ai pitié de nous.
He's so creative and never disappoint 😂please guys ineed your likes
Devil mumepatikana nothing like creativity.
Does a devil reveals himself in the croud of people?
People should watch life is spiritual documentaries and testimonies, ni kubaya
Master of performance at all times. Chibudenga hii imeenda 🌍🌎🌏🔥🔥💯💯🚀🚀🚀
Unapata umaster Gani na kazi ya primason hii
@@lewisM10ukiwa huna pesa akili lazima zinahamia kwenye kinyeo kama wew😂😂😂😂😂
Huh bro ubunifu tuunataka sisi kama wasafi🎉🎉🎉🎉
@@ramayonline2281😂😂😂
@@ramayonline2281 msenge Sana...kuvaa misalaba na kuingia kwa majeneza sinilidhani dini ya uislamu hairuhusu ..🤔🤔
Freemasons live akifanya tambiko...
Simba mwenyewe my role model ❤❤
#JACKSON wa africa ....💓💓💓.....
Kanumba nae alifnyaga hvhv kuonesha ishara zote za ufreemason 😢😢😢
Watu wakamwita Ubunifu, lakini mwisho wa siku akalipia.
Mondi is unstoppable..His buruwein is from anaza planet
dat fact is a realy big message to the wold
God side always the best ...👏👏
How can so many people be blind to see what's happening here🤔🤔🤔
Jamani watu wamuogope allah
Huu siyo ubunifu hii ni ibada ya mashetani na kama umeshiriki fanya Toba eeh Yesu tuokoe ktk nyakati hizi za mwisho
I now believe the testimony of Tim Bamboo, What shall it profit a man to lose his soul and gain the world?
The greatest show
i liked dat wonderful images
Apo na mapepo yanasherekeya Mungu atuokowe Dunia inahenda mbali 😢😢😢
hata Jackson Enzi zake alifanya haya yote ila mwisho alijuta nakulia ww unae muamini Mungu my friend endelea tu hii dunia tuna muda Mchache sana!
uongo mura.... Just be free.
Guys nifikisheni 100 subscribers kama bado tunawatch freemason
Huyu msela anaiga sana tatizo juzi mtwara alimuga konde kuingia na whitch na leo kamuiga van boy alifanya hivi sumbawanga
Huyo ndio mwamba icon of East Africa music...Msanii bora wa Tanzania wa muda wote kuachia nyimbo zaidi ya 200 zote nzuri sio mchezo kwa wale wanaotunga wananielewa
Asa ww mond anajua kuimba?
@@RamadanMtanje kwhy hapo anaongea au? Nyie watu msiojua mziki ebu tumieni nafasi zetu hata kujifunza kitu na sio kukurupuka...Diamond anaimba labda uniambie unaye sema ww ana sauti nyembamba na sio inshu ya kuimba...Ubishi huo naujua ni kwa ninyi msiojua mziki,mnashindwa kutofautisha kuimba na kubana pua
@@Clamvevotz2024kabsaa😂
Mansoni huyo
Ubora upi ambao yeye mwenyewe hawezi kufurahia..Huyu Kila kitu anachofanya anasharutishwa tu.Ata miziki yake iligeuka kuwa kelele na matusi.
Watuu wanafurahia hawaoni huo Ni ushetaniii😭😭😭😭
Justify your opposite or shut up!
Explain further
Eeeh eeeh ety afanya mazishi😁 na ni mazishi kwl kwl😁😁 Mamayee
Mungu tusaidie aky hii ni show za kishetani wanamwabudu waziwazi
hamna kituuu apaaa jamaa wa kawaida sana all the way from Nigeria
All the way from nyokooooo
This is creativity big up simba
Open ur eyes.
Stupid devil don't fool people
This is a good entry
People
There is no such thing as Satan
Or God
That doesn’t exist
You will know them with their deed
Creativity is the only thing that will advance us to fhe next level thank you simbaaaa
You call witchcraft creativity?
You are shamelessly pathetic 😂😂😂😂
is this creativity shuaally??
Creativity is not the only thing that takes humanity to the next level. Jesus is. He is the only One Who puts up the one and exalts the other. Everything that defies His will, including Satan, will be brought to a hideous closure.
Ngoma isambe😂😂😂😂🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥ubunifu wa kuzidi chibu kiboko yao
Bado hamjasema🎤
Na watasema
Bado simba l love from DRC
Rasmi Iko waz amkeni diamond anawaaga kifo chake kiko kalibu ndio tafsiri ya hiyo
Alafu utaskia wazimu akisema aty mziki wa Tanzania uko juuu nani ushetani na uchawi unawasaidia, ikifika hapa Wacha niskize Rose muhando
Unadhani shetani ni mjinga ..uyo rose muhando,shusho na wengine wanashirikiana na wasafi....watashushwa adi washangae..hawajui vitu wanajiletea....
do you have anything to prove it
@@DannyScorp-zq1sp everything is on the media ,pick what you want to watch
Kitu najua rose muhando na shusho wamerecord ngoma na lizer wa wcb
Stop being hateful be fair in affairs 🦅🦅🦅🦅🌈🌈🌈🌈🌟🔯🌟✨
This is no scary to the believers,day of resurrection that's the day everyone will know who's Allah. La ilaha ilallah.
You should go to Christianity, because Jesus Christ is the way and the truth to enternal Life
stupid@@alphaversalproking
Munguwanguweeee
Rip diamond 😢😢
oh mon Dieu voici ton peuples qui se dirige vers le diable lui même je t'aime fort Diamond platnumz 🇨🇩
Simba kichwa, that`s why we love you! Simba Babalao🌍🌎🌏🚀🚀🚀
Wakenya mkuje sasa tuzungumze 💥💥💥💥
who doesnt see this is ritual perfomance...and you there yap yaping saying kenya kujeni hapa...kenya is abroad according to T.Z
@@jerrymuisyo1089😂 we lead east and central Africa 🇹🇿🇳🇬🇿🇦
Diamond 🔥🔥🔥🔥
This kind of creativity should be studied
Which creativity,uchawi tu.. how do you come inside a coffin ⚰️ and call it creativity 😮
Your are very blind wake up..this is satanic ata unafaa kujihurumia kitu kama hii ikipendeza macho yako
@@elvisbabu1324mwambie tena
Indeed it should be studied, we should get to the bottom of this or else we and our generation are doomed!
In tz creativeness has really evolved weirdly
Watu wanafurahi kumbe mwenzenu ana lake jambo
Waaa 😂😂acha nicheke mna wanaoshangilia hawajui kile wanachosifia au wanachokifnya
The name of the song please
l pray to God Almighty to change u in the of Jesus Christ ..........AMEN
Illuminate au ?